-
Mousavi: Iran inapinga ukiukwaji wowote ule wa mamlaka ya kujitawala mataifa ya eneo
Nov 10, 2019 09:54Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili linapinga ukiukaji wowote ule wa mamlaka ya kujitawala mataifa ya eneo hili.
-
Sisitizo jingine la Uturuki la kuendeleza operesheni za kijeshi kaskazini mwa Syria
Nov 10, 2019 07:56Licha ya makubaliano ya hivi karibuni kati ya Uturuki na Russia juu ya kuhitimishwa uvamizi wa kijeshi katika maeneo ya kaskazini na kaskazini mashariki mwa Syria, Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki hajakanusha suala la nchi yake kuendeleza operesheni za kijeshi kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Rais Emmanuel Macron: Shirika la kijeshi la NATO limekufa ubongo
Nov 08, 2019 04:48Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa sambamba na kuonyesha wasi wasi wake kuhusiana na iwapo Marekani itaendeleza ahadi zake katika Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO amesema kuwa, shirika hilo limekumbwa na kifo cha ubongo.
-
Uturuki yasema imemtia mbaroni dadake Abu Bakr Baghdadi
Nov 05, 2019 03:57Uturuki imetangaza habari ya kumtia mbaroni dada ya Abu Bakr al-Baghdadi, kinara wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) aliyejiua katika operesheni ya Marekani hivi karibuni.
-
Uturuki: Ufaransa na Israel zilitaka kuunda 'dola la kigaidi' Syria
Nov 02, 2019 09:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema Ufaransa na utawala wa Kizayuni wa Israel zilikuwa na hamu kubwa ya kuunda dola la kigaidi ndani ya ardhi ya Syria.
-
Iran na Uturuki; washirika wawili wa kuaminiana katika wakati mgumu
Oct 31, 2019 06:56Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki, kama nchi mbili jirani zina kiwango kizuri cha uhusiano katika nyuga mbali mbali hasa za kiuchumi na katika uga wa kieneo pia ni nchi mbili athirifu.
-
Russia: Kuna ugumu katika utekelezaji wa makubaliano tuliyofikia na Uturuki kuhusu Syria
Oct 30, 2019 23:01Waziri wa Ulinzi wa Russia Sergey Shoygu amesema, utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya nchi yake na Uturuki kuhusu Syria umekuwa ukisuasua.
-
Jumanne, tarehe 29 Oktoba, 2019
Oct 28, 2019 23:21Leo ni tarehe 30 Safar 1441 Hijria inayosadifiana na tarehe 29 Oktoba mwaka 2019.
-
Rais Bashar al Assad atembelea mstari wa mbele wa vita dhidi ya magaidi kusini mwa Idlib
Oct 22, 2019 08:25Rais Bashar al Assad wa Syria akiwa pamoja na makamanda wa jeshi la nchi hiyo, amefika katika mstari wa mbele wa vita dhidi ya makundi ya kigaidi katika mkoa wa Idlib.
-
Marekani yasema iko tayari kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Uturuki
Oct 22, 2019 04:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema Rais Donald Trump yuko tayari kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Uturuki iwapo 'italazimu'.