-
Jumatatu, 29 Aprili, 2019
Apr 28, 2019 23:50Leo ni Jumatatu tarehe 23 Sha'aban 1440 Hijria mwafaka na tarehe 29 Aprili 2019.
-
Marekani yatishia kuiwekea Uturuki vikwazo vipya ikinunua mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia
Apr 23, 2019 02:32Uhusiano wa Marekani na Uturuki umekumbwa na msuguano mkubwa hasa baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyofeli ya Julai 2016. Baada ya Uturuki kusambaratisha mapinduzi hayo, ilisema kuwa Marekani ilihusika katika njama hiyo na kwa msingi huo uhusiano wa nchi hizo mbili uliingia baridi.
-
Ahmet Davutoğlu, Waziri Mkuu wa Zamani wa Uturuki amkosoa vikali Rais Recep Tayyip Erdoğan
Apr 22, 2019 22:51Waziri Mkuu wa Zamani wa Uturuki, Ahmet Davutoğlu amemkosoa vikali Rais Recep Tayyip Erdoğan pamoja na siasa za chama tawala cha Uadilifu na Ustawi nchini humo.
-
Sisitizo la Rais Putin la kuweko juhudi za pamoja za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria
Apr 10, 2019 02:09Mgogoro wa Syria na vita vya ndani vya kutwishwa nchi hiyo vilivyoanza 2011, ulipelekea Syria kugeuka na kuwa medani ya makabiliano baina ya Wamagharibi na waitifaki wao wa Kiarabu pamoja na Uturuki hapo awali dhidi ya mhimili wa muqawama ukijumuisha na Russia.
-
Uturuki yakosoa matamshi ya kijuba ya Waziri Mkuu wa Israel
Apr 08, 2019 03:27Uturuki imekosoa vikali matamshi wa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu aliyedai kuwa iwapo ataibuka mshindi katika uchaguzi mkuu ujao, basi atauunganisha rasmi Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na maeneo mengine ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu, chini ya mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne".
-
Kutimuliwa NATO, tishio lisilo na kifani la Marekani dhidi ya Uturuki
Apr 04, 2019 10:17Uhusiano wa Marekani na Uturuki umekuwa mbaya katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita hasa baada ya jaribio la kuipindua serikali ya Rais Recep Tayyip Erdogan manamo Junia 15 mwaka 2016.
-
Ankara: Marekani ichague ama kushirikiana na Uturuki au magaidi
Apr 04, 2019 03:23Makamu wa Rais wa Uturuki amejibu matamshi ya Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence, ambaye aliitaka Ankara inunue ndege za kivita za F-35 kutoka Marekani badala ya kununua mfumo wa kujilinda na mashambulizi ya makombora wa S-400 kutoka kwa Russia.
-
Rais Barham Salih wa Iraq: Mfumo wowote wa eneo hili hauwezi kuipuuza Iran
Apr 02, 2019 20:47Rais Barham Salih wa Iraq amesema kuwa, hakuna mfumo wowote mpya katika eneo la Asia Magharibi unaoweza kuipuuza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kama ambavyo hauwezi pia kufumbia macho umuhimu wa taifa la Iraq.
-
Uturuki yawapiga kalamu nyekundu wagombea karibu 400 kwa tuhuma za kuwa wafuasi wa Fethullah Gülen
Mar 26, 2019 22:09Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki ametangaza kwamba tume ya uchaguzi ya nchi hiyo imefuta majina karibu 400 ya wagombea wa uchaguzi wa mabaraza ya miji na mabaraza ya mikoa kwa tuhuma za kuwa na mahusiano na kundi la Fethullah Gülen au kundi la Wakurdi la PKK.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki: Amani ndio msingi wa dini ya Uislamu
Mar 23, 2019 09:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa kuimarishwa usalama na amani ndio msingi wa dini tukufu ya Uislamu.