-
Raisi: Iran na Uturuki zinapasa kujiandaa kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa pande zote
Nov 15, 2021 12:35Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo hapa Tehran na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki na kusisitiza kuwa: Iran na Uturuki zinapasa kujiandaa kuimarisha uhusiano wa sasa kuelekea kwenye ushirikiano wa pande zote.
-
Kuendelea mashauriano kati ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya na viongozi wa Uturuki
Nov 07, 2021 00:12Viongozi wa serikali ya Rais Recep Tayyep Erdogan wa Uturuki wanaendeleza siasa zao makhsusi licha ya kukabiliwa na changamoto za ndani, kieneo na kimataifa, huku vyama mbalimbali huko Uturuki vikipinga siasa za serikali ya Ankara.
-
Kukosoa Uturuki utendaji wa Umoja wa Ulaya ulio dhidi ya Uislamu
Nov 04, 2021 20:23Ukosoaji mtawalia wa viongozi wa Uturuki dhidi ya Umoja wa Ulaya hususan sera za chuki dhidi ya Uislamu za umoja huo, zinapaswa kutathminiwa kama juhudi za Ankara za kukabiliana na sera za madola ya Magharibi dhidi ya serikali ya Rais Recep Tayyip Erdogan na kuimarisha wenzo wa kuishinikiza jumuiya hiyo ya Ulaya.
-
Wasyria waandamana kushinikizi kuondoka vikosi vamizi vya Uturuki
Oct 26, 2021 04:33Mamia ya wananchi wa Syria wamefanya maandamano katika mkoa wa Aleppo (Halab), kaskazini magharibi mwa nchi kulaani uwepo wa wanajeshi vamizi wa Uturuki katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Dalali wa silaha za magaidi nchini Syria afilisika, Canada yampa kinga ya ukimbizi
Oct 24, 2021 23:02Mmoja wa madalali aliyekuwa akiyauzia silaha magenge ya kigaidi nchini Syria likiwemo la Daesh (ISIS) amefilisika vibaya kiasi kwamba Canada imempa kinga ya ukimbizi nchini humo.
-
EU yajibu mapigo ya Erdogan, yasema serikali ya Uturuki ni ya kidikteta
Oct 24, 2021 04:21Umoja wa Ulaya (EU) umejibu hatua iliyochukuliwa na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki aliyeiamuru Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo kuwatangaza mabalozi wa nchi 10 za Magharibi kuwa ni watu wasiotakikana nchini humo kama utanguliwa wa kufukuzwa nchini Uturuki.
-
Ugiriki, Misri na Cyprus zaionya Uturuki iache vitendo vyake vya kichokozi
Oct 20, 2021 03:50Wakuu wa nchi za Cyprus, Misri na Ugiriki jana Jumanne walikutana mjini Athens na kutoa onyo kali kwa Uturuki iache vitendo vyake vya kichokozi katika eneo la mashariki mwa Bahari ya Mediterranean.
-
Uturuki: Tuna haki kama zilivyo Russia na Marekani ya kuwepo kijeshi nchini Syria
Oct 02, 2021 08:52Msemaji wa rais wa Uturuki amedai kuwa, nchi hiyo, kama zilivyo Russia na Marekani, ina haki ya kuwepo kijeshi katika ardhi ya Syria.
-
Marekani yatoa onyo kwa Uturuki dhidi ya kununua tena silaha kutoka Russia
Sep 27, 2021 22:55Marekani imesema kuna uwezekano wa kuiwekea Uturuki vikwazo vipya kwa sababu ya ununuzi wa mtambo wa ulinzi wa anga wa S-400 kutoka Russia.
-
Syria yalaani chokochoko na uvamizi wa Uturuki
Sep 20, 2021 22:07Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imelaani hatua za Uturuki za kukiuka mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi nzima ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa Syria ina haki ya kujibu chokochoko hizo.