Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Qalibaf: Adui mzayuni anataka kulilipizia kisasi taifa la Iran kwa vita vya kiuchumi na kisaikolojia

    Qalibaf: Adui mzayuni anataka kulilipizia kisasi taifa la Iran kwa vita vya kiuchumi na kisaikolojia

    Jul 27, 2025 11:09

    Mohammad Baqer Qalibaf, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameashiria umoja usio na kifani ulioonyeshwa na taifa la Iran katika siku 40 zilizopita, ambao ulitoa kichapo kikali kwa adui mzayuni, amesisitiza kuwa, hivi sasa adui anataka kulipiza kisasi zaidi ya alivyofanya huko nyuma dhidi ya wananchi shupavu na madhulumu wa Iran kupitia vita vya kiuchumi na opereseheni za kisaikolojia.

  • Msalaba Mwekundu: Viwango vyote vya kisheria na kimaadili vimekiukwa huko Gaza

    Msalaba Mwekundu: Viwango vyote vya kisheria na kimaadili vimekiukwa huko Gaza

    Jul 27, 2025 02:36

    Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu amezungumzia hali mbaya ya inayoshuhudiwa sasa katika Ukanda wa Gaza kutokana na mashambulizi ya jeshi la Israel na mzingiro mkubwa wa eneo hilo na kusisitiza kuwa, viwango vyote vya kisheria na kimaadili vimekiukwa katika Ukanda wa Gaza.

  • Iran yalaani hatua ya Wazayuni, yaonya juu ya kuangamizwa kabisa Palestina

    Iran yalaani hatua ya Wazayuni, yaonya juu ya kuangamizwa kabisa Palestina

    Jul 25, 2025 03:20

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imelaani hatua ya Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel, Knesset, ya kuidhinisha muswada unaoweka udhibiti wa utawala huo ghasibu katika Ukingo wa Magharibi na Bonde la Jordan.

  • Katika wiki moja vifo 18, maambukizi 1,300 ya kipindupindu yaripotiwa Sudan iliyogubikwa na vita

    Katika wiki moja vifo 18, maambukizi 1,300 ya kipindupindu yaripotiwa Sudan iliyogubikwa na vita

    Jul 23, 2025 06:12

    Wizara ya Afya ya Sudan imeripoti maambukizi mapya ya kipindupindu, huku idadi hiyo ikifika 1,307 na vifo 18 vilivyosababishwa na ugonjwa huo ndani ya muda wa wiki moja.

  • Mkuu wa Sera za Nje wa EU: Machaguo yote dhidi ya Israel yako mezani

    Mkuu wa Sera za Nje wa EU: Machaguo yote dhidi ya Israel yako mezani

    Jul 23, 2025 03:40

    Kaja Kallas, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametuma ujumbe katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X akisema: Mauaji ya watu wasio na ulinzi wa Palestina yanapasa kusitishwa; vinginevyo machaguo yote yako mezani.

  • Wanajeshi wa Israel wawauwa shahidi Wapalestina 77 katika siku moja pekee

    Wanajeshi wa Israel wawauwa shahidi Wapalestina 77 katika siku moja pekee

    Jul 22, 2025 13:44

    Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa: Katika muda wa saa 24 zilizopita, raia 77 wa Palestina wameuawa shahidi na wengine 376 kujeruhiwa katika mashambulizi ya utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • Papa ‘ashambuliwa’ kwa msimamo wake kuhusu kushambuliwa kanisa Ghaza

    Papa ‘ashambuliwa’ kwa msimamo wake kuhusu kushambuliwa kanisa Ghaza

    Jul 20, 2025 14:28

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo anaandamwa na ukosoaji mkali kutokana na mjibizo aliotoa kuhusiana na shambulio la anga lililofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya kanisa pekee la Kikatoliki katika Ukanda wa Ghaza.

  • Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni akiri kutengwa Israel duniani

    Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni akiri kutengwa Israel duniani

    Jul 20, 2025 07:57

    Avigdor Lieberman waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni amekiri kuwa Israel na serikali inayoongozwa na Netanyahu zimetengwa kimataifa.

  • Marekebisho ya Taylor Greene ya kuacha kuusaidia utawala wa Kizayuni yapingwa katika Kongresi ya Marekani

    Marekebisho ya Taylor Greene ya kuacha kuusaidia utawala wa Kizayuni yapingwa katika Kongresi ya Marekani

    Jul 20, 2025 03:37

    Baraza la Wawakilishi la Marekani limepinga marekebisho ya Marjorie Taylor Greene, mbunge katika baraza hilo, kwa ajili ya kupunguza msaada wa kijeshi wa dola milioni 500 kwa Israel.

  • Umoja wa Mataifa: Hali ya Gaza ni mbaya; kusitisha mapigano haitoshi

    Umoja wa Mataifa: Hali ya Gaza ni mbaya; kusitisha mapigano haitoshi

    Jul 15, 2025 10:52

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameitaja hali ya Gaza kuwa mbaya na kusema kuwa, usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza pekee hautoshi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS