-
Je, uzoefu wa kupambana na ubaguzi wa rangi unaweza kuulazimisha utawala wa Kizayuni kuondoka Ghaza?
Sep 30, 2025 02:23Wananchi wa Afrika Kusini walifanya maandamano makubwa na ya kihistoria hivi karibuni wakitaka kuvunjwa kikamilifu uhusiano wa kidiplomasia na kibiashara wa nchi hiyo na utawala dhalimu na wa ubaguzi wa rangi wa Israel.
-
Kutengwa kimataifa, natija ya mgogoro wa utawala wa Kizayuni katika eneo
Sep 24, 2025 02:12Benyamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, amekiri kwamba utawala huu unaishi katika aina fulani ya kutengwa kimataifa.
-
Je, upo uwezekano wa kutokea vita kati ya Uturuki na utawala wa Kizayuni?
Sep 20, 2025 09:49Mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya Qatar yamezidisha mivutano kati ya Uturuki na Israel na kuibua uwezekano wa kutokea makabiliano ya moja kwa moja kati ya Ankara na Tel Aviv.
-
Jinai kwa kinga; je, utawala wa Kizayuni unakanyaga vipi sheria za vita?
Sep 19, 2025 02:33Katika taarifa, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani vikali shambulio la jeshi la utawala ghasibu wa Israel dhidi ya raia karibu na hospitali ya Shafa, magharibi mwa Gaza na kulitaja kuwa jinai kubwa ya kivita.
-
Umoja wa nchi za Kiislamu, njia mwafaka ya kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni
Sep 17, 2025 06:03Marais Abdel Fattah Al-Sisi wa Misri na Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamesisitiza kuwa, kuimarishwa umoja na mafungamano baina ya nchi za Kiislamu ndiyo njia mwafaka zaidi ya kukabiliana na kukariri na kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Asia Magharibi.
-
Al Mayadeen: Rasimu ya taarifa ya kikao cha Doha itakuwa ya kurudia kuulaani tu utawala wa kizayuni
Sep 15, 2025 07:03Rasimu ya mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za Kiarabu na Kiislamu unaofanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha inaonyesha kuwa, taarifa itakayotolewa mwishoni mwa kikao hicho itakuwa ni ya kulaani tu vitendo vya utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Kwa nini maelfu ya Wazayuni wanataka kusimamishwa vita vya Gaza?
Sep 10, 2025 13:37Maelfu ya Wazayuni wamefanya maandamano ya kumpinga Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni na kutaka kusitishwa mara moja vita vya Ukanda wa Gaza na kukombolewa mateka wa Kizayuni.
-
Uhispania yamuita nyumbani balozi wake wa Israel
Sep 10, 2025 06:40Vyombo vya habari vya Uingereza vimeripoti kuwa Uhispania imemuita tena balozi wake katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) ikilalamikia sera za mauaji za Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Kwa nini utawala wa Israel na Australia zinaendelea kushirikiana nyuma ya pazia licha ya mivutano ya kidiplomasia?
Sep 10, 2025 02:27Katika hali ambayo uhusiano wa kidiplomasia kati ya utawala wa Kizayuni na Australia umefika kiwango cha chini na kufutwa kwa viza za wanadiplomasia kumezidisha mivutano; lakini pande mbili hizo zinaendelea kushirikiana katika masuala ya kiusalama, kiteknolojia na kiuchumi.
-
Kwa nini Tume ya Ulaya haikubali hata maneno ya mwakilishi wake yenyewe kuhusu mauaji ya kimbari huko Gaza?
Sep 08, 2025 02:31Siku ya Ijumaa, Agosti 5, Kamisheni ya Umoja wa Ulaya ilipuuza kauli ya Teresa Ribera, Naibu MKuu Mtendaji wake kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel katika Ukanda wa Gaza, na kudai kwamba jinai hizo zinaweza tu kuthibitishwa na mahakama husika.