-
Bashar al Assad: Wanajeshi vamizi wamelikalia kwa mabavu eneo la kaskazini mwa Syria
Oct 18, 2019 23:09Rais wa Syria amesema kuwa wanajeshi vamizi wa nchi za kigeni wamelikalia kwa mabavu eneo la kaskazini mwa Syria na kusisitiza kuwa kuna ulazima wanajeshi hao kuondoka katika eneo hilo.
-
Licha ya kuafiki kusitisha mashambulio, ndege za kivita za Uturuki zaendelea kuua raia Syria
Oct 18, 2019 11:51Mashambulio ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za Uturuki yameua raia wasiopungua watano huku mapigano ya hapa na pale yakiendelea kati ya majeshi ya nchi hiyo na wapiganaji wa Kikurdi kaskazini mashariki mwa Syria licha ya maafikiano ya kusitisha hujuma yaliyofikiwa kati ya Uturuki na Marekani hapo jana.
-
Operesheni ya Uturuki imefanya watu laki 3 kuwa wakimbizi Syria
Oct 17, 2019 23:54Operesheni ya kijeshi ya Uturuki huko kaskazini mwa Syria iliyopewa jina la 'Chemchemi ya Amani' imepelekea watu zaidi ya laki tatu kuyahama makazi yao na kukimbilia usalama wao.
-
Bunge la Marekani lalaani hatua ya Trump kuondoa wanajeshi wa Marekani Syria
Oct 17, 2019 23:53Hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuondoa wanajeshi wa Marekani kaskazini mwa Syria, jambo ambalo limewezesha Uturuki kushambulia eneo hilo, imekosolewa ndani ya Marekani.
-
Rais Tayyip Erdoğan: Uturuki haiogopi vikwazo vya Marekani
Oct 17, 2019 09:52Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amedai kwamba lengo la operesheni za nchi yake kaskazini mwa Syria lipo wazi na kwamba serikali ya Ankara haiogopi hata kidogo vikwazo vya Marekani.
-
Sisitizo la Russia la kutatuliwa kisiasa hitilafu kati ya Uturuki na Syria
Oct 16, 2019 07:29Russia ikiwa moja ya nchi muhimu katika medani na matukio ya Syria imetangaza msimamo wake kuhusiana na mashambulio ya kijeshi ya Uturuki huko kaskazini mwa Syria.
-
Zarif ataka kusitishwa uvamizi wa kijeshi dhidi ya Syria
Oct 16, 2019 04:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kusitishwa uvamizi na mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Syria.
-
Trump na uvamizi wa Uturuki kaskazini mwa Syria; kutoka kubariki hadi vikwazo
Oct 15, 2019 23:26Licha ya kwamba awali rais wa Marekani alibariki uvamizi wa kijeshi wa Uturuki huko kaskazini mwa Syria lakini hivi sasa amegeuka kikamilifu na kutoa amri ya kuwekewa vikwazo Ankara.
-
Trump na misimamo ya undumakuwili kuhusu magaidi wa Daesh (ISIS)
Oct 15, 2019 04:40Licha ya Rais Donald Trump wa Marekani kutoa onyo kuhusiana na kuibukka upya shughuli za kundi la kigaidi la Daesh (ISIS), kitendo cha kuondoa askari wa Kimarekani katika maeneo yanayoshambuliwa na Uturuki huko kaskazini mwa Syria, kimeandaa uwanja wa kufufuka upya kundi hilo la ukufurishaji ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Jenerali wa zamani wa Marekani: Trump ni muhusika wa mauaji kaskazini mwa Syria
Oct 15, 2019 01:15Kamanda wa zamani wa majeshi ya Marekani nchini Afghanistan amebainisha kwamba, Rais Donald Trump wa Marekani ni muhusika wa mgogoro na mauaji kaskazini mwa Syria.