Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Uingereza yakiri, silaha zinazopelekwa Ukraine kutwaliwa na magaidi

    Uingereza yakiri, silaha zinazopelekwa Ukraine kutwaliwa na magaidi

    Nov 21, 2022 07:32

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kitaifa wa Jinai nchini Uingereza (NCA) amesema silaha zinazopelekwa Ukraine na nchi za Magharibi yumkini zikafanyiwa magendo na kuishia mikononi mwa magenge ya wahalifu na magaidi katika kona mbalimbali za dunia.

  • Russia: Ukraine inawaua kikatili mateka wa kivita

    Russia: Ukraine inawaua kikatili mateka wa kivita

    Nov 20, 2022 23:03

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa wanajeshi wa Ukraine wanafanya mauaji ya kikatili dhidi ya mateka wa kivita wa Russia.

  • UN: Haijulikani vita kati ya Ukrane na Russia vitamalizika lini

    UN: Haijulikani vita kati ya Ukrane na Russia vitamalizika lini

    Nov 17, 2022 06:56

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa, hakuna ishara zozote zinazoashiria kufikia ukomo mapigano huko Ukraine.

  • Stoltenberg: Hakuna ishara Russia inapanga kuishambulia NATO

    Stoltenberg: Hakuna ishara Russia inapanga kuishambulia NATO

    Nov 17, 2022 03:40

    Katibu Mkuu wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) amesema hakuna dalili yoyote inayoashiria kuwa Russia inapanga kufanya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya nchi za NATO.

  • Madai ya shambulio la kombora la Russia dhidi ya Poland: Njama za kuzusha mgogoro mpya wa Magharibi dhidi ya Moscow

    Madai ya shambulio la kombora la Russia dhidi ya Poland: Njama za kuzusha mgogoro mpya wa Magharibi dhidi ya Moscow

    Nov 16, 2022 22:48

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Poland imetangaza kuwa: "Siku ya Jumanne alasiri, kombora la jeshi la Russia lilipiga kijiji cha "Przewodów" mashariki mwa Poland kilichoko umbali wa kilomita sita kutoka kwenye mpaka wa Ukraine, na kuua Wapoland wawili."

  • Marekani yaitaka Ukraine ifanye mazungumzo ya amani na Russia

    Marekani yaitaka Ukraine ifanye mazungumzo ya amani na Russia

    Nov 14, 2022 07:12

    Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani wameanzisha kampeni ya kuishawishi Ukraine itafakari juu ya suala la kufanya mazungumzo ya amani na Russia, wakihofia kuwa msimu wa baridi kali yumkini ukaikwamisha serikali ya Kiev baada ya eti kupata ushindi wa kulidhibiti tena eneo la Kherson.

  • Amir Abdollahian: Azimio la UN haliizuia Iran kuuza silaha nje ya nchi

    Amir Abdollahian: Azimio la UN haliizuia Iran kuuza silaha nje ya nchi

    Nov 12, 2022 04:40

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema: "Kwa mujibu wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama, hakuna marufuku ya kuagiza na kuuza silaha za Iran nje ya nchi, na Tehran haijaipa Russia silaha zozote ili zitumike katika vita vya Ukraine."

  • Abdollahian: Siasa za Iran za kukomeshwa vita vya Ukraine hazibadiliki

    Abdollahian: Siasa za Iran za kukomeshwa vita vya Ukraine hazibadiliki

    Nov 10, 2022 04:16

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, siasa za kimsingi na zisizobadilika za Jamhuri ya Kiislamu ni kuhitimishwa vita vya Ukraine.

  • Russia: Bado hatujaafiki rasmi kurefusha usafirishaji nje wa nafaka za Ukraine

    Russia: Bado hatujaafiki rasmi kurefusha usafirishaji nje wa nafaka za Ukraine

    Nov 09, 2022 03:47

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, Moscow bado haijaamua rasmi kuafiki kurefushwa usafirishaji nje wa nafaka za Ukraine.

  • Onyo la Russia kuhusu Wamagharibi kutuma magaidi nchini Ukraine

    Onyo la Russia kuhusu Wamagharibi kutuma magaidi nchini Ukraine

    Nov 04, 2022 08:45

    Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia, Nikolay Patrushev, ametangaza kuwa Marekani na Uingereza zinasajili na kuajiri magaidi wa kimataifa kwa ajili ya kushirikiana na jeshi la Ukraine katika vita dhidi ya Russia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS