Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Malalamiko ya Wapalestina dhidi ya kuyahudisha mfumo wa elimu wa Quds

    Malalamiko ya Wapalestina dhidi ya kuyahudisha mfumo wa elimu wa Quds

    Sep 20, 2022 21:42

    Skuli za Palestina katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu zimeanzisha mgomo jumuishi kwa ajili ya kulalamikia sera za elimu za utawala ghasibu wa Israel pamoja na mpango mchafu wa utawala huo wa kuziyahudisha shule za Kipalestina.

  • Sisitizo la Nasrullah juu ya ulazima wa kuendelezwa Muqawama wa kukabiliana na adui Mzayuni

    Sisitizo la Nasrullah juu ya ulazima wa kuendelezwa Muqawama wa kukabiliana na adui Mzayuni

    Sep 19, 2022 04:53

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, Muqawama ndio njia pekee ya kukabiliana na adui mzayuni. Nasrullah ameyasema hayo katika hotuba aliyotoa siku ya Jumamosi kwa mnasaba wa Arubaini ya Imam Hussein AS.

  • Katibu Mkuu wa Jukwaa la Mwamko wa Kiislamu Ulimwenguni: Dalili za kuporomoka utawala wa Kizayuni zinazidi kuonekana

    Katibu Mkuu wa Jukwaa la Mwamko wa Kiislamu Ulimwenguni: Dalili za kuporomoka utawala wa Kizayuni zinazidi kuonekana

    Sep 18, 2022 08:32

    Katibu Mkuu wa Jukwaa la Mwamko wa Kiislamu Ulimwenguni amewakosoa wale wanaojaribu kuanzisha uhusiano wa kawaida na kuutambua rasmi utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa: Mwenendo wa kihistoria na kudidimia taratibu kwa utawala huo unazidi kuonekana siku baada ya siku.

  • Miaka arubaini baada ya jinai ya Israel ya Sabra na Shatila

    Miaka arubaini baada ya jinai ya Israel ya Sabra na Shatila

    Sep 17, 2022 06:29

    Septemba 16, inasadifiana na kumbukumbu ya miaka 40 ya jinai iliyotekelezwa na utawala haramu wa Israel huko Sabra na Shatila nchini Lebanon .

  • Askofu wa Othodoksi Palestina: Kupita kwa muda hakutafanya jinai za maghasibu wa Baitul Muqaddas zisahaulike

    Askofu wa Othodoksi Palestina: Kupita kwa muda hakutafanya jinai za maghasibu wa Baitul Muqaddas zisahaulike

    Sep 17, 2022 03:00

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Othodoksi mjini Baitul Muqaddas (Jerusalem) amesema: Palestina haitafunga mikono na kusimama kizembe katika kukabiliana na upendeleaji unaofanywa na Magharibi kwa utawala ghasibu wa Kizayuni pamoja na sera na jinai zake.

  • Iran: Utawala haramu wa Israel siku zote umekuwa tishio dhidi ya amani na usalama wa kimataifa

    Iran: Utawala haramu wa Israel siku zote umekuwa tishio dhidi ya amani na usalama wa kimataifa

    Sep 16, 2022 03:12

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, misingi ya utawala wa kibaguzi wa Israel imejengeka juu ya uvamizi na tishio kwa amani na usalama wa dunia.

  • Israel yamfuta kazi balozi wake anayetuhumiwa kuwabaka wanawake nchini Morocco

    Israel yamfuta kazi balozi wake anayetuhumiwa kuwabaka wanawake nchini Morocco

    Sep 16, 2022 03:10

    Utawala haramu wa Israel umelazimika kumfuta kazi balozi wake wa nchini Morocco anayekabiliwa na kashfa za ngono na kuwanyanyasa kijinsia wanawake wa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Hamas: Mapambano dhidi ya maghasibu yataendelea hadi Palestina itakapokombolewa

    Hamas: Mapambano dhidi ya maghasibu yataendelea hadi Palestina itakapokombolewa

    Sep 12, 2022 10:44

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa taarifa kwa nasaba wa kutimia mwaka wa 17 wa kutimuliwa Wazayuni kutoka Ukanda wa Gaza, ikisisitiza kuendelezwa mapambano ya Wapalestina hadi malengo yao ya mwisho yatakapofikiwa.

  • Jihadul Islami: Jinai za Israel zinazidisha ari na irada ya muqawama

    Jihadul Islami: Jinai za Israel zinazidisha ari na irada ya muqawama

    Sep 11, 2022 03:07

    Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imetangaza kuwa, jinai za utawala ghasibu wa Israel zinazidisha ari na irada ya muqawama na mapambano ya Wapalestina dhidi ya utawala huo ghasibu.

  • HAMAS yaonya kuhusu vitendo vya hujuma dhidi ya msikiti wa al-Aqswa

    HAMAS yaonya kuhusu vitendo vya hujuma dhidi ya msikiti wa al-Aqswa

    Sep 10, 2022 23:59

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya tena kuhusiana na kuendelea vitendo vya kuuvamia na kuuhujumu msikiti wa al-Aqswa, vinavyofanywa na walowezi wa Kizayuni wakipata himaya ya jeshi la utawala ghasibu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS