Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Rouhani: Mazungumzo ya Astana na Sochi yameleta matumaini ya usalama na uthabiti wa Syria

    Rouhani: Mazungumzo ya Astana na Sochi yameleta matumaini ya usalama na uthabiti wa Syria

    Feb 20, 2018 00:35

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ushirikiano na mazungumzo ya pande tatu ya Iran, Russia na Uturuki kuhusiana na masuala ya Mashariki ya Kati, hususan vita dhidi ya ugaidi na kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Syria yamekuwa na taathira chanya na amesisitiza juu ya kuendelezwa juhudi na ushirikiano huo ili kufikiwa malengo kusudiwa.

  • Jeshi la Uturuki lashambulia kwa makombora maeneo ya makazi ya raia mjini Afrin, Syria

    Jeshi la Uturuki lashambulia kwa makombora maeneo ya makazi ya raia mjini Afrin, Syria

    Feb 14, 2018 13:05

    Katika kuendelea na operesheni za kijeshi za Uturuki kaskazini mwa Syria, jeshi la nchi hiyo limeshambulia kwa makombora maeneo ya makazi ndani ya mji wa Afrin.

  • Mvutano katika uhusiano wa Misri na Uturuki

    Mvutano katika uhusiano wa Misri na Uturuki

    Feb 07, 2018 11:19

    Uhusiano wa Misri na Uturuki umeharibika kuhusiana na suala la uchoraji mipaka katika Bahari ya Mediterania.

  • Qassemi: Iran haitakubali sharti lolote lile kuhusiana na safari ya Rais wa Ufaransa mjini Tehran

    Qassemi: Iran haitakubali sharti lolote lile kuhusiana na safari ya Rais wa Ufaransa mjini Tehran

    Feb 05, 2018 13:01

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitakubali sharti lolote lile kwa ajili ya safari ijayo ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa hapa nchini.

  • Wapinzani Uturuki: Siasa za ndani na nje za serikali ya Erdoğan zimefeli sana

    Wapinzani Uturuki: Siasa za ndani na nje za serikali ya Erdoğan zimefeli sana

    Jan 31, 2018 11:52

    Naibu Mkuu wa Chama cha Upinzani cha Saadet nchini Uturuki amesema kuwa, siasa za kigeni na ndani za serikali ya Rais Recep Tayyip Erdoğan zimefeli kwa kiasi kikubwa.

  • Boroujerdi: Marekani inaendelea kuwaunga mkono magaidi Syria

    Boroujerdi: Marekani inaendelea kuwaunga mkono magaidi Syria

    Jan 28, 2018 11:41

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa ya Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, vitendo vya Marekani zinaonesha kuwa Washington ingali inaunga mkono ugaidi na vitendo vya kuvuruga amani na utulivu pamoja na kutaka kuzigawa vipande vipande nchi za eneo hili ikiwemo Syria.

  • Ndege ya kivita ya Uturuki yatunguliwa Afrin, Wakurdi wakaribisha kurudi jeshi la Syria

    Ndege ya kivita ya Uturuki yatunguliwa Afrin, Wakurdi wakaribisha kurudi jeshi la Syria

    Jan 25, 2018 10:34

    Mmoja wa makamanda wa ngazi ya juu wa kundi la wapiganaji wa Kikurdi katika eneo la Afrin, Syria amekaribisha kuingia jeshi la nchi hiyo katika eneo hilo na kusisitiza kuwa, serikali ya Damascus imefikia makubaliano kadhaa na viongozi wa kundi hilo.

  • Libya yaituhumu Uturuki kuhusika na miripuko ya mabomu iliyotokea Benghazi

    Libya yaituhumu Uturuki kuhusika na miripuko ya mabomu iliyotokea Benghazi

    Jan 25, 2018 00:19

    Msemaji wa jeshi la taifa la Libya ameituhumu Uturuki kuwa imehusika na miripuko ya mabomu iliyotokea mjini Benghazi mashariki mwa Libya.

  • Polisi ya Uturuki yawatawanya waandamanaji wanaopinga uvamizi  wa nchi hiyo huko Syria

    Polisi ya Uturuki yawatawanya waandamanaji wanaopinga uvamizi wa nchi hiyo huko Syria

    Jan 22, 2018 04:14

    Polisi ya Uturuki imetumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji waliomiminika barabarani kupinga uvamizi wa jeshi la nchi hiyo katika mji wa Afrin, kaskazini mwa Syria.

  • Rais Assad aishukuru Iran kwa msaada wake kwa Syria

    Rais Assad aishukuru Iran kwa msaada wake kwa Syria

    Jan 21, 2018 23:33

    Rais wa Syria ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa uungaji mkono wake kwa taifa la Syria na kusema: "Istikama ya wanajeshi Wairani na waitifaki wao katika medani ya vita ni jambo ambalo limetoa mchango mkubwa katika ushindi wa jeshi na taifa la Syria."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS