Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Kuzingirwa Nablus, ishara ya utawala wa Kizayuni kushindwa kuzima mapambano ya Palestina

    Kuzingirwa Nablus, ishara ya utawala wa Kizayuni kushindwa kuzima mapambano ya Palestina

    Oct 27, 2022 05:53

    Katika kuendeleza harakati zao za chuki dhidi ya Wapalestina, askari wa utawala haramu wa Israel wamekuwa wakiuzingira kwa muda sasa mji wa Nablus, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wa mji huo.

  • Iran: Uungaji mkono wa Magharibi kwa Israel ni mfano mkubwa zaidi wa ukiukaji wa haki za binadamu

    Iran: Uungaji mkono wa Magharibi kwa Israel ni mfano mkubwa zaidi wa ukiukaji wa haki za binadamu

    Oct 26, 2022 03:41

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani shambulio la utawala ghasibu wa Israel katika mji wa Nablus katika Ukingo wa Magharibi huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, na kuutaja uungaji mkono usio na kikomo wa Marekani na nchi nyingine za Magharibi kwa utawala dhalimu wa Israel kuwa ni kielelezo kikubwa zaidi cha ukiukwaji wa haki za binadamu.

  • Netanyahu: Kama si msaada wa Saudia tusingeweza kupatana na Waarabu

    Netanyahu: Kama si msaada wa Saudia tusingeweza kupatana na Waarabu

    Oct 24, 2022 23:42

    Waziri Mkuu wa zamani wa utawala haramu wa Israel amesema kuwa, kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Israel na baadhi ya nchi za Kiarabu kumefanikiwa kwa mwafaka na baraka za Saudi Arabia.

  • Watu 10 watiwa nguvuni nchini Iran kwa tuhuma za kushirikiana na MOSSAD

    Watu 10 watiwa nguvuni nchini Iran kwa tuhuma za kushirikiana na MOSSAD

    Oct 24, 2022 22:55

    Kitengo cha Habari cha Idara ya Mahakama ya Iran kimetangaza kutiwa nguvuni watu 10 kwa tuhuma za kushirikiana na shirika la ujasusi la Israel (MOSSAD).

  • HAMAS: Utawala wa Kizayuni umeshindwa kukabiliana na muqawama Ukingo wa Magharibi

    HAMAS: Utawala wa Kizayuni umeshindwa kukabiliana na muqawama Ukingo wa Magharibi

    Oct 24, 2022 09:07

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, jinai za utawala wa Kizayuni za kuwaua kigaidi wanamapambano wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hazitapunguza kasi ya kuimarika muqawama wa wananchi wa Palestina.

  • Safari 10 za ndege za Israel kuelekea India zafutwa baada ya Oman kukataa kutumiwa anga yake

    Safari 10 za ndege za Israel kuelekea India zafutwa baada ya Oman kukataa kutumiwa anga yake

    Oct 22, 2022 08:55

    Duru za habari za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeripoti kuwa, safari zisizopungua 10 za ndege za utawala huo haramu kuelekea India zimefutwa baada ya Oman kukataa kuzipatia ndege hizo kibali cha kupita katika anga yake.

  • Afungwa jela miezi 13 kwa kuandika sentensi moja ya kuunga mkono Muqawama wa Palestina

    Afungwa jela miezi 13 kwa kuandika sentensi moja ya kuunga mkono Muqawama wa Palestina

    Oct 20, 2022 04:01

    Mahakama ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imemhukumu Mpalestina mmoja anayeishi katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu kifungo cha miezi 13 jela kwa kuandika mtandaoni sentensi moja ya kuunga mkono muqawama wa Palestina.

  • Wazayuni watiwa kiwewe na kundi la muqawama wa

    Wazayuni watiwa kiwewe na kundi la muqawama wa "Arin al Usud" la Ukingo wa Magharibi

    Oct 15, 2022 07:52

    Kundi jipya la muqawama wa Palestina la 'Arin al Usud (Pango la Simba) limeutia kiwewe kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Israel; muendelezo wa mpango mchafu wa Magharibi wa chuki dhidi ya Uislamu

    Kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Israel; muendelezo wa mpango mchafu wa Magharibi wa chuki dhidi ya Uislamu

    Oct 11, 2022 23:06

    Katika muendelezo wa mpango wa chuki dhidi ya Uislamu, mara hii walowezi wa Kizayuni wamechoma moto nakala kadhaa za Qur'ani Tukufu huko katika ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.

  • Hizbullah: Tutatumia nguvu za kijeshi ikiwa Israel itachimba mafuta na gesi kabla ya kufikiwa mwafaka

    Hizbullah: Tutatumia nguvu za kijeshi ikiwa Israel itachimba mafuta na gesi kabla ya kufikiwa mwafaka

    Oct 07, 2022 08:12

    Mwakilishi wa Hizbullah katika Bunge la Lebanon amesema, harakati hiyo ya muqawama itatumia nguvu za kijeshi iwapo utawala haramu wa Kizayuni wa Israel utaamua kuchimba mafuta na gesi kabla ya kufikia makubaliano na Lebanon juu ya maeneo ya mpaka wa baharini zinayozozania.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS