Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ujerumani

  • Sisitizo la Troika ya Ulaya la kutokuwa na itibari jaribio la Marekani la kutaka kurejesha vikwazo dhidi ya Iran

    Sisitizo la Troika ya Ulaya la kutokuwa na itibari jaribio la Marekani la kutaka kurejesha vikwazo dhidi ya Iran

    Sep 12, 2020 02:54

    Baada ya kugonga mwamba hatua za kila aina ilizojaribu kuchukua Marekani ili kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran, Washington iliibua dai la kutaka kurejesha vikwazo vya kimataifa dhidi ya Tehran, ambavyo viliondolewa baada ya kufikiwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA;

  • Russia yakanusha madai ya Ujerumani ya kumpa sumu Navalny

    Russia yakanusha madai ya Ujerumani ya kumpa sumu Navalny

    Sep 03, 2020 22:04

    Russia imekadhibisha madai kuwa Moscow ilimpa sumu mwanasiasa wa upinzani wa nchi hiyo Alexey Navalny ambaye anaendelea kupatiwa matibabu nchini Ujerumani.

  • Hitilafu kali za Ujerumani na Ufaransa dhidi ya Marekani kuhusu marekebisho katika shirika la WHO

    Hitilafu kali za Ujerumani na Ufaransa dhidi ya Marekani kuhusu marekebisho katika shirika la WHO

    Aug 08, 2020 22:48

    Kushindwa serikali ya Rais Donald Trump kudhibiti maambukizi ya virusi vya COVID-19 nchini Marekani kumemfanya rais huyo ajaribu kuwepa lawama za kufeli huko kwa kulituhumu Shirika la Afya Duniani WHO kuwa lilifeli katika utekelezaji wa majukumu yake.

  • Wananchi wa Ujerumani waunga mkono kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini mwao

    Wananchi wa Ujerumani waunga mkono kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini mwao

    Aug 04, 2020 06:43

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa Ujerumani unaonyesha kuwa akthari ya raia wa nchi huo wanaunga mkono kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini mwao na pia wanataka Marekani iondoe silaha zake za atomiki katika ardhi ya nchi hiyo.

  • Russia na Ujerumani: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havina maana

    Russia na Ujerumani: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havina maana

    Jul 16, 2020 03:24

    Rais wa Russia na Kansela wa Ujerumani wamesisitiza kuwa, vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran havina umuhimu wowote.

  • Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani akiri kuhusu msimamo dhaifu wa EU mkabala na mgogoro wa Libya

    Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani akiri kuhusu msimamo dhaifu wa EU mkabala na mgogoro wa Libya

    Jul 15, 2020 02:56

    Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani amesema kuwa Umoja wa Ulaya umedhihirisha msimamo dhaifu katika kushughulikia mgogoro wa Libya.

  • Wasiwasi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya

    Wasiwasi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya

    Jul 09, 2020 21:54

    Vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Libya vimechukua sura mpya na tata na hasa kufuatia uamuzi wa wapiganaji wanaojiita Jeshi la Kitaifa la Libya linaloongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar wa kuanzisha hujuma ya kuuteka mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli, mnamo mwezi Aprili 2019 na uingiliaji wa nchi za kigeni kwa ajili ya kuziunga mkono pande hasimu katika mgogoro huo.

  • Ujerumani yalikosoa Baraza la Usalama la UN, yasema limepooza na kudumaa

    Ujerumani yalikosoa Baraza la Usalama la UN, yasema limepooza na kudumaa

    Jun 29, 2020 22:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amelikosoa vikali Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akisema limeshindwa kutekeleza majukumu yake.

  • Malalamiko ya Ujerumani kwa vitisho vya Marekani dhidi ya usalama wa nishati barani Ulaya

    Malalamiko ya Ujerumani kwa vitisho vya Marekani dhidi ya usalama wa nishati barani Ulaya

    Jun 15, 2020 03:30

    Baada ya Donald Trump kuingia katika Ikulu ya Marekani, White House, uhusiano wa Washington na Umoja wa Ulaya ikiwemo Ujerumani umevurugika na kufikia kiwango cha chini kabisa. Uhusiano huo umezidi kuwa mbaya baada ya Trump kuzungumzia suala la kuondoa wanajeshi wa Marekani huko Ujerumani.

  • Putin na Merkel wabainisha wasiwasi wao kufuatia kushtadi mapigano ya silaha huko Libya

    Putin na Merkel wabainisha wasiwasi wao kufuatia kushtadi mapigano ya silaha huko Libya

    Jun 10, 2020 03:20

    Rais wa Russia na Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel wamesema kuwa wana wasiwasi kufuata kushtadi mapigano ya silaha huko Libya. Viongozi hao wawili wa Russia na Ujerumani wameeleza hayo katika mazungumzo waliyofanya kwa njia ya simu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS