Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Israel yaufyata baada ya onyo la Russia, yakataa ombi la US la kuipa Ukraine makombora

    Israel yaufyata baada ya onyo la Russia, yakataa ombi la US la kuipa Ukraine makombora

    Jan 26, 2023 23:18

    Utawala haramu wa Israel umepinga ombi la Marekani la kuutaka uipe Ukraine makombora na silaha nyinginezo, baada ya Russia kuonya vikali dhidi ya kupewa Kiev misaada ya kijeshi na zana za vita.

  • Uungaji mkono wa Marekani kwa mashambulizi ya Ukraine dhidi ya Crimea; jitihada za kujaribu kuchochea vita

    Uungaji mkono wa Marekani kwa mashambulizi ya Ukraine dhidi ya Crimea; jitihada za kujaribu kuchochea vita

    Jan 21, 2023 22:54

    Sabrina Singh, Naibu Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) ameeleza kuwa, eti Marekani inakitambua kisiwa cha Crimea kuwa sehemu ya ardhi ya Ukraine na kwamba inaunga mkono oparesheni za Kyiv za kukikomboa kisiwa hicho.

  • Balozi: Marekani inashajiisha vitendo vya kigaidi dhidi ya Russia

    Balozi: Marekani inashajiisha vitendo vya kigaidi dhidi ya Russia

    Jan 19, 2023 07:01

    Balozi wa Russia nchini Marekani ameonya vikali dhidi ya mashambulizi tarajiwa ya Ukraine katika Peninsula ya Crimea na kusisitiza kuwa, Moscow itajibu mapigo baada ya Washington kudokeza kuwa huenda Kiev ikatumia silaha za Magharibi kulishambulia eneo hilo.

  • Russia yadhibiti mji wa kistratajia wa Soledar, Donbass

    Russia yadhibiti mji wa kistratajia wa Soledar, Donbass

    Jan 14, 2023 00:20

    Wizara ya Ulinzi wa Russia imesema vikosi vya jeshi la nchi hiyo vimefanikiwa kudhibiti kikamilifu mji wa kistratajia wa Soledar, ulioko katika eneo la Donbass. Eneo la Donbass lenye raia wenye asili ya Russia liko mashariki mwa Ukraine na tangu 2014 Warusi walianzisha jamhuri mbili, Donetsk na Luhansk, na kuunda serikali zilizojitenga na serikali ya Ukraine.

  • Kushtadi mashinikizo ya Ukraine kwa wapinzani kwa kuwavua uraia wanaoipinga serikali ya Zelenskyy

    Kushtadi mashinikizo ya Ukraine kwa wapinzani kwa kuwavua uraia wanaoipinga serikali ya Zelenskyy

    Jan 12, 2023 23:34

    Nchi za Magharibi, kinyume na nara na kaulimbiu zao za kizandiki za kutetea utu na ahadi zao za kusimamia kidemokrasia, zimeshakiuka mara nyingi misingi hiyo; na sio tu haziwezi kuwavumilia wapinzani na wakosoaji wao, bali hutumia pia njia mbalimbali kuzima sauti zao au hata kuwamaliza moja kwa moja.

  • Russia yaua askari 600 wa Ukraine katika shambulio la kulipiza kisasi

    Russia yaua askari 600 wa Ukraine katika shambulio la kulipiza kisasi

    Jan 09, 2023 00:38

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa, wanajeshi 600 wa Ukraine wameangamizwa katika shambulio la makombora la ulipizaji kisasi la Moscow katika eneo la Donbass.

  • Putin atuma manowari yenye makombora ya hypersonic Bahari ya Atlantic, Hindi

    Putin atuma manowari yenye makombora ya hypersonic Bahari ya Atlantic, Hindi

    Jan 05, 2023 03:44

    Rais Vladimir Putin wa Russia ameagiza kutumwa katika Bahari ya Atlantic na Bahari Hindi meli ya kivita iliyosheheni makombora ya hypersonic huku vita vya Ukraine vikipamba moto.

  • Putin: Nina uhakika wa asilimia 100 tutayateketeza makombora ya Marekani ya Patriot Ukraine

    Putin: Nina uhakika wa asilimia 100 tutayateketeza makombora ya Marekani ya Patriot Ukraine

    Dec 25, 2022 22:47

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuhusu uamuzi wa Marekani wa kutuma mitambo ya makombora aina ya Patriot nchini Ukraine, kwamba ana uhakika wa asilimia 100 vikosi vya jeshi la nchi yake vitayateketeza makombora hayo ya ulinzi wa anga ya Washington.

  • Russia yapeleka manowari 3 za kubebea makombora Bahari Nyeusi

    Russia yapeleka manowari 3 za kubebea makombora Bahari Nyeusi

    Dec 25, 2022 06:59

    Russia imepeleka manowari tatu za kubebea makombora katika Bahari Nyeusi na kuziweka meli hizo za kivita katika hali ya tahadhari.

  • Iran: Rais wa Ukraine ajifunze kwa hatima ya viongozi walioitegemea US

    Iran: Rais wa Ukraine ajifunze kwa hatima ya viongozi walioitegemea US

    Dec 22, 2022 23:43

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepuuzilia mbali madai yasiyokuwa na msingi kwamba Tehran imeipa Moscow ndege zisizo na rubani kwa ajili ya kuzitumia katika vita dhidi ya Ukraine na kusisitiza kuwa, Rais wa Volodymyr Zelensky wa Ukraine anapaswa kupata somo kutokana na hatima iliyowafika viongozi mbalimbali waliotegemea misaada ya Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS