-
Mbunge wa Russia: Kambi za kijeshi karibu na bandari ya Odessa nchini Ukraine zilishambuliwa kwa mabomu
Jul 24, 2022 06:37Mbunge mmoja wa Russia amethibitisha kufanyika shambulio la anga kwenye viunga vya bandari ya Odessa nchini Ukraine na kuongeza kwamba ni vituo na kambi za kijeshi ndizo zililengwa katika shambulio hilo.
-
Waziri Mkuu wa Hungary: Vikwazo dhidi ya Russia vimefeli
Jul 24, 2022 03:03Waziri Mkuu wa Hungary amekiri kuwa vikwazo shadidi vya Wamagharibi dhidi ya Russia vimefeli na kugonga mwamba, na kusisitiza kwamba serikali za nchi za Ulaya zinaporomoka.
-
Kusainiwa mkataba wa mauzo ya nafaka kutoka Ukraine, mwanzo wa kutatua mgogoro wa chakula duniani
Jul 23, 2022 06:42Jana Ijumaa, Ukraine, Uturuki na Umoja wa Mataifa zilitia saini makubaliano ya kutatua mgogoro wa nafaka duniani. Mkataba huo ulitiwa saini kati ya Oleksandr Kubrakov, Waziri wa Miundombinu wa Ukraine, Kholusi Akar Waziri wa Ulinzi wa Uturuki, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na Waziri wa Ulinzi wa Russia Sergei Shoigu.
-
Mgogoro wa chakula ulimwenguni kupungua baada ya Russia, Ukraine kusaini mapatano ya nafaka
Jul 23, 2022 02:23Russia na Ukraine zimesaini mapatano pamoja na Umoja wa Mataifa na Uturuki kuhusu kuanza tena usafirishaji wa nafaka huku kukiwa na matumaini kuwa makubaliano hayo yatapunguza shida ya chakula ulimwenguni.
-
Rais wa zamani wa Russia aonya kuhusu 'Siku ya Kiyama'
Jul 18, 2022 03:06Rais wa zamani wa Russia ameionya vikali Ukraine na kusema kuwa, iwapo Kiev itathubutu kulishambulia eneo la Crimea, basi Kiyama kitawafikia wao pamoja na washirika wao kwa wakati mmoja.
-
Ukraine yavunja uhusiano na Korea Kaskazini kwa kuyatambua maeneo yaliyojitenga na nchi hiyo
Jul 14, 2022 02:56Ukraine imevunja uhusiano wake wa kidiplomasia na Korea Kaskazini baada ya Pyongyang kuyatambua maeneo mawili ya mashariki ya Ukraine ya Donetsk na Luhansk yaliyojitenga na Kyiv na kujitangaza Jamhuri huru zinazojitawala.
-
UN: Raia zaidi ya elfu tano wameuliwa katika vita Ukraine
Jul 12, 2022 22:28Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeeleza kuwa, raia zaidi ya elfu 5 wameuliwa huko Ukraine tangu kuanza vita nchini humo.
-
Marekani na waitifaki wake wa Ulaya wanatafuta njia ya kuhitimisha vita vya Ukraine kidiplomasia
Jul 09, 2022 22:18Gazeti la Kijerumani la Die Welt limeripoti kuwa, Marekani na waitifaki wakuu wa Magharibi wanafanya mazungumzo kwa siri ili kutafuta njia za kidiplomasia za kuhitimisha vita na mapigano nchini Ukraine.
-
Russia yaharibu mifumo ya makombora ya Marekani nchini Ukraine
Jul 07, 2022 03:26Jeshi la Russia limetangaza habari ya kusambaratisha mifumo miwili ya makombora aina ya HIMARS ya Marekani mashariki mwa Ukraine.
-
Waziri wa Ulinzi wa Russia: Magharibi imeipatia Ukraine tani 28,000 za silaha
Jul 06, 2022 01:23Waziri wa Ulinzi wa Russia amesema kuwa, nchi za Magharibi zinaendelea kutuma silaha nchini Ukraine kwa kisingizio cha kurefusha vita na hadi sasa zimepeleka zaidi ya tani elfu 28 za silaha huko Ukraine.