-
Zelenskyy adai: Kuipatia Ukraine misaada ni kuwekeza katika demokrasia
Dec 22, 2022 07:35Rais wa Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine ameiambia Kongresi ya Marekani kwamba, kuipatia nchi yake misaada ni sawa na kuwekeza katika demokrasia na si suala la kujitolea.
-
Matukio ya Ukraine na sisitizo la Macron la kupewa dhamana ya usalama Russia
Dec 22, 2022 03:47Vita vya Ukraine vinaendelea kama vilivyo licha ya kuingia mwishoni mwa mwezi wake wa 10 tangu vianze, na hakuna ishara zozote za kumalizika karibuni vita hivyo. Kinachoonekana kwenye matukio ya hivi sasa ni kuzidi kuwa vikali tu vita hivyo.
-
Papa Francis: Vita vya Ukraine ni Vita vya Dunia
Dec 18, 2022 23:31Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani amesisitiza kuwa, vita vya Ukraine ni vita vya dunia na havitakwisha hivi karibuni.
-
FIFA yakataa ombi la Rais wa Ukraine la kutangazwa ujumbe wake kabla ya mechi ya fainali
Dec 17, 2022 03:33Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) inadaiwa limekataa ombi la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kutaka kabla ya kuchezwa mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia kati ya Argentina na Ufaransa siku ya Jumapili irushwe hewani video yake uwanjani hapo ili kuhamasisha amani.
-
Onyo la Russia kwa NATO kuhusu kuipa Ukraine mfumo wa makombora wa Patriot
Dec 15, 2022 05:45Serikali ya Russia imetangaza kuwa, uamuzi wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO wa kuipa Ukraine mfumo wa kujilinda kwa makombora wa Patriot umechukuliwa kwa lengo la kuishambulia Russia na hiyo ina maana ya kuihalalishia Moscow kuzishambulia nchi wanachama wa NATO.
-
UN: Waliouawa Tigray, Ethiopia ni wengi zaidi ya waliouawa Ukraine
Dec 08, 2022 23:08Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema idadi ya watu waliouawa katika mapigano huko Tigray, kaskazini mwa Ethiopia ni wengi ikilinganishwa na idadi ya waliouawa katika vita vya Ukraine na Russia.
-
Wasiwasi kuhusu hasara za Ulaya katika vita vya Ukraine
Dec 05, 2022 04:16Baada ya kupita takriban miezi 10 tangu kuanza vita vya Ukraine na thari zake mbaya, mkuu wa Baraza la Ulaya amekiri kwamba, nchi za bara hilo zimepata hasara zaidi katika vita hivyo kuliko Marekani.
-
Russia: UN inapuuza ukatili dhidi ya wanawake wa Ukraine nchini Sweden
Dec 04, 2022 03:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema Umoja wa Mataifa na mashirika ya kutetea haki za binadamu yanafumbia macho dhulma, unyanyasaji na ukatili dhidi ya wanawake wakimbizi wa Ukraine walioko Sweden.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa NATO waweka kando suala la kujiunga Ukraine na jumuiya hiyo
Dec 01, 2022 07:39Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Slovenia Jumanne wiki hii alisema kwamba kujiunga Ukraine na muungano wa NATO si kadhia inayojadili kwa sasa na nchi wanachama wa muungano huo wa kijeshi. Tanja Fajon ameyasema hayo katika kikao cha Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO)
-
NATO: Ulaya inakabiliwa na 'wakati mgumu' kwa kuipa himaya Ukraine
Nov 28, 2022 03:23Katibu Mkuu wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) amekiri kuwa, kuiunga mkono Ukraine katika vita dhidi ya Russia kumezipelekea nchi za Ulaya kukumbwa na matatizo mengi ukiwemo mfumko wa bei.