Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Sababu za utawala wa Kizayuni kulazimisha vita katika upande wa kaskazini

    Sababu za utawala wa Kizayuni kulazimisha vita katika upande wa kaskazini

    Apr 01, 2024 22:49

    Yoav Gallant, Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni, amesema kwamba utawala huo haramu utapanua operesheni zake za kijeshi katika eneo la kaskazini la ardhi zinazokaliwa kwa mabvu na kushambulia kila sehemu ya Beirut na Damascus ambapo Hizbullah ya Lebanon inaendeshea shughuli zake.

  • Ushiriki wa Ireland katika kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel kutokana na mauaji ya kimbari Gaza

    Ushiriki wa Ireland katika kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel kutokana na mauaji ya kimbari Gaza

    Mar 30, 2024 01:01

    Ireland ilitangaza Jumatano, Machi 27, kwamba itashiriki katika kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala wa Isarel kutokana na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala huo huko Gaza.

  • Hizbullah yajibu mapigo, yashambulia vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Hizbullah yajibu mapigo, yashambulia vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Mar 29, 2024 22:58

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imefanya mashambulizi kadhaa dhidi ya vitongoji vya walowezi wa Kizayuni na kambi kadhaa za Israel kaskazini mwa maeneo yaliyokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu mwaka 1948, kama sehemu ya awamu nyingine ya operesheni za kulipiza kisasi dhidi ya utawala huo na kuwatetea watu wa Gaza.

  • Kiongozi Mkuu: Ghaza ndiyo mshindi mkuu kwenye medani ya vita na utawala wa Israel mwangamizaji wa kizazi

    Kiongozi Mkuu: Ghaza ndiyo mshindi mkuu kwenye medani ya vita na utawala wa Israel mwangamizaji wa kizazi

    Mar 29, 2024 00:01

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema vikosi vya Muqawama na watu wa Ghaza ndio washindi kwenye medani ya vita na utawala wa Israel mwangamizaji wa kizazi na akasisitiza kwa kusema: kilele cha kuheshimika na kusimama imara watu wa Ghaza na Palestina na kushindwa utawala wa Kizayuni katika vita hivyo vya miezi sita ni tukio na jambo lenye rehma za Mwenyezi Mungu.

  • Ulimwengu waunga mkono ripoti ya UN kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel Ukanda wa Gaza

    Ulimwengu waunga mkono ripoti ya UN kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel Ukanda wa Gaza

    Mar 27, 2024 08:36

    Tathmini iliyofanywa na Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Palestina ambayo imezitaja jinai za utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza kuwa ni mauaji ya kimbari imeungwa mkono pakubwa na nchi mbalimbali katika umoja huo.

  • Kiongozi Muadhamu: Muqawama usio na kifani wa vikosi vya Muqawama na watu wa Ghaza umeutukuza Uislamu

    Kiongozi Muadhamu: Muqawama usio na kifani wa vikosi vya Muqawama na watu wa Ghaza umeutukuza Uislamu

    Mar 26, 2024 23:28

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, Muqawama usio na kifani wa vikosi vya Muqawama na watu wa Ghaza umeutukuza Uislamu.

  • Kuendelea kushambuliwa na kuzingirwa hospitali za Gaza na utawala wa Kizayuni

    Kuendelea kushambuliwa na kuzingirwa hospitali za Gaza na utawala wa Kizayuni

    Mar 26, 2024 22:36

    Licha ya wasiwasi mkubwa na maonyo ya mara kwa mara ya viongozi wa nchi mbalimbali na taasisi za kimataifa, utawala wa Kizayuni bado unaendelea kushambulia na kuzizingira hospitali za Gaza.

  • Ismail Haniya wa Hamas afika Tehran, akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran

    Ismail Haniya wa Hamas afika Tehran, akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran

    Mar 26, 2024 08:12

    Ismail Haniyah, mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), leo amewasili Tehran na kukutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir Abdollahian ambapo wamejadili matukio ya hivi karibuni katika eneo la Ukanda wa Gaza.

  • Baraza la Usalama la UN lapasisha azimio la kusimamisha vita Gaza haraka iwezekanavyo

    Baraza la Usalama la UN lapasisha azimio la kusimamisha vita Gaza haraka iwezekanavyo

    Mar 26, 2024 04:27

    Azimio la kusimamisha vita huko Ukanda wa Gaza hatimaye limepasishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya miezi kadhaa ya mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni katika eneo hilo.

  • Guterres akiri kashfa ya kimaadili ya utawala wa Kizayuni katika kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza.

    Guterres akiri kashfa ya kimaadili ya utawala wa Kizayuni katika kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza.

    Mar 25, 2024 22:30

    Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ametembelea kivuko cha Rafah (kati ya Ukanda wa Gaza na Misri), katika mwezi wa sita wa mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza, na kukitaja kitendo cha utawala huo wa Kizayuni cha kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza kuwa ni "kashfa ya kimaadili".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS