-
Hamas yapinga misaada ya kifedha ya Marekani kwa utawala haramu wa Israel
Jul 27, 2020 08:34Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, (HAMAS) imepinga hatua ya Kongresi ya Marekani ya kupasisha bajeti ya msaada wa kifedha kwa ajili ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kutangaza kuwa: Hatua hiyo inaimarisha mienendo ya kibabe na ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Makundi ya Palestina yaonya kuhusu uhusiano wa baadhi ya nchi za Kiarabu na Israel
Jul 26, 2020 21:00Makundi ya mapambano huko Palestina yameonya hatua ya baadhi ya mataifa ya Kiarabu ya kutaka kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Utawala wa Kizayuni wa Israel waomba usuluhishi wa UN kwa kuhofia kipigo cha Hizbullah
Jul 26, 2020 09:09Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema, utawala huo umetuma barua kwa harakati ya Hizbullah ya Lebanon kupitia Umoja wa Mataifa.
-
Hamas na Fat'h kuendeleza ushirikiano kwa ajili ya kukabiliana na uvamizi wa Israel
Jul 23, 2020 08:31Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo itaendeleza ushirikiano wake na Chama cha Fat'h kwa ajili ya kuanza mapambano yenye malengo dhidi ya utawala vamizi wa Israel.
-
Jeshi la utawala wa Kizayuni lafuta mazoezi ya kijeshi likihofia kushambuliwa na Hizbullah
Jul 23, 2020 03:34Duru za habari za utawala wa Kizayuni zimetangaza kuwa wanajeshi wa Israel wamefuta mazoezi waliyopanga kufanya wakihofia kushambuliwa na harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Mgomo mkubwa wa wauguzi waanza Israel; serikali ya Netanyahu yakalia kuti kavu
Jul 20, 2020 06:37Wauguzi huko Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) wameanza mgomo wao Jumatatu ya leo wakilalamikia uzembe wa serikali ya Waziri Mkuu wa utawala ghasibu Benjamin Netanyahu katika kukabiliana na virusi vya Corona.
-
Jihadul Islami ya Palestina yalalamikia njama mpya za "Google" na "Apple"
Jul 19, 2020 06:18Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imekosoa vikali kitendo cha mashirika ya intaneti ya Google na Apple ya Marekani ya kuondoa neno "Palestina" katika ramani zao za dunia.
-
Yedioth Ahronoth: Benjamin Netanyahu ni kirusi hatari mno
Jul 18, 2020 22:19Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limechapisha makala inayomkosoa vikali Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kueleza kuwa, mwanasiasa huyo ni kirusi hatari mno.
-
Bunge la Malaysia: Israel ifukuzwe katika Umoja wa Mataifa na asasi zake
Jul 17, 2020 22:02Wawakilishi wa Bunge la Malaysia wametoa wito wa kufukuzwa utawala haramu wa Israel katika Umoja wa Mataifa.
-
Wakuu 300 wa kisiasa na kijeshi wanasubiri kutiwa mbaroni kwa ufisadi nje ya 'Israel'
Jul 16, 2020 07:55Utawala wa Kizayuni wa Israel umeandaa orodha ya siri ya wakuu 200 hadi 300 wa kisiasa na kijeshi wa utawala huo ambao wanasubiri kutiwa mbaroni nje ya ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.