-
Jarida la Newsweek: Trump ameogopa vitisho vya Rais Erdoğan wa Uturuki kuhusu Syria
Oct 08, 2019 23:03Jarida la Newsweek la Marekani limemnukuu mmoja wa viongozi wa serikali ya nchi hiyo akisema kuwa, Rais Donald Trump amesalimu amri mbele ya matakwa ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki kuhusiana na Syria na kuyakubali bila ya pingamizi lolote.
-
Baada ya kutupwa mkono na Marekani, sasa Wakurdi wa Syria wajiandaa kujiunga na serikali
Oct 08, 2019 23:02Kamanda Mkuu wa Wanamgambo wa Kikurdi nchini Syria ameelezea uwezekano wa kushirikiana na serikali ya Damascus kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi ya Uturuki dhidi ya maeneo ya mpakani kaskazini mwa Syria.
-
Uturuki yaihakikishia Iran, mashambulizi yake Syria ni ya muda mfupi
Oct 08, 2019 04:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amemhakikishia mwenzake wa Iran kwamba, mashambulizi ya jeshi la nchi hiyo huko kaskazini mwa Syria yaliyoanza Jumatatu usiku ni ya muda mfupi.
-
Kushirikiana Marekani na Ulaya kuiwekea mashinikizo Uturuki baada ya kugundua gesi
Oct 07, 2019 23:47Uhusiano wa Uturuki na Marekani hasa baada ya kufeli jaribio la mapinduzi ya kijeshi ya tarehe 15 Julai 2016, umeendelea kugubikwa na mizozo mingi.
-
Uturuki kuanzisha vyuo vitatu kaskazini mwa Syria
Oct 06, 2019 23:07Vyombo vya habari vya Uturuki vimeripoti juu ya uamuzi wa serikali ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa nchi hiyo wa kuanzisha vyuo vitatu, huko kaskazini mwa Syria, chini ya usimamizi wa Chuo Kikuu cha Gaziantep cha Uturuki.
-
Vitisho vya Marekani vya kuwawekea vikwazo waitifaki wake iwapo watanunua silaha za Russia
Oct 04, 2019 05:33Mwenendo wa Marekani wa kuchukua hatua za upande mmoja na nchi hiyo kupanua ubeberu wake katika kipindi cha Rais Donald Trump, umeshika kasi zaidi na sasa umechukua sura mpya.
-
Radiamali ya Uturuki dhidi ya matamshi ya Netanyahu kuhusiana na Palestina
Sep 17, 2019 06:02Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Uturuki amesema kuwa, matamshi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel kuhusiana na kutaka kuliunganisha eneo la Ukingo wa Magharibi na ardhi nyingine zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo ni ya kijeuri na kifidhuli.
-
Syria yalaani doria ya Marekani na Uturuki katika ardhi yake, yasema ni uvamizi
Sep 08, 2019 20:02Serikali ya Syria imelaani hatua ya majeshi ya Marekani na Uturuki ya kupiga doria ya pamoja katika eneo liliilopewa jina la "ukanda wa amani" huko mashariki mwa Furati kaskazini mwa Syria na kusema ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na mamlaka ya kujitawa ya Syriia.
-
Hasara ya yuro bilioni tatu itakayopata Uturuki kutokana na Uingereza kutekeleza Brexit bila kufikia mwafaka na EU
Sep 05, 2019 07:22Waziri wa Biashara wa Uturuki ametangaza kuwa, nchi yake itapata hasara ya zaidi ya dola bilioni tatu katika biashara zake na Uingereza endapo London itaamua kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya bila kufikia mwafaka na umoja huo.
-
Sisitizo la Rais Erdogan wa Uturuki la kununua ndege za kivita za Russia
Sep 01, 2019 23:35Kufuatia hatua ya Uturuki ya kununua mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia, wakuu wa nchi hiyo sasa wameazimia kununa ndege za kisasa za kivita za Russia za Sukhoi-35 na Sukhoi-57.