-
Jeshi la Syria laingia Khan Sheikhoun, katika awamu muhimu ya ukombozi wa Idlib
Aug 20, 2019 02:26Jeshi la Syria usiku wa kiamkia tarehe 18 Agosti liliingia katika eneo la Khan Sheikhoun huko kusini mwa mkoa wa Idlib.
-
Syria yapinga makubaliano ya Marekani na Uturuki kuhusu eneo la kaskazini mwa nchi hiyo
Aug 08, 2019 07:29Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetoa taarifa maalumu na kusisitiza kuwa, inapinga makubaliano yaliyofikiwa baina ya Marekani na Uturuki ya kutenga eneo ati litakaloitwa 'eneo la usalama' kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Wanamgambo wa Haftar watungua droni ya Uturuki huko Libya
Jul 21, 2019 22:03Duru zenye mfungamano na wanamgambo wanaojiita jeshi la kitaifa la Libya wanaoongozwa na kamanda Khalifa Haftar zimeripoti kuwa wanamgambo hao wametungua droni ya Uturuki katika anga ya mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Trump: Kwa sasa hatuna mapango wa kuiwekea vikwazo Uturuki
Jul 19, 2019 22:01Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, kwa sasa serikkali ya Washington haina mpango wa kuiwekea vikwazo Uturuki.
-
Hatua ya Marekani ya kuvunja rasmi mkataba wake na Uturuki
Jul 19, 2019 01:50Hatua ya Uturuki ya kununua mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400 kutoka kwa Russia imezusha mgogoro mkubwa katika uhusiano wake na Marekani hasa kwa kuzingatia kuwa kabla ya hapo pia Ankara na Washington zilikuwa tayari zina mzozo baina yao.
-
Uturuki: Uamuzi wa Marekani unakinzana na moyo wa umoja na ushirikiano
Jul 18, 2019 08:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ametoa radiamali kuhusiana na uamuzi wa Marekani wa kuiondoa serikali ya Ankara kwenye mpango wa kununua ndege za kivita za F 35 na kusema kuwa, uamuzi huo wa Washington unakinzana na moyo wa umoja na ushirikiano baina yao.
-
Kauli hasi ya Trump kwa sababu ya kupatiwa Uturuki vifaa vya mfumo wa makombora wa S-400 wa Russia
Jul 17, 2019 21:50Uamuzi wa Uturuki wa kununua mfumo wa kisasa wa makombora ya ulinzi wa anga wa S-400 kutoka Russia umezusha mikwaruzano mikubwa ambayo haijawahi kushuhudiwa katika uhusiano wa Uturuki na Marekani.
-
Maelfu waandamana Uturuki kuilaani Marekani, Israel
Jul 16, 2019 22:50Maelfu wa wananchi wa mji wa Adana wa kusini mwa Uturuki wamefanya maandamano ya kuilaani Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Uturuki kuendelea na mpango wa kuchimba mafuta na gesi Bahari ya Mediterania licha ya upinzani wa EU
Jul 16, 2019 22:03Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imesisitiza kuwa, nchi hiyo itaendelea na mpango wake wa kutafuta mafuta na gesi mashariki ya bahari ya Mediterania licha ya agizo la Umoja wa Ulaya kuitaka isimamishe mpango huo.
-
Uturuki: Mfumo wa makombora wa S-400 si chaguo, ni hitajio la lazima kwa usalama wetu
Jul 14, 2019 08:52Waziri wa Ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar ameiambia Marekani kuwa uamuzi wa nchi yake wa kununua mfumo wa ulinzi wa makombora wa S-400 kutoka Russia hautokani na chaguo la ufadhilishaji, bali ni hitajio la lazima kwa usalama wa nchi hiyo kwa sababu inakabiliwa na tishio kubwa.