-
Al Wifaq: Utawala wa Aal Khalifa ni wa kizamani
Jun 24, 2021 03:37Jumuiya ya Kiislamu ya Bahrain ya al Wifaq imesisitiza juu ya ulazima wa kutekelezwa marekebisho makubwa na mapana nchini humo na kueleza kuwa utendaji uliopitwa na wakati wa utawala wa Aal Khalifa hauwiani na mazingira ya sasa.
-
Utawala wa Al Khalifa Bahrain unatumia mbinu ya utesaji kuzima mgomo wa wafungwa wanaosusia kula
May 02, 2021 12:04Vikosi vya usalama vya utawala wa Aal Khalifa vimepanga kutumia nguvu na utesaji dhidi ya wafungwa Wabahrain sambamba na kuwapiga na kuwatusi ili kuzima mgomo wa kususia kula ulioanzishwa na wafungwa hao.
-
Utawala wa Aal Khalifa wapuuza maambukizi ya corona katika jela wanamoshikiliwa wanamapinduzi wa Bahrain
Mar 30, 2021 02:32Harakati ya Al Wifaq ya Bahrain imesema ina wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa kiwango cha maambukizi ya corona kwa wafungwa wanamapinduzi na jinsi utawala wa nchi hiyo wa Aal Khalifa unavyolipuuza suala hilo.
-
Wanaharakati wa haki za binadamu watiwa wasiwasi na ukiukaji mkubwa wa haki za watoto nchini Bahrain
Feb 19, 2021 13:49Wanaharakati wa haki za binadamu na waangalizi wa kimataifa wamesema wanatiwa wasiwasi na hatua za utawala wa Aal Khalifa za kuwakamata na kuwaweka korokoroni watoto wadogo nchini Bahrain.
-
Ongezeko la ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa dhidi ya Wabahrain katika mwaka wa 10 wa mwamko wao
Feb 12, 2021 12:55Wakati ukikaribia mwaka wa 10 tokea uanze mwamko wa wananchi wa Bahrain dhidi ya utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini humo, utawala huo dhalimu umeshadidisha ukandamizaji na utumiaji mabavu dhidi ya wananchi wanaotaka mabadiliko.
-
Sheikh Ali Salman; kutolewa hatiani na hatimaye kuhukumiwa kifungo cha maisha jela na utawala wa Bahrain
Jan 01, 2021 10:10Sambamba na kutimia mwaka wa sita tangu Sheikh Ali Salman awekwe korokoroni, wananchi wa Bahrain wameandamana kutaka Katibu Mkuu huyo wa harakati ya Kiislamu ya Al-Wifaq ya nchi hiyo aachiiwe huru.
-
Wabahrain waandamana kupinga makubaliano ya kuanzisha uhusiano na utawala ghasibu wa Israel
Sep 13, 2020 12:50Wananchi wa Bahrain leo wamejitokeza kwa wingi katika maandamano ya kupinga hatua ya utawala wa nchi hiyo ya kufikia makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel.
-
Sheikh Isa Qassim asisitiza kuendelezwa muqawama Bahrain kukabiliana na utawala wa Aal Khalifa
Jul 23, 2020 04:16Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain amesema, wanaowanyima na kuwazuia wananchi wa Bahrain haki yao ya kulalamika ni watu wajeuri na wachokozi na akasisitiza kwamba, muqawama wa wananchi hao wa kukabiliana na utawala wa Aal Khalifa ungali unaendelea.
-
Malengo ya madai yasiyo na msingi ya Bahrain dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jul 01, 2020 07:49Abdullatif bin Rashid al Zayani, waziri wa mambo ya nje wa utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain amesema katika mkutano na waandishi wa habari alioufanya kwa pamoja na Brian Hook, mjumbe maalumu wa serikali ya Marekani katika masuala ya Iran kwamba eti Iran inaingilia masuala ya ndani ya nchi za eneo hili ikiwemo Bahrain.
-
Bahrain yamhukumu kifungo cha miaka 3 raia wa nchi hiyo aliyechoma moto bendera ya Israel
Feb 19, 2020 05:55Mahkama moja nchini Bahrain imemuhukumu kifungo cha miaka mitatu raia wa nchi hiyo kwa kosa la kuchoma moto bendera ya utawala haramu wa Israel.