-
Uturuki yazidi kustawisha uhusiano na Israel, waziri wake wa mambo ya nje awasili Tel Aviv
May 25, 2022 06:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amewasili uwanja wa ndege wa Ben Gurion mjini Tel Aviv katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Spika: Mauaji ya Shahidi Khodaei yameweka wazi zaidi woga na ushenzi wa utawala wa Kizayuni
May 24, 2022 03:48Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema tukio la kigaidi la mauaji ya Mlinzi wa Haram Shahidi Hassan Sayyad Khodaei kwa mara nyingine tena limeweka wazi zaidi sura iliyojaa woga na ukatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Televisheni ya Kizayuni: Israel kuchukua hatua dhidi ya Iran ni vitisho vya maneno tu
May 21, 2022 08:01Televisheni ya Kizayuni ya Kan 11 imesema, madai yote yanayotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwmba utachukua hatua dhidi ya Iran ni vitisho vya maneno matupu.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina yaionya Israel kwa hujuma zake dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
May 19, 2022 20:51Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeonya kuhusiana na matokeo mabaya ya vitendo vya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel vya kufanya hujuma na uvamizi dhidi ya msikiti wa al-Aqswa na kambi ya wakimbizi ya Jenin.
-
Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ayataka mataifa ya dunia yaisusie Israel
May 16, 2022 22:02Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameyataka mataifa yote ya dunia kupasisha miswaada ya kuususia utawala ghasibu wa Israel unaotenda jinai kila uchao dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Jumanne tarehe 17 Mei mwaka 2022
May 16, 2022 21:59Leo ni Jumanne tarehe 15 Shawwal 1443 Hijria sawa na Mei 17 mwaka 2022.
-
Miaka 74 baada ya Siku ya Nakba
May 16, 2022 06:23Miaka 74 iliyopita, utawala haramu na bandia wa Kizayuni wa Israel ulitangaza uwepo wake baada ya kufanya jinai kadhaa za kinyama dhidi ya Wapalestina.
-
Jumamosi, 14 Mei, 2022
May 13, 2022 21:44Leo ni Jumamosi tarehe 12 Mfunguo Mosi Shawwal 1443 Hijria, ambayo inasadifiana na tarehe 14 Mei 2022 Miladia.
-
Rasimu ya kupiga marufuku uhusiano wa kawaida na Israeli yapitishwa katika bunge la Iraq
May 13, 2022 21:42Bunge la Iraq limeidhinisha rasimu ya sheria inayopiga marufuku kuanzisha au kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel. Rasimu hiyo inatoa adhabu ya kifo kwa mtu yeyote atakayepatikana na hatia ya kuhusika na uhalifu huo.
-
Mashirika 250 ya haki za binadamu yataka Israel ichukuliwe hatua kwa kumuua Shireen Abu Aqleh
May 13, 2022 05:20Mashirika na makundi 250 ya kutetea haki za binadamu yametoa wito wa kuchukuliwa hatua za kisheria utawala haramu wa Israel kwa jinai uliyotenda ya kumuua mwandishi habari wa Televisheni ya al-Jazeera Shireen Abu Aqleh.