Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ujerumani

  • IAEA: Baada ya miezi michache, Ujerumani itaweza kuunda silaha za nyuklia

    IAEA: Baada ya miezi michache, Ujerumani itaweza kuunda silaha za nyuklia

    Jul 11, 2025 14:09

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati IAEA Rafael Grossi ametangaza kuwa, Ujerumani inaweza kutengeneza silaha zake za nyuklia ndani ya kipindi cha miezi kadhaa ikiwa itachagua kufanya hivyo. Katika mahojiano na tovuti ya habari ya Poland ya Reczpospolita Grossi amesema Berlin tayari ina nyenzo muhimu za nyuklia, ujuzi na ufikiaji wa teknolojia ya kuunda silaha hizo.

  • Jibu la swali la leo; Kwa nini Ujerumani inataka kuongeza kwa kiasi kikubwa gharama zake za kijeshi?

    Jibu la swali la leo; Kwa nini Ujerumani inataka kuongeza kwa kiasi kikubwa gharama zake za kijeshi?

    Jul 11, 2025 08:18

    Katika hotuba yake kwa bunge la nchi hiyo Bundestag, Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, sambamba na kuunga mkono ongezeko kubwa la gharama na matumizi ya kijeshi, alisisitiza kuwa anataka kuligeuza jeshi la nchi yake kuwa taasisi ya kupigiwa mfano na inayoongoza katika Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO).

  • Bunge la Ujerumani latilia shaka uhalali wa mashambulizi ya US, Israel dhidi ya Iran

    Bunge la Ujerumani latilia shaka uhalali wa mashambulizi ya US, Israel dhidi ya Iran

    Jul 09, 2025 18:26

    Huenda mashambulio ya Israel na Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran mwezi uliopita yalikiuka sheria za kimataifa, kwa mujibu wa ripoti ya wataalamu wa bunge la Ujerumani iliyonukuliwa na shirika la habari la dpa.

  • Je, kwa nini Ujerumani, muungaji mkono mkubwa zaidi wa Ulaya kwa utawala wa Kizayuni, sasa inaonekana kuukosoa utawala huo?

    Je, kwa nini Ujerumani, muungaji mkono mkubwa zaidi wa Ulaya kwa utawala wa Kizayuni, sasa inaonekana kuukosoa utawala huo?

    May 29, 2025 06:18

    Friedrich Mertz, Kansela wa Ujerumani alibadilisha sauti yake kuhusiana na utawala wa Kizayuni mnamo Jumanne, Mei 27 na kusema: "Mashambulio makubwa ya kijeshi ya Waisraeli katika Ukanda wa Gaza hayana mantiki tena kwangu."

  • Namibia yataka fidia ya 'maana' ya mauaji ya halaiki ya Ujerumani

    Namibia yataka fidia ya 'maana' ya mauaji ya halaiki ya Ujerumani

    May 29, 2025 06:01

    Namibia imefanya kumbukizi ya kuwaenzi wahanga wa mauaji ya kibari wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani, huku viongozi, wanasiasa na wakuu wa jamii zilizoathirika na ukatili huo wa askari wa Kijerumani wakitoa wito mpya wa kulipwa fidia na Berlin.

  • Hata UK, Ujerumani na Ufaransa nazo pia zalaani hatua ya Israel ya kuzuia misaada isiingizwe Ghaza

    Hata UK, Ujerumani na Ufaransa nazo pia zalaani hatua ya Israel ya kuzuia misaada isiingizwe Ghaza

    Apr 24, 2025 04:12

    Ufaransa, Ujerumani na Uingereza nazo pia zimelaani hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuendelea kuzuia kikamilifu misaada ya kibinadamu isiingizwe katika Ukanda wa Ghaza, na kutoa wito wa kuanzishwa mara moja utoaji misaada bila vizuizi sambamba na juhudi mpya za kusitisha mapigano.

  • Mdororo wa uchumi Ujerumani; Siemens kuwafuta kazi watu 6,000

    Mdororo wa uchumi Ujerumani; Siemens kuwafuta kazi watu 6,000

    Mar 20, 2025 03:08

    Kampuni kubwa ya masuala ya uhandisi na teknolojia ya Siemens imesema inapania kupunguza kazi karibu 6,000 duniani kote, zikiwemo 2,850 nchini Ujerumani.

  • Ubelgiji yalilaumu vikali Baraza la Usalama kwa kushindwa kulinda misingi ya Hati ya UN

    Ubelgiji yalilaumu vikali Baraza la Usalama kwa kushindwa kulinda misingi ya Hati ya UN

    Feb 26, 2025 11:38

    Naibu waziri mkuu wa Ubelgiji Maxime Prevot amesema "amesikitishwa sana" kuona Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeshindwa kutuma ujumbe wazi wa kuunga mkono sheria za kimataifa, na akatoa wito wa kuchukuliwa hatua kali zaidi za kimataifa za kulinda haki za binadamu na kuwawajibisha wakiukaji wa sheria.

  • Ujerumani yajitutumua, yatoa onyo dhidi ya Marekani

    Ujerumani yajitutumua, yatoa onyo dhidi ya Marekani

    Feb 22, 2025 11:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema Ulaya haipaswi kusita kuweka mashinikizo dhidi ya Marekani, iwapo Washington itashindwa kukumbatia 'demokrasia ya kiliberali'.

  • Waziri Mkuu wa Italia: EU isichukue msimamo unaogongana na wa Marekani katika kadhia ya Ukraine

    Waziri Mkuu wa Italia: EU isichukue msimamo unaogongana na wa Marekani katika kadhia ya Ukraine

    Feb 18, 2025 13:41

    Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni amesema, Umoja wa Ulaya haupaswi kuchukua msimamo ambao utakinzana na sera ya Marekani kuhusu Ukraine. Hayo ni kwa mujibu wa shirika rasmi la habari la Italia ANSA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS