-
Wanafunzi wa Kiafrika wanaotuhumiwa kwa ugaidi wakamatwa Uturuki
Jul 01, 2018 22:07Makumi ya wanafunzi wa Kiafrika hususan raia wa Somalia wamekamatwa nchini Uturuki, wakihusishwa na Shirika la Kigaidi la Fathullah FETO, linalodaiwa kuratibu na kutekeleza jaribio la mapinduzi lililofeli la mwaka 2016.
-
Korea Kaskazini kuikabidhi Uturuki mabaki ya miili ya askari 500 wa nchi hiyo
Jun 25, 2018 23:53Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kwamba itaikabidhi Uturuki mabaki ya miili ya askari wa nchi hiyo waliouawa katika vita vya eneo la Korea.
-
Uturuki nayo yaingia katika vita vya Kiuchumi dhidi ya Marekani
Jun 21, 2018 09:15Katika radiamali yake kufuatia hatua ya Marekani ya kuzipandishia ushuru bidhaa zinazozalishwa Uturuki, serikali ya Ankara imechukua hatua sawa na ya China na Umoja wa Ulaya ya kuingia katika vita vya biashara dhidi ya Washington.
-
Assad: Vikosi vya Israel na Uturuki vilivyoko Syria ni vamizi
Jun 14, 2018 03:26Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel, Uturuki, Marekani na Ufaransa vilivyoko nchi humo ni vikosi vamizi.
-
Iran: Nchi za Kiislamu zinapaswa kuungana kulihami taifa linalodhulumiwa la Palestina
Jun 10, 2018 03:23Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uturuki amesema, nchi za Waislamu na mataifa huru duniani yanapaswa kuwa kitu kimoja katika kulihami na kuliunga mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina.
-
Uturuki yakosolewa kwa kuwa na sera za undumakuwili kuhusiana na eneo la Mashariki ya Kati
May 31, 2018 03:00Mchambuzi wa masuala ya Mashariki ya Kati na mhadhiri wa Taaluma ya Uhusiano wa Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Atilim nchini Uturuki amesema sera za undumakuwili za serikali ya Ankara kuhusiana na matukio ya eneo hili hazina mantiki wala hazitokani na misingi inayokubalika.
-
Viongozi wa dini tofauti waitaka serikali ya Myanmar kuhitimisha ubaguzi dhidi ya Waislamu
May 30, 2018 10:20Viongozi wa dini tofauti nchini Myanmar wameitaka serikali ya nchi hiyo kutafuta njia ya utatuzi wa mgogoro wa ubaguzi unaoendelea kushuhudiwa nchini humo hususan dhidi ya jamii ya Waislamu.
-
Sisitizo la Erdoğan la kuwekewa vikwazo vya kiuchumi Israel
May 26, 2018 03:09Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa, kwa mujibu wa maamuzi yaliyochukuliwa katika kikao cha dharura cha nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC mjini Istanbul, kulitakiwa kuanza kutekelezwa vikwazo vya kiuchumi dhidi ya utawala katili wa Kizayuni.
-
Uturuki yawafunga vifungo vya maisha watu 104 kwa tuhuma za kuhusika na mapindizi yaliyofeli
May 21, 2018 23:18Mahakama nchini Uturuki imewahukumu watu 104 vifungo vya maisha katika kadhia ya mapinduzi ya kijeshi yaliyofeli mwaka 2016.
-
Mazungumzo ya Marais wa Iran na Uturuki; kulaaniwa mwenendo wa kigaidi wa Israel
May 17, 2018 07:02Rais Hassan Rouhani amesema, mauaji ya wananchi madhulumu wa Palestina yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika kumbukumbu ya mwaka wa 70 tangu kuvamiwa na kukaliwa kwa mabavu Palestina ni maafa makubwa na yenye athari.