Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Russia: Zelenskyy ni Bin Laden mwingine katika mavazi ya wazungu

    Russia: Zelenskyy ni Bin Laden mwingine katika mavazi ya wazungu

    Oct 25, 2022 23:39

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amemfananisha Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, na kiongozi aliyeangamizwa wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda.

  • Barua ya Troika ya Ulaya kwa Umoja wa Mataifa: Mwendelezo wa vita vya kisiasa na kipropaganda dhidi ya Iran

    Barua ya Troika ya Ulaya kwa Umoja wa Mataifa: Mwendelezo wa vita vya kisiasa na kipropaganda dhidi ya Iran

    Oct 22, 2022 23:05

    Katika barua yake kwa Umoja wa Mataifa, Troika ya Umoja wa Ulaya inayojumuisha Uingereza, Ufaransa na Ujerumani, imekariri madai ambayo hayajathibitishwa kwamba Russia inatumia ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Iran katika vita vya Ukraine, na imeutaka Umoja wa Mataifa kuchunguza iwapo huo ni ukiukaji ya Azimio 2231 la Baraza la Usalama au la

  • Mawaziri wa ulinzi wa Russia na US wafanya mazungumzo nadra ya simu kujadili vita vya Ukraine

    Mawaziri wa ulinzi wa Russia na US wafanya mazungumzo nadra ya simu kujadili vita vya Ukraine

    Oct 22, 2022 09:00

    Wizara za ulinzi za Marekani na Russia zimetangaza kuwa, mawaziri wa ulinzi wa nchi hizo mbili Lloyd Austin na Sergei Shoigu wamefanya mazungumzo nadra kwa njia ya simu yaliyojikita zaidi kujadili vita vya Ukraine.

  • Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai yasiyo na msingi

    Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai yasiyo na msingi

    Oct 21, 2022 07:14

    Siku ya Alhamisi, Oktoba 20, Umoja wa Ulaya ulitangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai ambayo hayajathibitishwa kuhusu kushiriki ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Iran katika vita vya Ukraine.

  • Berlusconi amlaumu Rais Zelensky kwa vita vya Ukraine

    Berlusconi amlaumu Rais Zelensky kwa vita vya Ukraine

    Oct 21, 2022 00:42

    Waziri Mkuu wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi amesema Rais Volodymyr Zelenskiy wa Ukraine ndiye aliyemsukuma kwenye vita Rais Vladimir Putin wa Russia.

  • Amir-Abdollahian: Iran inapinga vikali vita na kuzipatia silaha pande mbili zinazopigana

    Amir-Abdollahian: Iran inapinga vikali vita na kuzipatia silaha pande mbili zinazopigana

    Oct 20, 2022 00:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu inapinga vikali vita na kuupatia silaha upande wowote kati ya pande mbili zinazopigana.

  • Tume ya UN yawasilisha ripoti ya jinai za kivita zilizofanywa na Ukraine

    Tume ya UN yawasilisha ripoti ya jinai za kivita zilizofanywa na Ukraine

    Oct 19, 2022 07:05

    Tume ya Umoja wa Mataifa inayofuatilia haki za binadamu imerekodi kwa uchache kesi mbili za uhalifu wa kivita uliofanywa na jeshi la Ukraine katika mzozo wa nchi hiyo na jeshi la Russia.

  • Russia yaionya vikali Israel dhidi ya kuipa silaha Ukraine

    Russia yaionya vikali Israel dhidi ya kuipa silaha Ukraine

    Oct 18, 2022 04:10

    Rais wa zamani wa Russia ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka usithubutu kuipa silaha Ukraine.

  • Saudia yaahidi kuipatia Ukraine msaada wa dola milioni 400

    Saudia yaahidi kuipatia Ukraine msaada wa dola milioni 400

    Oct 15, 2022 22:54

    Saudi Arabia imeahidi kuipatia Ukraine msaada wa dola milioni 400 kwa ajili ya masuala ya kibinadamu.

  • Putin: NATO inaingilia mambo ya ndani ya mataifa mengi duniani

    Putin: NATO inaingilia mambo ya ndani ya mataifa mengi duniani

    Oct 13, 2022 23:15

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, jeshi la nchi za Magharibi NATO linaingilia mambo ya ndani ya nchi nyingi duniani kinyume cha sheria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS