-
UN yakataa kuzitambua kura za maoni za kuyaunganisha na Russia maeneo ya Ukraine
Oct 13, 2022 04:21Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha azimio la nne tangu vilipoanza vita kati ya Russia na Ukraine ambapo limekataa kutambua kura za maoni za kuyaunganisha na Russia maeneo kadhaa ya ardhi ya Ukraine.
-
Ujumbe wa UN Libya walaani mauaji ya kutisha ya wahamiaji, Sabratha
Oct 10, 2022 07:07Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) umelaani mauaji ya kutisha waliyofanyiwa wahamiaji na watafuta hifadhi wasiopungua 15 katika mji wa Sabratha magharibi mwa Libya. Ujumbe huo wa Umoja wa Mataifa umetaka kufikishwa mbele ya vyombo vya shera wahusika wa mauaji hayo.
-
UN: Kuna ubaguzi wa rangi wa kimfumo dhidi ya watu weusi nchini Uswisi
Oct 05, 2022 03:41Ripoti ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwepo kwa ubaguzi wa kimfumo nchini Uswisi hususan dhidi ya watu weusi wenye asili ya Afrika.
-
Raisi: Kuwaachia huru wafungwa wa Marekani ni ithibati ya nia njema ya Iran
Oct 04, 2022 04:33Rais wa Iran amesema hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya kuwaachia huru wafungwa wawili wa Marekani wenye asili ya Iran inaonesha wazi nia njema ya taifa hili, na azma yake ya kutatua matatizo kwa njia ya mashauriano.
-
Indhari ya Umoja wa Mataifa kwa wanamgambo wa Taliban
Oct 01, 2022 00:34Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Afghanistan (UNAMA) amekosoa vikali hatua ya wanamgambo wa Taliban wanaotawala nchini humo ya kutochukua hatua kuboresha haki za watu katika nchi hiyo hususan ya mabanati na wanawake na kuonya kuwa, yamkini subira ya jamii ya kimataiifa kuhusiana na utendaji wa wanamgambo hao ikafikia kikomo.
-
Israel yapuuza azimio la UN la kusitisha ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Sep 29, 2022 08:36Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Mashariki ya Kati amesema Israel inaendelea kupuuza azimio la mwaka 2016 la Baraza la Usalama la UN, linaloutaka utawala huo wa Kizayuni usitishe ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Umoja wa Mataifa waeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya Ukingo wa Magharibi
Sep 17, 2022 07:26Mratibu Maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa Ajili ya Amani Mashariki ya Kati amelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya Ukingo wa Magharibi huko Palestina inayokaliwa kwsa mabavu.
-
Katibu Mkuu wa UN azitaka nchi zilizoendelea kutimiza ahadi zao kuhusu hali ya hewa
Sep 14, 2022 21:57Shirika la hali ya hewa duniani Jumanne hii lilizindua ripoti ya kutisha iliyotolewa na mashirika mengi kuhusu majanga ya hali ya hewa katika maeneo mbalimbali duniani; ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka katika uwanja huo.
-
Kikao cha kimataifa cha Berlin kuhusu Libya na suala zima la uchaguzi mkuu
Sep 11, 2022 04:52Nchi zilizoshiriki katika katika kikao cha kimataifa cha Berlin kuhusu Libya zimesisitiza kuwa, uchaguzi ndiyo njia pekee ya utatuzi wa mgogoro wa nchi hiyo. Kikao hicho cha siku mbili kimehudhuriwa pia na wawakilishi kutoka Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya, Ufaransa, Uingereza, Marekani, Uturuki, Italia, Ujerumani na Misri.
-
Kuchaguliwa Kamishna Mkuu mpya wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa
Sep 10, 2022 21:55Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha kuteuliwa bwana Volker Turk mwanadiplomasia wa Austria mwenye uzoefu wa muda mrefu ndani ya Umoja wa Mataifa kuchukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na mtangulizi wake Michelle Bachelet ya Kamishna Mkuu wa umoja huo.