-
CNN: Idadi ya wanajeshi wa Marekani waliouawa nchini Ukraine inaongezeka
Jan 31, 2025 13:28Televisheni ya CNN ya Marekani imeripoti kuwa idadi ya wanajeshi wa Marekani waliouawa kwenye mstari wa mbele wa vita nchini Ukraine imeongezeka katika kipindi cha miezi 6 iliyopita.
-
Moscow: Marekani inachuma pesa kutokana na vita vya Ukraine
Jan 24, 2025 03:34Msemaji wa Kremlin amekosoa himaya ya kifedha na kisiasa ya Washington kwa serikali ya Kiev na kusema: Marekani inapata pesa kwa kuuza rasilimali zake za nishati za bei ya juu kwa watu wa Ulaya walioathiriwa na vita.
-
Mkuu wa Intelijensia Ufaransa adai Ikhwanul-Muslimin ina lengo la kuasisi 'Khilafa' ya Ulaya
Dec 27, 2024 06:53Mkuu wa Shirika la Intelijensia la Ufaransa amedai kuwa Harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul-Muslimin imekuwa ikipanua ushawishi wake nchini humo, na lengo lake kuu ni kuifanya nchi hiyo kuwa sehemu ya Khilafa inayoendeshwa kwa Sharia za Uislamu.
-
Uturuki yatangaza kufikiwa 'suluhu ya kihistoria' kati ya Ethiopia na Somalia
Dec 12, 2024 10:33Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amempongeza Rais wa Somalia na Waziri Mkuu wa Ethiopia kwa kufikia "suluhu ya kihistoria na kujitolea kwa hali ya juu" katika mazungumzo ya amani baina ya nchi hizo mbili yaliyofanyika mjini Ankara, lengo likiwa ni kumaliza mgogoro wa eneo lililojitenga la Somaliland.
-
Iran yaitaka Ukraine iache kuwaunga mkono na kuwasaidia magaidi eneo la Asia Magharibi
Dec 07, 2024 02:26Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeitaka Ukraine iache kuunga mkono magaidi katika eneo la Asia Magharibi.
-
Al Mayadeen: Wanajeshi wa Ukraine wanashirikiana na magaidi huko Syria
Dec 03, 2024 12:12Duru za habari za Syria zimetangaza kuwa wanajeshi wa Ukraine wanashirikiana na magaidi dhidi ya serikali ya syria.
-
Balozi wa Iran UN: Tuhuma za Marekani na Uingereza hazina msingi wowote
Nov 23, 2024 07:21Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha tuhuma dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu zilizotolewa na Marekani na Uingereza za eti kuvuruga amani katika eneo la Asia Magharibi na kuhusika na mapigano yanayoendelea Ukraine; akisisitiza kuwa tuhuma zote hizo hazina msingi wowote.
-
Amri mpya ya Putin na kuongezeka uwezekano wa kutumiwa silaha za nyuklia
Nov 20, 2024 11:23Rais Vladimir Putin wa Russia Jumanne, Novemba 19, alitia saini amri ambayo inaipa Moscow ruhusa ya kutumia silaha za nyuklia dhidi ya "nchi isiyo na silaha za nyuklia" ilimradi nchi hiyo iwe inaungwa mkono na nguvu za nyuklia.
-
Ombi la Antonio Guterres la kuzuia kuongezeka mivutano katika vita vya Ukraine
Nov 19, 2024 07:15Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuzuia kuongezeka mapigano nchini Ukraine.
-
China yaibainishia Marekani mistari yake minne myekundu ambayo haipasi kuvukwa
Nov 18, 2024 02:36Rais Xi Jinping wa China ameweka wazi mistari myekundu minne ambayo amesema haipasi kuvukwa na Marekani ili kuwepo uhusiano wenye usawa na sahihi kati ya nchi hizo mbili.