Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Wanachama kadhaa wa Umoja wa Ulaya wapinga vikwazo dhidi ya Russia

    Wanachama kadhaa wa Umoja wa Ulaya wapinga vikwazo dhidi ya Russia

    Aug 29, 2022 02:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland amesema kuwa, kuna wanachama kadhaa wa Umoja wa Ulaya wanapinga vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Russia.

  • Majibu ya Marekani kuhusu JCPOA na kuendelea tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran

    Majibu ya Marekani kuhusu JCPOA na kuendelea tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran

    Aug 25, 2022 03:36

    Edward "Ned" Price, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani alisema jana Jumatano kuwa, Washington imetoa majibu kuhusu mitazamo ya Iran juu ya mazungumzo ya kuondolewa vikwazo Tehran. Amesema: Uchunguzi wetu kuhusu mitazamo ya Iran umekamilika na leo (Jumatano) tumekabidhi mapendekezo yetu kwa Umoja wa Ulaya. 

  • Borrell: Wengi wanakubaliana na mapendekezo ya Umoja wa Ulaya kuhusu JCPOA

    Borrell: Wengi wanakubaliana na mapendekezo ya Umoja wa Ulaya kuhusu JCPOA

    Aug 23, 2022 06:02

    Josepo Borrell, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, walio wengi duniani wanakubaliana na mapendekezo ya umoja huko kuhusu nanma ya kufufuliwa mapatano ya kimataifa ya nyuklia maarufu kwa jina la JCPOA.

  • Vita vya Ukraine na kuongezeka vibaya mgogoro wa kiuchumi barani Ulaya

    Vita vya Ukraine na kuongezeka vibaya mgogoro wa kiuchumi barani Ulaya

    Aug 20, 2022 22:07

    Hali mbaya ya kiuchumi barani Ulaya inazidi kuwa mzigo mkubwa zaidi na zaidi kwa kadiri siku zinavyopita kiasi kwamba, mfumuko wa bei nchini Uingereza umepanda kwa asilimia 10 ikiwa ni mara ya kwanza tangu mwaka 1982 huku Waziri Mkuu wa Sweden akizungumzia uchumi za enzi za vita barani Ulaya.

  • Mazungumzo kati ya marais wa Iran na Ufaransa; Raisi akosoa sera za kuzusha migogoro za Wamagharibi

    Mazungumzo kati ya marais wa Iran na Ufaransa; Raisi akosoa sera za kuzusha migogoro za Wamagharibi

    Jul 24, 2022 03:04

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, zzimio lililotolewa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki dhidi ya Iran ni hatua ya kuzusha mgogoro iliyokuwa na lengo la kuliwekea mashinikizo taifa la Iran.

  • Kuendelea mpambano wa Magharibi mkabala wa Russia; mara hii vikwazo vya dhahabu

    Kuendelea mpambano wa Magharibi mkabala wa Russia; mara hii vikwazo vya dhahabu

    Jul 16, 2022 23:25

    Nchi za Magharibi zinaendelea kustafidi na wenzo wa mashinikizo kwa Russia kupitia njia mbalimbali kama kuiwekea nchi hiyo vifurushi vya vikwazo vipya kufuatia hatua yake ya kuanzisha vita dhidi ya Ukraine; ambapo Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa uuzaji nje wa dhahabu kutoka Russia utajumuishwa katika kalibu ya vikwazo vipya vya umoja huo.

  • Kusimamishwa usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ulaya

    Kusimamishwa usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ulaya

    Jul 13, 2022 22:48

    Usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ujerumani kupitia bomba la "Nord Stream 1" katika Bahari ya Baltic, ulisimamishwa Jumatatu kwa muda wa siku 10.

  • Ulaya yalegeza msimamo katika vikwazo vya mafuta ilivyoiwekea Russia

    Ulaya yalegeza msimamo katika vikwazo vya mafuta ilivyoiwekea Russia

    Jun 25, 2022 21:58

    Shirika la habari za uchumi la Bloomberg limeripoti kuwa, ukiwa haujatimia hata mwezi mmoja tangu Umoja wa Ulaya ulipoiwekea Russia vikwazo vya mafuta, bara hilo limeongeza kiwango cha mafuta linachonunua kwa Moscow.

  • Kuendelea vitendo visivyo vya kibinadamu vya madola ya Ulaya dhidi ya wahajiri

    Kuendelea vitendo visivyo vya kibinadamu vya madola ya Ulaya dhidi ya wahajiri

    Jun 11, 2022 22:03

    Baada ya serikali ya Uingereza kuchukua uamuzi wa kuwahamishia nchini Rwanda wakimbizi wanaoomba hifadhi nchini Uingereza, sasa mahakama ya nchi hiyo nayo imeunga mkono na kuidhinisha uamuzi huo.

  • Umoja wa Ulaya waipendelea Uhispania, waionya Algeria

    Umoja wa Ulaya waipendelea Uhispania, waionya Algeria

    Jun 11, 2022 02:55

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Barrell ameonesha waziwazi kuipendelea Uhispania katika mgogoro wake na Algeria kwa kuionya Algiers kuhusu kusimamisha ushirikiano wake na Madrid.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS