-
Putin: Wanajeshi wa NATO nchini Ukraine watakuwa 'shabaha halali' ya Russia
Sep 05, 2025 11:03Rais Vladimir Putin wa Russia amepinga mapendekezo ya 'dhamana ya usalama ya nchi za Magharibi kwa Ukraine' akionya kwamba, wanajeshi wowote wa kigeni watakaotumwa katika nchi hiyo jirani watakuwa "shabaha halali" ya jeshi la Russia.
-
Kansela wa Ujerumani azitaka nchi za Ulaya zijiandae kwa vita vya muda mrefu vya Ukraine
Aug 30, 2025 05:52Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema nchi za Ulaya zinapaswa zijiweke tayari kwa vita vya muda mrefu nchini Ukraine kutokana na kile alichokiita kusitasita kwa Russia kushiriki katika mazungumzo.
-
Russia: Tumepiga Ukraine kwa makombora ya hypersonic
Aug 29, 2025 02:23Russia imetangaza habari ya kutekeleza mashambulizi ya masafa marefu dhidi ya shabaha za jeshi la Ukraine, kwa kutumia aina mbalimbali za silaha, yakiwemo makombora ya hypersonic aina ya Kinzhal.
-
Jumapili, 24 Agosti, 2025
Aug 24, 2025 02:54Leo ni Jumapili 30 Mfunguo Tano Safar 1447 Hijria mwafaka na 24 Agosti 2025 Miladia.
-
Ubelgiji kupiga marufuku simu za mkononi maskulini kuanzia mwaka wa masomo wa 2025-2026
Aug 19, 2025 06:12Matumizi ya simu za mkononi na vifaa vingine vya kielektroniki yatapigwa marufuku nchini kote Ubelgiji katika skuli za msingi na sekondari kuanzia mwaka wa masomo wa 2025-2026, isipokuwa vitakapolazimu kutumika kwa sababu za kimasomo, kiafya, au za dharura. Hayo yameripotiwa na vyombo vya habari vya ndani ya nchi hiyo.
-
Trump na Putin wakutana Alaska bila ya kufikia mwafaka wa kusimamishwa vita vya Ukraine
Aug 16, 2025 05:07Duru ya kwanza ya mazungumzo kati ya Rais Vladimir Putin wa Russia na Rais wa Marekani Donald Trump iliyofanyika katika jimbo la Alaska nchini Marekani imemalizika pasi na kufikiwa mwafaka wa kusimamishwa vita vya Ukraine.
-
CNN: Vita vya Ukraine sasa ni vita vya Trump
Aug 05, 2025 14:12Rais Donald Trump wa Marekani ameingia kikamilifu katika vita vya Ukraine na kushika usukani wa mgogoro huo kisiasa na kijeshi; vita ambavyo, katokana na maamuzi yake ya karibuni sio tena mzozo wa kikanda, bali ni mtihani kuhusu nafasi ya Marekani duniani.
-
Russia yatoa sharti la kufanyika mkutano wa ana kwa ana kati ya Putin na Zelensky
Jul 24, 2025 06:42Kiongozi mkuu wa ujumbe wa Russia katika mazungumzo na Ukraine, Vladimir Medinsky amesema, viongozi wa nchi hizo mbili inapasa wakutane baada ya mkataba wa amani kuwa tayari kutiwa saini, si vinginevyo.
-
Seneta wa Russia: Trump ameangukia kwenye "mtego" wa Ukraine
Jul 22, 2025 14:53Kuhusu vita vya Ukraine na misimamo ya karibuni ya Rais wa Marekani, Seneta huyo wa Russia amesema: "Trump ameingia kwenye mtego wa Ukraine.
-
Zelensky ataka afanye mazungumzo binafsi na Putin
Jul 20, 2025 14:52Rais Vladimir Zelensky wa Ukraine kwa mara nyingine ametoa wito wa kufanyika mazungumzo binafsi kati yake na Rais Vladimir Putin wa Russia, akisema hiyo ndiyo njia pekee ya kupatikana amani ya kudumu.