-
Russia yasisitiza kuhamishwa makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York
Sep 05, 2022 03:04Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesisitiza kuwa Moscow inazingatia kikamilifu pendekezo la kuhamisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka Marekani hadi sehemu nyingine.
-
UN yaitaka Marekani izipe fidia familia za wahanga wa utumwa
Sep 01, 2022 03:01Umoja wa Mataifa umetoa mwito kwa Marekani kuanza mchakato wa kutoa fidia kwa vizazi vya wahanga wa utumwa.
-
Hofu ya UN juu ya mgogoro wa kisiasa nchini Libya
Aug 31, 2022 02:42Mkuu wa Siasa wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa, kutotatuliwa mgogoro wa kisiasa wa Libya na kutofanyika uchaguzi uliocheleweshwa ni tishio kwa hali ya mambo katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Takwa la Umoja wa Mataifa la kuungwa mkono wakimbizi Waislamu wa Rohingya
Aug 27, 2022 07:50Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuwasaidia kwa hali na mali wakimbizi Waislamu wa Rohingya walioko nchini Bangladesh.
-
UN yataka dunia iwasaidie wakimbizi Waislamu wa Rohingya
Aug 26, 2022 02:55Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuwasaidia kwa hali na mali wakimbizi Waislamu wa Rohingya walioko nchini Bangladesh.
-
UN yalaani kufungwa jela miaka 34 mwanaharakati mwanamke Saudia
Aug 21, 2022 23:55Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limekosoa hatua ya watawala wa Saudi Arabia ya kumpa hukumu nzito mwanaharakati mwanamke kutokana na ujumbe wake wa Twitter.
-
WFP: Njaa inatishia maisha ya watu milioni 22 barani Afrika
Aug 21, 2022 02:28Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP limessema kuwa hivi sasa watu milioni 22 barani Afrika wako kwenye hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa.
-
UN: Utumwa mamboleo umekita mizizi kote duniani
Aug 18, 2022 23:34Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusiana na kuongezeka maafa ya utumwa mamboleo katika maeneo mbalimbali duniani.
-
UN: Tunahitaji dola milioni 73 kuwasaidia kwa chakula wakimbizi wa ndani Ethiopia
Aug 10, 2022 03:33Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa na serikali ya Ethiopia wametoa ombi la kupatiwa dola milioni 73 ili kuweza kuendelea na utoaji msaada wa chakula kwa wakimbizi 750,000 walioko nchini humo katika kipindi cha miezi sita ijayo.
-
Wataalamu wa UN: Askari 'wazungu' walihusika na mauaji ya raia 33 Mali
Aug 06, 2022 06:26Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wamesema vikosi vya jeshi la Mali vilishirikiana na 'askari wazungu' katika operesheni iliyopelekea makumi ya raia kuuawa karibu na mpaka wa Mauritania mnamo Machi mwaka huu.