Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Russia: Uingiliaji wa Marekani katika vita vya Ukraine unazidisha machafuko Asia na Afrika

    Russia: Uingiliaji wa Marekani katika vita vya Ukraine unazidisha machafuko Asia na Afrika

    Aug 17, 2022 02:46

    Mkuu wa Komandi Kuu ya Majeshi ya Russia amesema kuwa, uingiliaji wa Marekani na waitifaki wake katika vita vya Ukraine umezidisha ukosefu wa utulivu katika eneo la Asia Magharibi na barani Afrika.

  • Guterres kutembelea Ukraine kesho Alkhamisi

    Guterres kutembelea Ukraine kesho Alkhamisi

    Aug 17, 2022 02:23

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anatarajiwa kukutana na marais wa Ukraine na Uturuki katika ziara yake ya kesho Alkhammisi nchini Ukraine.

  • Kukiri Mkuu wa Sera za Nje wa EU kwamba Magharibi imeonyesha undumakuwili katika kadhia za Ukraine na Gaza

    Kukiri Mkuu wa Sera za Nje wa EU kwamba Magharibi imeonyesha undumakuwili katika kadhia za Ukraine na Gaza

    Aug 14, 2022 21:52

    Josep Borrell, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amekiri kuwa nchi za Magharibi zinatumia vipimo vya nyuso mbili na za undumilakuwili kuhusiana na masuala ya kimataifa.

  • Wamagharibi wakosolewa kwa undumakuwili juu ya vita Ukraine na Gaza

    Wamagharibi wakosolewa kwa undumakuwili juu ya vita Ukraine na Gaza

    Aug 14, 2022 02:55

    Harakati inayopinga dhulma na ukandamizaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina imekosoa vikali undumakuwili wa nchi za Magharibi kuhusu vita nchini Ukraine kwa upande mmoja na katika Ukanda wa Gaza, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu kwa upande mwingine.

  • China: Marekani inataka vita vya Ukraine vichukue muda mrefu bila ya kumalizika

    China: Marekani inataka vita vya Ukraine vichukue muda mrefu bila ya kumalizika

    Aug 11, 2022 21:57

    Balozi wa China nchini Russia amesema kuwa, hatua ya Marekani ya kuendelea kumimina silaha huko Ukraine ni ushahidi tosha unaothibitisha kuwa hamu ya Washington ni kuona vita vya Ukraine vinachukua muda mrefu bila ya kumalizika.

  • Ombi la rais wa Ukraine la kuadhibiwa kwa umati wananchi wa Russia; muendelezo wa siasa za Kizayuni

    Ombi la rais wa Ukraine la kuadhibiwa kwa umati wananchi wa Russia; muendelezo wa siasa za Kizayuni

    Aug 10, 2022 21:55

    Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine ambaye hadi hivi karibuni alikuwa anadai kuwa Rais Vladimir Putin wa Russia ndiye aliyesababisha vita vya Ukraine, hivi sasa ameelekeza mashambulizi yake kwa wananchi wote wa Russia na ametaka adhabu ya umati itolewe dhidi yao.

  • Medvedev: Rais wa Ukraine anafuata fikra za Adolf Hitler

    Medvedev: Rais wa Ukraine anafuata fikra za Adolf Hitler

    Aug 09, 2022 20:51

    Rais wa zamani wa Russia amesema fikra, mienendo na misimamo ya Rais wa Ukraine inafanana na ya mtawala wa zamani wa Ujerumani ya Manazi, Adolf Hitler.

  • Uhamishaji na usafirishaji nafaka kutoka Ukraine unaendelea vizuri

    Uhamishaji na usafirishaji nafaka kutoka Ukraine unaendelea vizuri

    Aug 07, 2022 08:11

    Kituo cha uratibu wa pamoja wa shughuli ya uhamishaji na usafirishaji wa shehena za nafaka kutoka Ukraine kimetangaza kuwa usafirishaji wa nafaka hizo unaendelea kwa kutumia meli nyingine tano za mizigo.

  • Russia: Tumeua makumi ya mamluki wa kigeni nchini Ukkraine

    Russia: Tumeua makumi ya mamluki wa kigeni nchini Ukkraine

    Aug 07, 2022 02:09

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa, jeshi la nchi hiyo limeua makumi ya mamluki wa kigeni katika shambulizi la anga dhidi ya kambi ya kijeshi ya kigeni nchini Ukraine.

  • Russia yatungua ndege 13 zisizo na rubani za Ukraine kwa siku moja

    Russia yatungua ndege 13 zisizo na rubani za Ukraine kwa siku moja

    Jul 31, 2022 02:57

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa imetungua ndege 13 zisizo na rubani za Ukraine katika kipindi cha siku moja.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS