Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Jeshi la Russia lakomboa Donbass, askari wa Ukraine watimuliwa kikamilifu

    Jeshi la Russia lakomboa Donbass, askari wa Ukraine watimuliwa kikamilifu

    Jul 03, 2022 06:50

    Jeshi la Russia limetangaza mafanikio makubwa ya kuwatimua askari wa Ukraine kutoka Jamhuri ya Watu wa Luhansk, eneo ambalo limetangaza kujitenga na Ukraine.

  • Mbunge Marekani alaani nchi hiyo kujiingiza katika vita Ukraine kuvuna faida

    Mbunge Marekani alaani nchi hiyo kujiingiza katika vita Ukraine kuvuna faida

    Jul 03, 2022 03:23

    Mjumbe mwanamke wa chama cha Republican katika Kongresi ya Marekani amekosoa vikali hatua ya Washington ya kuipa Ukraine msaada mkubwa wa kijeshi na kuisaidia nchi hiyo katika kile alichokiita vita vya niaba dhidi ya Russia.

  • Iran iko tayari kusaidia utatuzi wa kidiplomasia wa mzozo wa Ukraine

    Iran iko tayari kusaidia utatuzi wa kidiplomasia wa mzozo wa Ukraine

    Jul 01, 2022 05:43

    Iran imesisitiza dhamira yake ya kuchangia katika utatuzi wa kidiplomasia wa mzozo unaotokota nchini Ukraine, ambao sasa unaingia mwezi wa tano.

  • Sputnik: Marekani inawasajili magaidi wa Daesh ili kuwatuma Ukraine

    Sputnik: Marekani inawasajili magaidi wa Daesh ili kuwatuma Ukraine

    Jun 30, 2022 20:33

    Shirika la habari la Sputnik limeripoti kuwa, Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) linawasajili magaidi wa Daesh (ISIS) ili wapelekwe Ukraine kwa kisingizio cha vita nchini humo.

  • Putin kufanya safari ya kwanza nje ya nchi tangu Russia ilipoanzisha vita dhidi ya Ukraine

    Putin kufanya safari ya kwanza nje ya nchi tangu Russia ilipoanzisha vita dhidi ya Ukraine

    Jun 27, 2022 03:13

    Vyombo vya habari vya Russia vimetangaza kuwa rais Vladimir Putin wa nchi hiyo atafanya safari ya kwanza nje ya nchi tangu vilipoanza vita nchini Ukraine kwa kutembelea nchi mbili za eneo la Asia ya Kati.

  • New York Times yafichua shughuli za siri za CIA na kikosi maalumu cha Marekani  Ukraine

    New York Times yafichua shughuli za siri za CIA na kikosi maalumu cha Marekani Ukraine

    Jun 26, 2022 23:28

    Gazeti la New York Times linalochapishwa nchini Marekani limefichua kuhusu harakati za siri zinazofanywa na Shirika la Kijasusi la Marekani (CIA) na kikosi maalumu cha wanajeshi wa nchi hiyo huko Ukraine.

  • UN: Zaidi ya watu milioni 7 wamekuwa wakimbizi nje ya Ukraine mbali na wakimbizi wa ndani

    UN: Zaidi ya watu milioni 7 wamekuwa wakimbizi nje ya Ukraine mbali na wakimbizi wa ndani

    Jun 20, 2022 07:22

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, vita vya Ukraine ni moja ya sababu za ongezeko la wakimbizi ulimwenguni na kwamba hadi hivi sasa mamilioni ya watu wameshakuwa wakimbizi kutokana na vita hivyo.

  • Majenerali 50 wa jeshi la Ukraine wauawa katika shambulio la makombora

    Majenerali 50 wa jeshi la Ukraine wauawa katika shambulio la makombora

    Jun 19, 2022 23:51

    Wizara ya Ulinzi wa Russia imesema majenerali zaidi ya 50 wa jeshi la Ukraine wameuawa katika shambulio la makombora ya Kalibr karibu na kijiji cha Shirokaya Dacha katika eneo la Dnepropetrovsk, katikati mwa Ukraine.

  • Mvutano mpya katika uhusiano wa Russia na Israel baada ya shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege wa Damascus

    Mvutano mpya katika uhusiano wa Russia na Israel baada ya shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege wa Damascus

    Jun 17, 2022 05:29

    Uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel umeingia katika awamu mpya yenye mivutano baada ya mashambuizi ya Russia dhidi ya Ukraine kutokana na misimamo ya Tel Aviv ya kujiunga na nchi za Magharibi na kuchukua misimamo dhidi ya Russia.

  • Vyombo vya Magharibi vyakosolewa kwa kutoakisi shambulio la Ukraine dhidi ya hospitali

    Vyombo vya Magharibi vyakosolewa kwa kutoakisi shambulio la Ukraine dhidi ya hospitali

    Jun 14, 2022 22:14

    Naibu Balozi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amekosoa kimya cha vyombo vya habari vya nchi za Magharibi kwa kutoangazia jinai ya jeshi la Ukraine ya kushambulia kwa mabomu hospitali ya kujifungulia akina mama katika eneo la Donetsk.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS