Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Kuongezeka mashinikizo ya kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni; upinzani wa Ulaya kwa mpango wa kumegwa ardhi zaidi za Palestina

    Kuongezeka mashinikizo ya kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni; upinzani wa Ulaya kwa mpango wa kumegwa ardhi zaidi za Palestina

    Jul 16, 2020 03:29

    Utawala haramu wa Kizayuni umekusudia kumega asilimia 30 ya ardhi za Palestina za Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan ulizozivamia na kuanza kuzikalia kwa mabavu mwaka 1967 na kuziunganisha na ardhi zingine ulizozipa jina la Israel, ukiwa ni muendelezo wa malengo yake ya muda mrefu ya kuikalia kwa mabavu Palestina yote.

  • Baraza la Congress la Marekani lapasisha bajeti ya kulinda usalama wa Israel

    Baraza la Congress la Marekani lapasisha bajeti ya kulinda usalama wa Israel

    Jul 07, 2020 06:30

    Baraza la Wawakilishi la Marekani limepasisha bajeti ya kulinda usalama wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Majibu ya Kiongozi Muadhamu kwa barua ya Haniya: Iran haitasita kufanya kila juhudi ili kuzima shari ya utawala wa Kizayuni

    Majibu ya Kiongozi Muadhamu kwa barua ya Haniya: Iran haitasita kufanya kila juhudi ili kuzima shari ya utawala wa Kizayuni

    Jul 06, 2020 06:52

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea kuwasaidia na kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina na kuvunja shari za utawala bandia na ghasibu wa Kizayuni.

  • Maelfu waandamana Israel wakitaka Netanyahu ajiuzulu; anatuhumiwa kufanya ufisadi

    Maelfu waandamana Israel wakitaka Netanyahu ajiuzulu; anatuhumiwa kufanya ufisadi

    Jul 05, 2020 06:22

    Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya Israel wakimtaka Waziri Mkuu wa utawala huo haramu, Benjamin Netanyahu ajiuzulu kwa tuhuma za kufanya ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma.

  • Spika wa Bunge la Kuwait ataka nchi za Kiarabu zikabiliane na Israel

    Spika wa Bunge la Kuwait ataka nchi za Kiarabu zikabiliane na Israel

    Jul 04, 2020 23:16

    Spika wa Bunge la Kuwait ametaka nchi za Kiarabu zichukue hatua kali za kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuteka maeneo zaidi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Msemaji wa Hamas: njia pekee ya kuwafukuza Wazayuni ni muqawama

    Msemaji wa Hamas: njia pekee ya kuwafukuza Wazayuni ni muqawama

    Jul 02, 2020 02:14

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa njia pekee ya kuwarejsha nyuma Wazayuni ni kuendeleza mapambano na kuongeza kuwa: Maandamano yanayofanywa na wananchi wa Palestina katika maeneo mbalimbali yametuma ujumbe kwamba wataendeleza muqawama na mapambano hadi kupatikane ushindi.

  • HAMAS yatoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    HAMAS yatoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Jun 27, 2020 07:15

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza yatazidi kuufanya muqawama ushikilie msimamo wake wa kupinga njama za Israel za kuteka ardhi zaidi za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zashambulia Ukanda wa Ghaza

    Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zashambulia Ukanda wa Ghaza

    Jun 27, 2020 03:49

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeetekeleza mashambulizi katika Ukanda wa Gaza usiku wa kuamkia leo Jumamosi.

  • Spika wa Iran: Utawala wa Kizayuni wa Israel unasambaratika kwa ndani

    Spika wa Iran: Utawala wa Kizayuni wa Israel unasambaratika kwa ndani

    Jun 24, 2020 22:08

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umo katika hali ya kusambaratika kutokea ndani.

  • Kushadidi hitilafu ndani ya baraza la mawaziri la Israel juu ya kadhia ya Ukingo wa Magharibi

    Kushadidi hitilafu ndani ya baraza la mawaziri la Israel juu ya kadhia ya Ukingo wa Magharibi

    Jun 23, 2020 03:15

    Hitilafu za kimitazamo baina ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu na Waziri wa Vita wa utawala huo, Benny Gantz kuhusu mpango wa kulitwaa eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibi na kuliunganisha na ardhi nyingine zilighusubiwa zimezizidi kupamba moto huku Netanyahu akimtishia Gantz kuwa atalivunja baraza la mawaziri na kuitisha uchaguzi wa nne wa bunge katika kipindi cha mwaka mmoja.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS