Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ujenzi wa Vitongoji

  • Huduma kubwa ya Trump kwa Wazayuni; kuongezeka mara mbili na nusu ujenzi haramu  wa vitongoji katika kipindi cha miaka minne

    Huduma kubwa ya Trump kwa Wazayuni; kuongezeka mara mbili na nusu ujenzi haramu wa vitongoji katika kipindi cha miaka minne

    Nov 12, 2020 07:26

    Kundi linalojulikana kwa jina la "Amani Sasa" lililoko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina la Israel limetangaza kuwa, ujenzi haramu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina katika kipindi cha miaka minne ya urais wa Donald Trump nchini Marekani umeongezeka mara mbili na nusu.

  • Palestina: Ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni unaendelea Ukingo wa Magharibi

    Palestina: Ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni unaendelea Ukingo wa Magharibi

    Oct 03, 2020 02:42

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni unaendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, tofauti kabisa na madai ya Imarati na Bahrain ya kusimamishwa ujenzi wa vitongoji hivyo baada ya nchi hizo mbili za Kiarabu kutangaza uhusiano wa kawaida na Israel.

  • HAMAS: Kuendelea ujenzi haramu wa vitongoji kumekashifu uongo wa Waarabu wafanyamapatano

    HAMAS: Kuendelea ujenzi haramu wa vitongoji kumekashifu uongo wa Waarabu wafanyamapatano

    Sep 26, 2020 08:08

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuidhinisha mradi wa ujenzi wa maelfu ya nyumba mpya katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan ni ithibati ya uongo wa madai uliyotoa utawala huo ya kusitisha mpango wake wa kulimega eneo hilo.

  • Ujerumani yalaani mwendelezo wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi unaofanywa na Israel

    Ujerumani yalaani mwendelezo wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi unaofanywa na Israel

    Feb 28, 2020 01:16

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani, imelaani mwendelezo wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na utawala haramu wa Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo.

  • Jordan: Ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni unakinzana na sheria za kimataifa

    Jordan: Ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni unakinzana na sheria za kimataifa

    Feb 27, 2020 07:26

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jordan ametangaza kuwa, nchi yake inapinga vikali mpango wa ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni huko Palestina kwani unakiinzana wazi wazi na sheria za kimataifa.

  • Israel kuendelea kujenga vitongoji vya walowezi licha ya malalamiko ya walimwengu

    Israel kuendelea kujenga vitongoji vya walowezi licha ya malalamiko ya walimwengu

    Jan 16, 2020 07:57

    Utawala haramu wa Israel umetangaza kuwa, utaendelea na ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Palestina unayoyakalia kwa mabavu.

  • UN yatiwa wasiwasi na ujenzi wa vitongoji vya walowezi katika ardhi ya Palestina

    UN yatiwa wasiwasi na ujenzi wa vitongoji vya walowezi katika ardhi ya Palestina

    Dec 24, 2019 08:00

    Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika Mashariki ya Kati amesema kuwa, mwenendo wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi na Quds Mashariki huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu umeongezeka kwa asilimia 70 mwaka huu ikilinganishwa na mwaka wa kabla yake.

  • Palestina yatangaza utayarifu wa kukata kikamilifu uhusiano wake na Marekani

    Palestina yatangaza utayarifu wa kukata kikamilifu uhusiano wake na Marekani

    Nov 28, 2019 04:35

    Rais Mahmoud Abbas wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, msimamo wa Marekani wa kuutambua ujenzi wa vitongozi vya walowezi wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kuwa ni halali, utapelekea kukatwa kikamilifu uhusiano wa serikali hiyo na Washington.

  • Wapalestina wapambana na askari wa Israel katika maandamano ya

    Wapalestina wapambana na askari wa Israel katika maandamano ya "Siku ya Ghadhabu"

    Nov 27, 2019 01:43

    Wapalestina mapema leo wamepigana na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika maandamano ya "Siku ya Ghadhabu" kupinga siasa za Marekani za kukingia kifua na kuhalalisha wizi wa ardhi za Palestina.

  • Kuongezeka upinzani kwa hatua ya Marekani kuunga mkono ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Kuongezeka upinzani kwa hatua ya Marekani kuunga mkono ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Nov 25, 2019 02:48

    Uungaji mkono wa kila upande wa White House kwa siasa za kupenda kujitanua za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel hususan katika kuutambua kuwa halali ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, si tu kwamba umeibua hasira za walimwengu, bali umewafanya wabunge wa chama cha Democrat katika bunge la wawakilishi nchini Marekani kukosoa ukiukaji huo wa Washington wa sheria za kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS