-
Majimbo ya Ukraine yapiga kura ya kujiunga na Russia katika siku ya mwisho ya kura ya maoni
Sep 28, 2022 01:19Raia katika majimbo mawili yaliyotangaza kujitenga na Ukraine mashariki mwa nchi hiyo ya Luhansk na Donetsk na pia maeneo ya Kherson na Zaporizhia yanayodhibitiwa na Russia jana Jumanne walishiriki katika kura ya maoni ikiwa ni siku ya mwisho ya zoezi hilo.
-
Katibu Mkuu wa NATO: Mzozo wa Ukraine hautamalizika karibuni
Sep 17, 2022 02:51Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amesema mzozo kati ya Russia na Ukraine hautaisha hivi karibuni, licha ya kile alichokiita shambulio "athirifu" la kujibu mapigo lililofanywa na vikosi vya Kiev dhidi ya wanajeshi wa Moscow.
-
China: Vita vya Ukraine vinaisababishia hasara kubwa Ulaya na kuipatia faida nono Marekani
Sep 03, 2022 21:54China imetangaza kuwa Marekani, ambayo ndio msababishaji mkuu wa mgogoro wa Ukraine inafaidika na kuendelea kwa vita katika nchi hiyo.
-
Iran: Matukio ya karibuni ya Ukraine ni matunda ya uingiliaji wa Marekani
Sep 02, 2022 03:19Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa, Marekani na nchi za Magharibi zinataka kutekeleza siasa zao za kibeberu katika maeneo yote hassasi na ya kiistratijia duniani na kwamba matukio ya Ukraine ni matunda ya mtazamo huo wa kiistikbari wa Magharibi.
-
Russia: Ukraine imekiri kuwa na mpango wa kuunda bomu la atomiki
Aug 31, 2022 21:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema, serikali ya Ukraine imekiri kuwa na mpango wa kuunda bomu la atomiki na katu haijawahi kuficha kwamba ilikuwa ikijiandaa kwa ajili ya kukabiliana kijeshi na Russia.
-
Russia: Hatutasimamisha vita hata Ukraine ikiacha azma ya kujiunga na NATO
Aug 28, 2022 02:16Rais wa zamani wa Russia amesema iwapo Ukraine ingeliruhusiwa kujiunga na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO, Vita vya Tatu vya Dunia vingelikuwa vimeshaanza.
-
Russia: Hatutasitisha operesheni ya kijeshi Ukraine mpaka tuyafikie malengo yetu yote
Aug 26, 2022 22:52Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia amesema nchi hiyo haitasitisha operesheni yake maalumu ya kijeshi ndani ya ardhi ya Ukraine mpaka iyafikie malengo yake yote.
-
Kuuawa bintiye Dugin na kupanuka zaidi mgogoro wa Russia na Ukraine
Aug 24, 2022 05:08Rais Vladimir Putin wa Russia ametuma salamu zake za rambirambi kwa wazazi wa Darya Dugina, binti ya Alexander Dugin, mwananadharia mashuhuri wa Russia. Putin ameutaja uhalifu huo kuwa "mbaya na ukatili" na akamuelezea Darya Dugina kama mtu aliyekuwa mwerevu, mwenye talanta na moyo wa kweli wa utaifa wa Russia.
-
Marekani yawataka raia wake waondoke haraka Ukraine
Aug 23, 2022 23:49Marekani imewataka raia wake waondoke nchini Ukraine haraka iwezekanvyo, huku kukiwa na wasiwasi wa Russia kuanza kuushambulia mji mkuu wa nchi hiyo, Kiev.
-
Jumatano 24 Agosti 2022
Aug 23, 2022 22:03Leo ni Jumatano tarehe tarehe 26 Muharram 1444 Hijria Qamaria sawa na tarehe 24 Agosti 2022.