-
Bunge la Iran lalaani mashambulizi ya Uturuki dhidi ya Syria
Oct 14, 2019 08:38Wawakilishi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wametoa taarifa wakilaani mashambulizi ya jeshi la Uturuki dhidi ya Syria na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kutetea watu wanaodhulumiwa kote duniani.
-
Wakurdi wa Syria wamedai kuwauwa wanajeshi 75 wa Uturuki
Oct 13, 2019 08:34Wanamgambo wa Kikurdi kwa jina la Vikosi vya kidemokrasia vya Syria (QASD) leo vimedai kuwa, vimewaua wanajeshi 75 wa Uturuki na kuangamiza pia vifaru vyao 7 katika mapigano yaliyojiri katika mji wa Ra's al Ayn kaskazini mwa Syria.
-
Arab League: Operesheni ya Uturuki nchini Syria ni uvamizi wa kijeshi
Oct 13, 2019 04:25Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imesema operesheni inayofanywa na vikosi vya jeshi la Uturuki huko kaskazini mwa Syria ni uvamizi wa wazi wa kijeshi.
-
Wapalestina walaani mashambulizi ya Uturuki nchini Syria
Oct 12, 2019 01:23Harakati ya Kidemokrasia kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina sambamba na kutoa taarifa ya kulaani uvamizi wa kijeshi wa Uturuki dhidi ya ardhi ya Syria kwa kuutaja kuwa uliokiuka haki ya kujitawala na uhuru wa nchi hiyo ya Kiarabu, imesisitiza kuwa mashambulizi hayo ni uingiliaji wa wazi wa Ankara katika masuala ya ndani ya Syria.
-
Faisal Mekdad: Kama jeshi la Syria lingekuwepo maeneo ya Wakurdi, Uturuki isingewashambulia
Oct 12, 2019 01:22Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria sambamba na kumkosoa vikali Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki, amesema kuwa tangu mwanzoni mwa mzozo wa Syria, serikali ya Ankara imekuwa ikiwaunga mkono magaidi.
-
Taasisi za kimataifa zatahadharisha kuhusu athari za mashambulizi ya Uturuki kaskazini mwa Syria
Oct 11, 2019 04:07Taasisi nyingi za kimataifa zimetahadharisha kuhusu taathira za mashambulizi ya Uturuki kaskazini mwa Syria na kutangaza kuwa mashambulizi hayo yanaweza kusababisha mamia ya watu kuwa wakimbizi.
-
Shambulizi la Uturuki dhidi ya Syria katika mtazamo wa serikali ya Damascus
Oct 10, 2019 14:46Uvamizi wa jeshi la Uturuki huko kaskazini mwa Syria umekabiliwa na upinzani mkali serikali ya Damascus na makundi ya Kikurdi ya Syria.
-
Spika wa Bunge la Iran aghairisha safari yake ya Uturuki baada ya nchi hiyo kuivamia kijeshi Syria
Oct 10, 2019 04:21Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameghairisha safari aliyokuwa amepanga kufanya nchini Uturuki kufuatia hatua ya nchi hiyo ya kuivamia kijeshi ardhi ya Syria.
-
Uturuki na Russia zatupilia mbali sarafu ya dola katika biashara
Oct 10, 2019 00:49Uturuki na Russia zimetia saini mapatano ya kutupilia mbali sarafu ya dola katika mabadilishano ya kibiashara baina yao.
-
Rais Rouhani: Njama za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya taifa la Iran zimefeli
Oct 09, 2019 10:27Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya taifa la Iran zimefeli na kwamba takwimu zote na moyo na utanashati wa taifa la Iran vinaonesha kuwa, kipindi cha mashinikizo ya kiwango cha juu kimeyoyoma.