-
Kuongezeka idadi ya watu wanaokabiliwa na baa la njaa duniani kufuatia vita vya Ukraine
May 10, 2022 22:09Baa la njaa limegeuka na kuwa tatizo kubwa linaoukabili ulimwengu katika hali ya hivi sasa.
-
Abdollahian: Iran inapinga vita vya Ukraine na eneo lolote duniani
May 08, 2022 21:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna wajibu wa kufanyika mazungumzo ya kisiasa baina ya Ukraine na Russia kwa ajili ya kukomesha haraka vita huko Ukraine kwani vita si kwa manufaa ya upande wowote.
-
Nebenzia: Dunia imo katika vita vya kiuchumi vya dunia
May 06, 2022 20:50Balozi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa vita vya dunia katika upeo wa kiuchumi vinaendelea sasa dhidi ya Russia kwa ajili ya kukabiliana na operesheni maalumu ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine.
-
Russia: Mamluki wa Kizayuni wanapigana bega kwa bega na Waukraine
May 04, 2022 21:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, mamluki wa Israel wanapigana bega kwa bega na vikosi vya jeshi la Ukraine
-
Russia yaonya kuhusu uwezekano wa kutokea Vita vya Tatu vya Dunia
Apr 26, 2022 03:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameonya kuwa, hivi sasa kuna uwezekano walimwengu wakashuhudia kutoka Vita vya Tatu vya Dunia.
-
Putin ailaumu CIA kwa kuchoche kuuliwa waandishi wa habari wa Russia
Apr 26, 2022 03:02Rais Vladimir Putin wa Russia amelilaumu shirika la kijasusi la Marekani CIA kwa kuwachochea wanajeshi wa Ukraine kuwaua waandishi wa habari wa Russia.
-
Mashirika ya Ujasusi ya Marekani yamkana Biden; yasema: Russia haijafanya mauaji ya kimbari Ukraine
Apr 16, 2022 05:57Mashirika ya kijasusi ya Marekani yamesema kuwa, hayajapata ushahidi wowote wa kuthibitisha madai ya rais wa nchi hiyo Joe Biden kuwa Russia imefanya mauaji ya kimbari nchini Ukraine.
-
Putin asisitiza udharura wa kuendelea operesheni za kijeshi za Russia nchini Ukraine
Apr 15, 2022 00:50Akizungumza Jumanne katika kikao cha wafanyikazi wa kituo cha anga cha Vostochny Mashariki ya Mbali nchini Russia, kuhusu kufikiwa malengo ya shambulio la Ukraine, ambayo aliyataja kuwa ya "wazi kabisa na bora," Rais Vladimir Putin amesema: Hakuna shaka hali itaendelea kuwa hivyo."
-
Watoto 400 wajeruhiwa hadi hivi sasa tangu kuanza vita vya Ukraine
Apr 14, 2022 05:37Shirika lisilo la kiserikali la Save The Children limetangaza kuwa, karibu watoto 400 wameuawa na kujeruhiwa katika wiki saba za vita vya Ukraine.
-
Taathira hasi ya vita vya Ukraine juu ya uchumi wa dunia
Apr 13, 2022 21:54Ikiwa zimepita siku 47 tangu kuanza vita vya Russia na Ukraine, hasara za kiuchumi za vita hivyo zinaongezeka siku baada ya nyingine, kadiri kwamba Shirika la Biashara Duniani WTO limetangaza katika ripoti yake ya karibuni kwamba vita hivyo vimeathiri vibaya uchumi wa dunia.