-
Qatar: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni ukiukaji wa maazimio ya kimataifa
May 08, 2022 08:12Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar imelaani vikali mpango mpya wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kupanua vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi unazozikalia kwa mabavu za Palestina.
-
Nchi nne za Ulaya zataka kusimamishwa ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Jan 20, 2022 10:37Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi nne za Ulaya ambazo ni Ufaransa, Ujerumani, Italia na Hispania wamesema kuwa uamuzi wa viongozi wa utawala haramu wa Israel wa kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.
-
HAMAS: Mpango wa ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni ni jinai za kivita
Oct 29, 2021 08:09Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani vikali mpango wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wa ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kiyahudi katika maeneo ya Wapalestina na kusema kuwa, hatua hiyo ni jinai za kivita.
-
Kwa msaada wa askari wa Israel, walowezi wa Kizayuni wauvamia tena msikiti wa Al Aqsa
Jul 27, 2021 15:10Walowezi wa Kizayuni waliokuwa wakilindwa na kusindikizwa na askari wa utawala haramu wa Israel leo wameuvamia tena msikiti wa Al Aqsa katika mji mtukufu wa Baitul Muqaddas (Jerusalem).
-
Nchi tano za Ulaya zaitaka Israel isimamishe ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
May 07, 2021 15:48Ufaransa, Ujerumani, Italia, Uhispania na Uingereza zimeutaka utawala haramu wa Kizayuni wa Israel usimamishe ujenzi wa vitongoji katika ardhi unazozikalia kwa mabavu za Palestina.
-
Katibu Mkuu wa UN: Israel isimamishe haraka ujenzi wa vitongoji
Feb 05, 2021 03:38Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel unapaswa kusimamisha haraka ujenzi wa vitongoji.
-
Mauritania yatilia mkazo udharura wa kusitishwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi katika ardhi za Palestina
Feb 04, 2021 07:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Mauritania ameitolea wito jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dharura ili kusimamisha ujenzi wa vitongoji vya walowezi za Kizayuni katika ardhi za Palestina.
-
Wazayuni waongeza kasi ujenzi wa vitongoji vya walowezi siku za mwisho za Trump madarakani
Jan 11, 2021 08:02Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetangaza kuwa, katika siku hizi za mwisho za kukata roho serikali ya Donald Trump huko Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel umeongeza maradufu kasi ya kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi ulizowapora Wapalestina.
-
Jordan yaitaka jamii ya kimataifa iishinikize Israel ili isitishe ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Nov 25, 2020 02:43Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jordan amelaani vikali hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuafikii ujenzi wa nyumba mpya 540 katika eneo la Quds Mashariki unalolikalia kwa mabavu na kuitaka jamii ya kimataifa iushinikize utawala huo ghasibu ili usitishe ujenzi wake wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni huko Palestina.
-
Umoja wa Ulaya wapinga ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi huko Palestina
Nov 16, 2020 11:05Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa taarifa akipinga vikali ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zilizobandikwa jina la Israel.