-
Tume ya UN yawasilisha ripoti ya jinai za kivita zilizofanywa na Ukraine
Oct 19, 2022 07:05Tume ya Umoja wa Mataifa inayofuatilia haki za binadamu imerekodi kwa uchache kesi mbili za uhalifu wa kivita uliofanywa na jeshi la Ukraine katika mzozo wa nchi hiyo na jeshi la Russia.
-
Russia yaionya vikali Israel dhidi ya kuipa silaha Ukraine
Oct 18, 2022 04:10Rais wa zamani wa Russia ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka usithubutu kuipa silaha Ukraine.
-
Saudia yaahidi kuipatia Ukraine msaada wa dola milioni 400
Oct 15, 2022 22:54Saudi Arabia imeahidi kuipatia Ukraine msaada wa dola milioni 400 kwa ajili ya masuala ya kibinadamu.
-
Putin: NATO inaingilia mambo ya ndani ya mataifa mengi duniani
Oct 13, 2022 23:15Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, jeshi la nchi za Magharibi NATO linaingilia mambo ya ndani ya nchi nyingi duniani kinyume cha sheria.
-
UN yakataa kuzitambua kura za maoni za kuyaunganisha na Russia maeneo ya Ukraine
Oct 13, 2022 04:21Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha azimio la nne tangu vilipoanza vita kati ya Russia na Ukraine ambapo limekataa kutambua kura za maoni za kuyaunganisha na Russia maeneo kadhaa ya ardhi ya Ukraine.
-
Russia: Rais wa Ukraine anachochea vita vya tatu vya dunia
Oct 07, 2022 08:00Ikulu ya Russia, Kremlin imemshutumu Rais Vladimir Zelensky wa Ukraine kwa kujaribu kuzusha vita vya tatu vya dunia, baada ya kulitaka shirika la kijeshi la NATO lianzishe mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Russia ili kuizuia isitumie silaha za nyuklia.
-
Russia: Msaada wa silaha wa Marekani kwa Ukraine unaiweka Russia na NATO katika makabiliano ya kijeshi
Oct 05, 2022 03:37Afisa wa ngazi za juu wa serikali ya Russia amekosoa misaada ya silaha ya Marekani kwa Ukraine, akisema inaziweka Moscow na NATO kwenye ncha ya makabiliano ya moja kwa moja ya kijeshi.
-
Shirika la IMF limejitosa kwenye vita vya Ukraine?
Oct 04, 2022 04:08Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) unatafakari suala la kuipa Ukraine dola bilioni 1.3 kama fedha za dharura.
-
Lavrov: Marekani inaisambaratisha Ukraine kwa ajili ya kuishinikiza Russia
Oct 03, 2022 22:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, Marekani inasababisha kupata hasara kubwa na kusambaratishwa Ukraine kwa ajili ya kutoa vitisho kwa Russia.
-
Nusu ya Wamarekani wanapinga kutumwa silaha Ukraine
Sep 28, 2022 22:51Uchunguzi mpya wa maoni umebaini kuwa, karibu nusu ya Wamarekani wanapinga kutuma misaada ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine.