Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Kamanda Mkuu wa jeshi la Iran: Kuendelea serikali ya Netanyahu ni kuendeleza vita Ukanda wa Gaza

    Kamanda Mkuu wa jeshi la Iran: Kuendelea serikali ya Netanyahu ni kuendeleza vita Ukanda wa Gaza

    Apr 08, 2024 08:23

    Kamanda Mkuu wa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuendelea kuhudumu serikali ya Beanjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni kunafungamana na kuendelea vita huko Ukanda wa Gaza.

  • Kuongezeka mashinikizo dhidi ya serikali ya Biden kwa ajili ya kupungaza uungaji mkono wake kwa utawala wa Kizayuni

    Kuongezeka mashinikizo dhidi ya serikali ya Biden kwa ajili ya kupungaza uungaji mkono wake kwa utawala wa Kizayuni

    Apr 07, 2024 03:37

    Kuendelea vita vya Ghaza na jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wasiokuwa na hatia wa eneo hilo na hasa mauaji ya kimbari na utumiaji njaa kama silaha, kumezidisha mashinikizo ya ndani kwa serikali ya Biden ya kumtaka apunguze uungaji mkono wake kwa Tel Aviv, na wakati huo huo, kuongeza pia tofauti kati ya Ikulu ya White House na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni.

  • Mbali na jinai nyinginezo, Israel inawashikilia mamia ya watoto wa Palestina kwenye jela za kutisha

    Mbali na jinai nyinginezo, Israel inawashikilia mamia ya watoto wa Palestina kwenye jela za kutisha

    Apr 06, 2024 07:04

    Klabu wa Mateka wa Palestina imesema kuwa, mbali na jinai zake nyinginezo nyingi zisizo na mfano, utawala wa Kizayuni unawashikilia mamia ya watoto wadogo wa Palestina katika jela zake za kuogofya.

  • Siku ya Quds ya aina yake; Kimbunga cha al Ahrar dhidi ya utawala dhalimu wa Kizayuni

    Siku ya Quds ya aina yake; Kimbunga cha al Ahrar dhidi ya utawala dhalimu wa Kizayuni

    Apr 06, 2024 05:51

    Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu yamekuwa tofauti sana ikilinganishwa na miaka iliyopita; ambapo wananchi katika nchi mbalimbali duniani wameshiriki kwa wingi katika maadhimisho hayo ikiwemo hapa nchini Iran.

  • Siku ya Quds na kufichuka sura halisi ya utawala wa mauaji ya kimbari wa Israel

    Siku ya Quds na kufichuka sura halisi ya utawala wa mauaji ya kimbari wa Israel

    Apr 04, 2024 04:51

    Siku ya Quds mwaka huu 2024 imewadia huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukiwa umekwama kwenye kinamasi cha Gaza licha ya mauaji ya kimbari unayoendelea kufanya katika eneo hilo la Palestina.

  • Raisi: Siku ya Kimataifa ya Quds ni nembo ya kuwatimua Wazayuni katika ardhi za Palestina

    Raisi: Siku ya Kimataifa ya Quds ni nembo ya kuwatimua Wazayuni katika ardhi za Palestina

    Apr 04, 2024 04:22

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja Siku ya Kimataifa ya Quds kuwa ni ukumbusho wa kukaribia ushindi wa mwisho wa wananchi wa Palestina dhidi ya wavamizi wa Kizayuni na ishara ya mshikamano, umoja na uelewa wa Umma wa Kiislamu katika kutatua kadhia ya Palestina na kuwafukuza wavamizi kutoka katika ardhi zote za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • VIDEO: Muqawama wa Iraq: Tumeshambulia Haifa kulipiza kisasi cha jinai za Wazayuni Ghaza

    VIDEO: Muqawama wa Iraq: Tumeshambulia Haifa kulipiza kisasi cha jinai za Wazayuni Ghaza

    Apr 03, 2024 03:38

    Makukndi ya Muqawa wa Kiislamu ya Iraq yametangaza kuwa yameshambulia kambi ya jeshi la anga ya Tel Nof ya utawala wa Kizayuni kwenye mji wa Haifa ili kulipiza kisasi cha jinai zinazofanywa na Israel katika Ukanda wa Ghaza.

  • Matokeo ya kieneo na kimataifa ya shambulio la kigaidi la utawala wa Kizayuni kwenye ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus.

    Matokeo ya kieneo na kimataifa ya shambulio la kigaidi la utawala wa Kizayuni kwenye ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus.

    Apr 02, 2024 08:14

    Shambulio la kigaidi la ndege za kivita za utawala wa Kizayuni katika ubalozi mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Damascus bila shaka litakuwa na matokeo ya kieneo na kimataifa kwa baraza la mawaziri la kuchochea vita la Benjamin Netanyahu.

  • Jeshi la Kizayuni laendeleza mashambulizi ya kinyama katika makazi ya raia Ghaza

    Jeshi la Kizayuni laendeleza mashambulizi ya kinyama katika makazi ya raia Ghaza

    Apr 02, 2024 03:58

    Sambamba na kukaribia mwezi wa sita wa mashambulizi ya kikatili na kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza, hujuma za mashambulio ya mabomu na makombora ya jeshi la utawala huo katika maeneo ya makazi ya watu yangali yanaendelea.

  • Utawala wa Kizayuni washambulia jengo la ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus, Syria

    Utawala wa Kizayuni washambulia jengo la ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus, Syria

    Apr 01, 2024 23:23

    Utawala ghasibu wa Kizayuni umetekeleza shambulio la anga dhidi ya jengo la ubalozi mdogo wa Iran karibu na ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Damascus Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS