Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Uturuki kujibu mapigo kwa kutambua kuuliwa wakazi wa asili wa Marekani kuwa ni 'mauaji ya kimbari'

    Uturuki kujibu mapigo kwa kutambua kuuliwa wakazi wa asili wa Marekani kuwa ni 'mauaji ya kimbari'

    Dec 17, 2019 09:11

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, nchi yake itachukua hatua ya kuyatambua mauaji ya mamilioni ya wakazi wa asili wa Marekani kuwa ni "mauaji ya kimbari" ili kujibu mapigo kwa hatua ya karibuni iliyochukuliwa na serikali ya Washington ya kuyaelezea mauaji ya halaiki ya Waarmenia yaliyofanywa na utawala wa zamani wa Uturuki wa Dola la Othmaniya kuwa ni mauaji ya kimbari.

  • Serikali ya muda ya Libya yaeleza wasiwasi wake kuhusu mapatano ya Sarraj na Erdogan

    Serikali ya muda ya Libya yaeleza wasiwasi wake kuhusu mapatano ya Sarraj na Erdogan

    Dec 08, 2019 23:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya muda yenye makao yake mashariki mwa Libya amesema kuwa wanatiwa wasiwasi na mapatano yaliyofikiwa kati ya serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo yenye makao makuu yake mjini Tripoli, na Uturuki.

  • Ugiriki yamtimua balozi wa Libya kulalamikia hati ya maelewano iliyosainiwa kati ya Libya na Uturuki

    Ugiriki yamtimua balozi wa Libya kulalamikia hati ya maelewano iliyosainiwa kati ya Libya na Uturuki

    Dec 06, 2019 23:16

    Serikali ya Ugiriki imemtimua balozi wa Libya mjini Athens, kufuatia kutiwa saini hati ya maelewano ya ushirikiano wa baharini kati ya Uturuki na serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya.

  •  Marekani yaendeleza jitihada za kuishinikiza Uturuki iache kununua ngao ya makombora ya S-400

    Marekani yaendeleza jitihada za kuishinikiza Uturuki iache kununua ngao ya makombora ya S-400

    Dec 05, 2019 03:53

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetangaza kuwa Washington ingali inaendelea kufanya mazungumzo na kuishinikiza Ankara ili iachane na mpango wake wa kutaka kununua ngao ya makombora ya S-400 kutoka Russia.

  • Kuongozeka mivutano ya kisiasa baina ya Ufaransa na Uturuki kuhusiana na shirika la NATO

    Kuongozeka mivutano ya kisiasa baina ya Ufaransa na Uturuki kuhusiana na shirika la NATO

    Nov 30, 2019 23:34

    Matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuhusu udhaifu wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) na kufananisha hali ya shirika hilo la kifo cha ubongo yamekabiliwa kwa hisia kali na baadhi ya wanachama wa jumuiya hiyo ikiwemo Uturuki. Matamshi hayo yameuzusha mivutano ya kisiasa baina ya Paris na Ankara.

  • Jeshi la Syria latungua ndege isiyo na rubani ya Uturuki

    Jeshi la Syria latungua ndege isiyo na rubani ya Uturuki

    Nov 29, 2019 08:08

    Vyombo vya habari nchini Syria vimetangaza kwamba, jeshi la nchi hiyo limetungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la Uturuki katika viunga vya mji wa Qamishli, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Uturuku kuufanyia majaribio mfumo wa S-400 licha ya vitisho vya US

    Uturuku kuufanyia majaribio mfumo wa S-400 licha ya vitisho vya US

    Nov 26, 2019 00:45

    Jeshi la Uturuki limesema karibuni hivi litaanza kuufanyia majaribio mfumo wake wa ulinzi wa makombora wa S-400 ulionunuliwa kutoka Russia, licha ya vitisho vya kuwekewa vikwazo na Marekani.

  • Uturuki katika muamala wa hila na ujanja wa kupora maliasili za Syria

    Uturuki katika muamala wa hila na ujanja wa kupora maliasili za Syria

    Nov 21, 2019 04:20

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema, amelikataa pendekezo la kugawana utajiri wa mafuta ya Syria lililotolewa na baadhi ya madola ya kigeni.

  • Kuwarejesha wanachama wa Daesh raia wa Ulaya; wenzo wa mashinikizo mapya wa Uturuki

    Kuwarejesha wanachama wa Daesh raia wa Ulaya; wenzo wa mashinikizo mapya wa Uturuki

    Nov 16, 2019 23:05

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uturuki imewafukuza Istanbul raia saba wa nchi za nje wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh.

  • Marekani yatishia kuiwekea vikwazo Misri kwa kununua ndege za kivita za Russia

    Marekani yatishia kuiwekea vikwazo Misri kwa kununua ndege za kivita za Russia

    Nov 16, 2019 07:47

    Mitazamo ya upande mmoja ya Marekani na juhudi za nchi hiyo za kuimarisha ubeberu wake duniani, ambazo zimepata kasi kubwa katika utawala wa Rais Donald Trump, imechukua muelekeo mpya ambao ulikuwa haujawahi kushuhudiwa huko nyuma.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS