Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Russia yasambaratisha ghala kubwa la silaha za Magharibi nchini Ukraine

    Russia yasambaratisha ghala kubwa la silaha za Magharibi nchini Ukraine

    Jun 12, 2022 22:45

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limesambaratisha ghala kubwa la silaha za nchi za Magharibi katika vita vinavyoendelea nchini Ukraine.

  • Ulaya yakiri kuwa vita vimeiweka pabaya dunia, lakini bado inachochea mapigano Ukraine

    Ulaya yakiri kuwa vita vimeiweka pabaya dunia, lakini bado inachochea mapigano Ukraine

    Jun 04, 2022 22:08

    Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya amekiri kuwa, vita nchini Ukraine vimeleta mgogoro wa chakula katika kila kona ya dunia lakini wakati huo huo nchi za umoja huo zinaendelea kuchochea vita hivyo na kuisheheneza silaha Kyiv.

  • Licha ya kuonesha uadui mkubwa, Ulaya yaendelea kutumia gesi ya Russia kupitia Ukraine

    Licha ya kuonesha uadui mkubwa, Ulaya yaendelea kutumia gesi ya Russia kupitia Ukraine

    May 29, 2022 23:41

    Licha ya kwamba nchi za Ulaya zinaendelea kuchukua hatua kali za kiuadui dhidi ya Russia na kuzilazimisha nchi nyingine kufuata siasa zao dhidi ya Moscow, lakini nchi hizo za Ulaya zimeshindwa kuacha kutumia gesi ya Russia.

  • Mkutano wa viongozi wa Umoja wa Afrika na daghadagha kuu zinazolikabili bara la Afrika

    Mkutano wa viongozi wa Umoja wa Afrika na daghadagha kuu zinazolikabili bara la Afrika

    May 29, 2022 06:10

    Mkutano wa wakuu wa Umoja wa Afrika uliokuwa ukifanyika katika mji mkuu wa Guinea ya Ikweta, Malabo umemalizika.

  • Kuondolewa vikwazo vya Magharibi, sharti la Moscow la kuuza chakula na mbolea nje ya Russia

    Kuondolewa vikwazo vya Magharibi, sharti la Moscow la kuuza chakula na mbolea nje ya Russia

    May 28, 2022 22:56

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, nchi yake haina tatizo na kuuza nje bidhaa za chakula na mbolea na kuikoa dunia na janga hilo, lakini tatizo ni kwa nchi za Magharibi zilizoiwekea vikwazo Russia na kukwamisha zoezi hilo. Amesema, iwapo nchi za Magharibi zitaondoa vikwazo, Moscow itaweza kuendelea kuuza chakula na mbolea kama zamani.

  • Uhaba wa chakula duniani na matokeo yake

    Uhaba wa chakula duniani na matokeo yake

    May 24, 2022 21:46

    Linda Thomas Greenfield, balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa, indhari ya uhaba wa chakula duniani inayotokana na vita vya Ukraine na Rusia imefikia katika kiwango cha juu kabisa na mazingira ya akthari ya watu ulimwenguni ya kupata chakula yamezidi kuwa magumu siku baada ya siku.

  • Nchi nne wanachama wa EU zataka fedha za Russia zilizozuiliwa zitumike kuijenga upya Ukraine

    Nchi nne wanachama wa EU zataka fedha za Russia zilizozuiliwa zitumike kuijenga upya Ukraine

    May 24, 2022 03:18

    Nchi nne wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zinatazamiwa kuwasilisha rasmi katika umoja huo barua ya kutaka mali na fedha za Russia zilizozuiliwa na EU zitumiwe kuijenga upya Ukraine baada ya kumalizika vita.

  • Uungaji mkono wa Iran kwa hatua za Umoja wa Mataifa katika kukabiliana na mgogoro wa chakula duniani

    Uungaji mkono wa Iran kwa hatua za Umoja wa Mataifa katika kukabiliana na mgogoro wa chakula duniani

    May 20, 2022 22:44

    "Dunia nzima imeathirika na uhaba wa chakula." Hayo yalisemwa siku ya Alhamisi na Majid Takht-e Ravanchi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa.

  • Vigezo vya nyuso mbili vya nchi za Ulaya katika suala la wakimbizi

    Vigezo vya nyuso mbili vya nchi za Ulaya katika suala la wakimbizi

    May 18, 2022 21:42

    Huku mgogoro wa kiuchumi na kisiasa ukiendelea katika baadhi ya nchi za Asia na huku vita baina ya Ukraine na Russia navyo vikiendelea, wimbi la wakimbizi katika mipaka ya nchi za Ulaya nalo limeongezeka.

  • Russia: Tumeteketeza vituo 104 vya kiijeshi vya Ukraine hadi hivi sasa

    Russia: Tumeteketeza vituo 104 vya kiijeshi vya Ukraine hadi hivi sasa

    May 16, 2022 06:16

    Wizara ya Ulinzi wa Russia imetangaza kuwa, hadi hivi sasa operesheni maalumu ya kijeshi ya nchi hiyo huko Ukraine iimeshateketeza vituo 104 vya kijeshi vya Ukraine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS