-
Ujumbe wa Zarif katika kumbukumbu ya ushindi wa Hizbullah katika Vita vya Siku 33
Aug 14, 2020 03:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametuma ujumbe wa pongezi kwa kwa serikali na watu wa Lebanon kwa mnasaba wa mwaka wa 14 wa ushindi uliojaa fahari wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika Vita vya Siku 33.
-
Makundi ya kupigania ukombozi Palestina yalaani mapatano ya kuaibisha ya UAE na Israel
Aug 13, 2020 22:43Makundi ya kupigania ukombozi wa Paelstina yametoa taarifa kadhaa za kulaani vikali hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuanzisha rasmi uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hamas na Jihad Islami zasisitiza udharura wa kudumishwa mapambano dhidi ya Israel
Aug 12, 2020 23:01Harakati za mapambano ya ukombozi wa Palestina za Hamas na Jihad Islami zimetilia mkazo udharura wa kudumishwa mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel na kufanya jitihada kubwa za kuondoa mzingiro wa utawala huo dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Ghaza.
-
Shambulio la Israel dhidi ya Gaza; shambulio la tatu dhidi ya muqawama katika kipindi cha wiki mbili
Aug 03, 2020 21:00Ndege za kivita za utawala haramu wa Israel Jumatatu alfajiri zilifanya mashambulio katika maeneo kadhaa ya Ukanda wa Gaza.
-
Hamas: Mashambulizi ya utawala wa Israel katika ngome za muqawama huko Ghaza; ni ujumbe wa mivutano
Aug 03, 2020 06:33Msemaji wa Harakati ya Muqawama ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni unatekeleza mashambulizi katika Ukanda wa Ghaza lengo likiwa ni kuwahamishia wananchi wa Palestina migogoro ya ndani ya utawala huo na kupotosha fikra za walimwengu kuhusu matukio na hali mbaya ya kisiasa inayoukabili sasa utawala wa Israel.
-
Waziri wa Ulinzi: Lebanon iko tayari kukabiliana na hujuma ya utawala wa Kizayuni
Aug 02, 2020 23:09Waziri wa Ulinzi wa Lebanon amesema jeshi la nchi yake liko tayari kabisa kukabiliana na uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Maelfu ya Waisraeli waandamana mkabala wa makazi ya Netanyahu wakitaka ajiuzulu
Aug 02, 2020 03:30Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni jana usiku vilitangaza habari ya kuendelea maandamano ya maelfu ya wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu mkabala na makazi ya Waziri Mkuu wa utawala huo unaoikalia Quds Tukufu kwa mabavu.
-
Vijana wa Kipalestina wakabiliana na Wazayuni waliotaka kuvamia Msikiti wa al-Aqswa
Jul 30, 2020 03:02Vijana wa Kipalestina wamekabiliana na walowezi wa Kizayuni waliokuwa wakifanya juhudi za kuvamia na kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa.
-
Israel yashindwa katika vita vya kisaikolojia katika kumbukumbu ya mwaka wa 14 wa vita vya siku 33
Jul 28, 2020 06:03Sambamba na kumbukumbu ya mwaka wa 14 wa Vita vya Siku 33, utawala wa Kizayuni unakabiliwa na changamoto kadhaa za ndani na hivyo umeanzisha vita vipya vya kisaikolojia dhidi ya Hizbullah. Pamoja na hayo, lakini taarifa ya Hizbullah imesambaratisha vita hivyo vya kisaikolojia.
-
Kupasisha Marekani msaada wa dola bilioni 38 kwa ajili ya utawala haramu wa Israel
Jul 27, 2020 22:00Jumapili ya tarehe 26 Julai, Kongresi ya Marekani ilipasisha msaada wa kifedha kwa utawala haramu wa Israel wa dola bilioni 38 katika kipindi cha miaka kumi.