-
Netanyahu atishia kumtimua mkuu wa majeshi akikataa kutekeleza mpango wa kuivamiza Ghaza yote
Aug 07, 2025 04:30Waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amemtishia kumfukuza kazi mkuu wa majeshi Eyal Zamir, ikiwa ataukataa mpango uliopendekezwa wa kuukalia kijeshi Ukanda wote wa Ghaza. Hayo yameripotiwa na duru za karibu na Netanyahu mwenyewe.
-
Afrika yaanza kutengeneza dawa za kukabiliana na UKIMWI
Aug 05, 2025 07:47Nchi za Afrika zilizoko kusini mwa jangwa la Sahara zimepiga hatua muhimu kuelekea kujitegemea zaidi katika masuala ya afya kupitia hatua ya hivi karibuni zaidi ya kutengeneza dawa za kukabiliana na Virusi Vya Ukimwi, (VVU).
-
Iran: Nchi jirani zizuie ardhi zao zisitumiwe vibaya na utawala wa kizayuni wa Israel
Aug 05, 2025 03:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza matumaini aliyonayo ya kukamilika mkataba wa amani kati ya Jamhuri ya Azerbaijan na Armenia lakini amezitaka pia nchi majirani wa Iran zizuie ardhi zao zisitumiwe vibaya na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Meya wa Athens 'amnyoosha' balozi wa Israel: "Hatuhitaji kufunzwa demokrasia na wauaji wa raia"
Aug 04, 2025 10:32Meya wa jiji la Athens nchini Ugiriki amemshambulia vikali balozi wa utawala wa kizayuni wa Israel nchini humo Noam Katz kwa kumwambia: "sisi hatuhitaji kupewa masomo kuhusu demokrasia na wale wanaoua raia".
-
Sanders: 60% ya Wamarekani wanapinga vita vya kinyama vya Netanyahu dhidi ya Wapalestina
Aug 03, 2025 07:09Bernie Sanders, Seneta wa kujitegemea anayewakilisha jimbo la Vermont nchini Marekani amesema: "asilimia 60 ya watu wa nchi hii wanapinga vita vya kinyama vya waziri mkuu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Kuongezeka matukio ya kujiua miongoni mwa askari wa Kizayuni; jeshi la Israel linasambaratika kutokea ndani
Aug 03, 2025 02:25Vitendo vya kujiuawa vitakuwa kuwa tishio na jinamizi kuu miongoni mwa wanajeshi wa Israel baada ya kumalizika vita vya Gaza.
-
Waziri wa Syria: Israel inalenga kuigawanya Syria vipande vipande, si kuwatetea Wadruze
Aug 02, 2025 11:16Waziri mmoja wa serikali ya mpito ya Syria amekosoa uingiliaji kijeshi uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika matukio ya eneo la kusini mwa Syria na kusistiza kuwa, lengo hasa la Tel Aviv ni kuigawanya na kuivuruga nchi hiyo na si kutetea jamii za wachache za kikabila au za kidini za watu wa nchi hiyo.
-
Ujumbe wa Kongamano la Kimataifa la Palestina kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa
Aug 01, 2025 15:03Mkutano wa Kimataifa wa Palestina umeafiki kuchukua hatua za pamoja za kumaliza vita vya Israel dhidi ya watuu wa Gaza, na kuunga mkono kile kilichoitwa kuwa suluhisho la "nchi mbili" na kuanzishwa kwa taifa la Palestina.
-
Mamia ya watu mashuhuri Ujerumani watoa wito wa kusitishwa uuzaji wa silaha kwa Israel
Aug 01, 2025 13:27Gazeti la Ujerumani la Der Spiegel limeandika kuwa, zaidi ya shakhsia 200 mashuhuri wa vyombo vya habari, utamaduni na sanaa wameitaka serikali ya Ujerumani kusitisha uuzaji wa silaha kwa utawala wa Israel.
-
Jeshi la Yemen lashambulia ngome 3 za Israel kwa kutumia droni 5
Jul 31, 2025 12:17Jeshi la Yemen limetangaza kuwa limetekeleza mashambulizi matatu ya ndege zisizo na rubani (droni) katika maeneo matatu ya Israel.