Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Wasiwasi kuhusu hasara za Ulaya katika vita vya Ukraine

    Wasiwasi kuhusu hasara za Ulaya katika vita vya Ukraine

    Dec 05, 2022 04:16

    Baada ya kupita takriban miezi 10 tangu kuanza vita vya Ukraine na thari zake mbaya, mkuu wa Baraza la Ulaya amekiri kwamba, nchi za bara hilo zimepata hasara zaidi katika vita hivyo kuliko Marekani.

  • Ukosoaji wa Moscow kwa msimamo mpya wa Umoja wa Ulaya na Ujerumani kuhusu mfumo mpya wa usalama wa Ulaya

    Ukosoaji wa Moscow kwa msimamo mpya wa Umoja wa Ulaya na Ujerumani kuhusu mfumo mpya wa usalama wa Ulaya

    Dec 03, 2022 23:09

    Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amekosoa matamshi ya Josep Borrell Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya na Annalena Baerbock Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani kuhusu ulazima wa kuanzishwa mfumo mpya wa usalama wa Ulaya dhidi ya Moscow.

  • Unafiki wa nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu

    Unafiki wa nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu

    Nov 24, 2022 05:29

    Matukio ya ndani ya miezi miwili iliyopita nchini Iran yamezifanya nchi za Ulaya zichukue hatua za kihasama za kuiwekea vikwazo na kuitishia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. 

  • Bunge la EU launga mkono ghasia nchini Iran, lavunja uhusiano na Tehran

    Bunge la EU launga mkono ghasia nchini Iran, lavunja uhusiano na Tehran

    Nov 22, 2022 04:42

    Katika hatua isiyo ya kidiplomasia na inayolenga kushajiisha zaidi fujo na ghasia hapa nchini Iran, Bunge la Umoja wa Ulaya limetangaza kukata uhusiano na Jamhuri ya Kiislamu.

  • Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya na Uingereza dhidi ya Iran; mkinzano wa vitendo na kaulimbiu

    Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya na Uingereza dhidi ya Iran; mkinzano wa vitendo na kaulimbiu

    Nov 15, 2022 06:13

    Jumatatu ya jana tarehe 14 Novemba, Umoja wa Ulaya na Uingereza zilitangaza kuiwekea vikwazo vipya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika hatua iliyopangwa na kuratibiwa baina ya pande mbili hizo.

  • Utafiti: Theluthi moja ya Wazungu wamenyanyaswa kingono wakati wa masomo vyuoni

    Utafiti: Theluthi moja ya Wazungu wamenyanyaswa kingono wakati wa masomo vyuoni

    Nov 08, 2022 23:31

    Uchunguzi uliofanyika barani Ulaya uliochapishwa Jumatatu wiki hii umeonyesha kwamba karibu thuluthi moja ya wanafunzi au wafanyakazi katika vyuo vikuu wamepitia aina fulani ya unyanyasaji wa kingono.

  • Mkuu wa sera za nje wa EU atoa madai mapya kuhusu mazungumzo ya Vienna

    Mkuu wa sera za nje wa EU atoa madai mapya kuhusu mazungumzo ya Vienna

    Nov 08, 2022 04:37

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametoa madai mapya kuhusu mazungumzo ya Vienna ya uondoaji vikwazo dhidi ya Iran pasina kuashiria chochote kuhusu kujiondoa kinyume cha sheria Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na jinsi nchi za Ulaya zilivyohalifu ahadi zao kuhusiana na makubaliano hayo.

  • Wanaopinga 'Brexit' waandamana wakitaka UK ijiunge tena na EU

    Wanaopinga 'Brexit' waandamana wakitaka UK ijiunge tena na EU

    Oct 24, 2022 00:30

    Makumi ya maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Uingereza, London wakishinikiza nchi hiyo irejee katika Umoja wa Ulaya.

  • Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai yasiyo na msingi

    Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai yasiyo na msingi

    Oct 21, 2022 07:14

    Siku ya Alhamisi, Oktoba 20, Umoja wa Ulaya ulitangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai ambayo hayajathibitishwa kuhusu kushiriki ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Iran katika vita vya Ukraine.

  • Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; kuiga mdundo wa ngoma inayopigwa na Marekani

    Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; kuiga mdundo wa ngoma inayopigwa na Marekani

    Oct 19, 2022 09:38

    Katika mwendelezo wa uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa machafuko ya hivi karibuni nchini Iran, Umoja wa Ulaya siku ya Jumatatu ulitangaza vikwazo kadhaa dhidi ya Waziri wa Mawasiliano wa Iran, Polisi ya Usalama wa Maadili, Jeshi la Polisi na kitengo cha kupambana na hujuma za intaneti cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS