Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Hizbullah yautahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel, yasema makombora yake yako ange

    Hizbullah yautahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel, yasema makombora yake yako ange

    Jun 21, 2020 23:30

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeutahadharisha utawala wa kizayuni kwamba iwapo utashambulia ardhi ya Lebanon itashambulia maeneo mbalimbali ya utawala huo kwa kutumia makombora yanayolenga shabaha kwa umakini mkubwa.

  • Wanaharakati wa masuala ya kiraia watoa wito wa kususiwa Israel kimataifa

    Wanaharakati wa masuala ya kiraia watoa wito wa kususiwa Israel kimataifa

    Jun 20, 2020 22:44

    Jumuiya ya Kimataifa ya Mshikamano wa Kusini nchini Afrika Kusini imetoa wito wa kususiwa utawala haramu wa Israel katika nyanja za kimataifa.

  • Hamas yalaani hatua ya Wazayuni ya kubomoa vituo vya Wapalestina

    Hamas yalaani hatua ya Wazayuni ya kubomoa vituo vya Wapalestina

    Jun 17, 2020 22:22

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kubomoa vituo vya Wapalestina huko Quds inayokaliwa kwa mabavu ni jitihada za utawala huo zinazolenga kubadili utambulisho wa Quds; njama ambazo hazitafikia popote.

  • Algeria: Kutwaliwa eneo la Ukingo wa Magharibi ni mpango batili na wa kiadui

    Algeria: Kutwaliwa eneo la Ukingo wa Magharibi ni mpango batili na wa kiadui

    Jun 14, 2020 01:58

    Serikali ya Algeria imetangaza kuwa, mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kulitwaa eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibini batili na wa kiuhasama si kwa taifa la Palestina pekee bali kwa nchi zote za Waislamu.

  • Shamkhani: Kuvunjwa 'masanamu ya kibaguzi' kumewatia kiwewe Wazayuni

    Shamkhani: Kuvunjwa 'masanamu ya kibaguzi' kumewatia kiwewe Wazayuni

    Jun 13, 2020 08:06

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kitendo cha kuvunjwa nembo na masanamu yanayoashiria ubaguzi wa rangi katika nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani kimeutia kiwewe na wahka mkubwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • OIC yatahadharisha matokeo mabaya ya mpango wa kughusubu eneo la Ukingo wa Magharibi

    OIC yatahadharisha matokeo mabaya ya mpango wa kughusubu eneo la Ukingo wa Magharibi

    Jun 11, 2020 07:35

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetahadharisha juu ya matokeo mabaya ya uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutaka kuzipora na kuzikalia kwa mabavu ardhi zaidi za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kulaani vikali hatua hiyo.

  • Barua ya Ismail Hania kwa viongozi 40 wa nchi za Kiarabu kwa ajili ya kusambaratisha mpango wa Israel

    Barua ya Ismail Hania kwa viongozi 40 wa nchi za Kiarabu kwa ajili ya kusambaratisha mpango wa Israel

    Jun 10, 2020 03:26

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) amewatumia barua tofauti wakuu na viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu zaidi ya 40 akiwataka kuchukua hatua za harakati kusitisha mpango wa Israel wa kutaka kuyaunganisha baadhi ya maeneo ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Wazayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa

    Wazayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa

    Jun 10, 2020 00:24

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni, wakiwa wanapata himaya ya wanajeshi wa utawala wa Israel wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).

  • Kubaidishwa khatibu wa Msikiti wa al Aqsa; jinai mpya ya Wazayuni

    Kubaidishwa khatibu wa Msikiti wa al Aqsa; jinai mpya ya Wazayuni

    Jun 06, 2020 07:01

    Polisi ya utawala wa Kizayuni imetoa amri ya kubaidishwa kwa miezi minne Sheikh Ikrima Sabri Khatibu wa Msikiti wa al Aqsa.

  • Serikali ya Palestina: Mpango wa kutwaa Ukingo wa Magharibi utazusha machafuko yasiyo na kifani

    Serikali ya Palestina: Mpango wa kutwaa Ukingo wa Magharibi utazusha machafuko yasiyo na kifani

    Jun 04, 2020 08:15

    Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetangaza kuwa, mpango wa utawala haramu wa Israel wa kuyatwaa maeneo zaidi ya Ukingo wa Magharbi wa Mto Jordan utazusha machafuko ambayo hayajawahi kushuhudiwa katika eneo la Mashariki ya Kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS