Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Lavrov: Lengo la operesheni maalumu ya Russia nchini Ukraine ni kukomesha udhibiti wa Marekani duniani

    Lavrov: Lengo la operesheni maalumu ya Russia nchini Ukraine ni kukomesha udhibiti wa Marekani duniani

    Apr 12, 2022 03:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema lengo la operesheni maalumu ya Moscow nchini Ukraine ni kukomesha udhibiti wa Marekani duniani.

  • Konashenkov: Russia imeangamiza mfumo wa makombora wa S-300 wa Ukraine

    Konashenkov: Russia imeangamiza mfumo wa makombora wa S-300 wa Ukraine

    Apr 11, 2022 03:14

    Igor Konashenkov Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa, makombora ya nchi hiyo yamevunjilia mbali mfumo wa makombora wa S-300 wa Ukraine katika maeneo mawili.

  • Ramaphosa: Mgogoro wa Ukraine umefichua udhaifu wa Baraza la Usalama la UN

    Ramaphosa: Mgogoro wa Ukraine umefichua udhaifu wa Baraza la Usalama la UN

    Apr 08, 2022 22:02

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema mgogoro wa Ukraine umeanika wazi udhaifu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, na namna taasisi hiyo kubwa zaidi ya kimataifa isivyo na uwezo wa kuidhaminia dunia amani na usalama.

  • Sisitizo la Putin la kutazamwa upya siasa za kuuzwa nje bidhaa za chakula za Russia

    Sisitizo la Putin la kutazamwa upya siasa za kuuzwa nje bidhaa za chakula za Russia

    Apr 06, 2022 21:26

    Katika hotuba aliyotoa siku ya Jumanne, Rais Vladimir Putin wa Russia amelaani mashinikizo yanayotolewa na nchi za Ulaya dhidi ya shirika la Gazprom, ambalo husafirisha gesi ya nchi hiyo kwenda Ulaya, na kutishia kuchukua hatua za kulipiza kisasi.

  • Wahajiri wengine 90 wafa maji katika ajali Bahari ya Mediterania

    Wahajiri wengine 90 wafa maji katika ajali Bahari ya Mediterania

    Apr 04, 2022 06:28

    Mkuu wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR amezitaka nchi za Ulaya kuwa na ukarimu na kuamiliana vyema na wakimbizi wengine, kama zinavyoamiliana na wakimbizi wa Ukraine.

  • Russia yafichua mengi kuhusu nafasi ya mtoto wa Biden katika utengenezaji wa silaha za kibaolojia Ukraine

    Russia yafichua mengi kuhusu nafasi ya mtoto wa Biden katika utengenezaji wa silaha za kibaolojia Ukraine

    Apr 01, 2022 22:02

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa nyaraka zilizopatikana kutoka kwenye barua pepe za mtoto wa Rais wa Marekani zinaonyesha kwamba alikuwa na nafasi muhimu katika utengenezaji wa silaha za kibiolojia nchini Ukraine.

  • Ukraine iko tayari kubadili Katiba na kutupilia mbali kujiunga na NATO

    Ukraine iko tayari kubadili Katiba na kutupilia mbali kujiunga na NATO

    Mar 31, 2022 03:28

    Waziri Mkuu wa Slovenia ametangaza utayarifu wa Ukraine wa kubadilisha Katiba ya nchi hiyo na kuachana na nia yake ya kujiunga na NATO.

  • Mazungumzo ya Istanbul na sisitizo la uanachama wa Ukraine katika Umoja wa Ulaya

    Mazungumzo ya Istanbul na sisitizo la uanachama wa Ukraine katika Umoja wa Ulaya

    Mar 30, 2022 21:58

    Duru mpya ya mazungumzo kati ya wajumbe wa Russia na Ukraine ilifanyika mjini Istanbul, Uturuki siku ya Jumanne iliyopita. Baada ya mazungumzo na Russia, mkuu wa ujumbe wa Ukraine, David Arakhamia, alisema kuwa hakuna mtu anayeweza kuizuia Ukraine kujiunga na Umoja wa Ulaya.

  • Mkuu wa Benki ya Maendeleo Afrika: Vita vya Ukraine vinaweza kusababisha mgogoro wa chakula Afrika

    Mkuu wa Benki ya Maendeleo Afrika: Vita vya Ukraine vinaweza kusababisha mgogoro wa chakula Afrika

    Mar 29, 2022 22:30

    Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) ambayo ni mkopeshaji mkubwa barani humo anafanya kila awezalo kuzuia bara la Afrika lisikabiliwa na mgogoro wa chakula kutokana na athari mbaya za vita vya Rusia na Ukraine.

  • Uingereza kuipa Ukraine makombora ya kutungulia ndege kukabiliana na Russia

    Uingereza kuipa Ukraine makombora ya kutungulia ndege kukabiliana na Russia

    Mar 28, 2022 02:47

    Waziri wa Ulinzi wa Uingereza ametangaza kuwa London imeamua kuipa Ukraine makombora ya kutungulia ndege ili kukabiliana na mashambulizi ya anga ya Russia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS