-
Mashirika 250 ya haki za binadamu yataka Israel ichukuliwe hatua kwa kumuua Shireen Abu Aqleh
May 13, 2022 09:50Mashirika na makundi 250 ya kutetea haki za binadamu yametoa wito wa kuchukuliwa hatua za kisheria utawala haramu wa Israel kwa jinai uliyotenda ya kumuua mwandishi habari wa Televisheni ya al-Jazeera Shireen Abu Aqleh.
-
China: Marekani inatesa wafungwa kwenye jela za siri, haina haki ya kuzinyooshea kidole nchi nyingine
Apr 10, 2022 04:15China imeituhumu Marekani kuwa inafanya mateso ya kutisha dhidi ya wafungwa katika jela za siri (black sites) katika nchi washirika, ikisisitiza kwamba Washington haina haki ya kuikosoa nchi nyingine yoyote kwa ukiukaji wa haki za binadamu.
-
China yaikosoa Magharibi kwa sera za kindumakuwili kuhusu haki za binadamu
Mar 30, 2022 02:59China imezishutumu nchi za Magharibi kwa kutumia sera za kindumakuwili kwa kushughulikia kwa wakati haki za binadamu za watu wanaokimbia vita vya Russia na Ukraine na kupuuza haki za wakimbizi kutoka nchi za Mashariki ya Kati, Afrika na Amerika ya Kusini.
-
Mtaalamu wa UN awasili Sudan kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu baada ya mapinduzi ya jeshi
Feb 22, 2022 11:52Mtaalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa yuko nchini Sudan kuthibitisha madai ya wwa haki za binadamu baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini humo Oktoba mwaka jana ambayo yameitumbukiza nchi katika machafuko na kusababisha maandamano ya karibu kila siku dhidi ya utawala wa kijeshi.
-
Mwakilishi wa Iran UN asifu maendeleo 'muhimu' ya kuwawezesha wanawake nchini licha ya vikwazo vya Marekani
Jan 19, 2022 10:46Iran imepongeza mafanikio makubwa yaliyopatikana hapa nchini katika kuwawezesha wanawake na wasichana, licha ya vikwazo vya Marekani vilivyo kinyume cha sheria na vya kinyama vinavyolenga nchi hiyo.
-
Kukosolewa vikali rekodi ya haki za binadamu ya serikali ya Biden
Jan 16, 2022 02:43Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa rekodi ya haki za binadamu ya serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani na kuitaja kuwa inatia wasiwasi. Human Rights Watch imebainisha hayo katika ripoti yake ya hali ya haki za binadamu duniani katika kipindi hiki cha mwanzoni mwa mwaka mpya wa 2021.
-
Wataalamu wa UN waitaka Marekani ifunge gereza la Guantamano
Jan 11, 2022 07:49Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wameutaka utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani utekeleze ahadi yake ya kufunga jela ya kutisha ya Guantanamo Bay iliyoko nchini Cuba.
-
Misri yamvua uraia mtetezi wa haki za binadamu
Jan 08, 2022 12:35Mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu nchini Misri, Ramy Shaath ameachiwa huru baada ya kuwekwa korokoroni kwa zaidi ya miaka 2 na nusu.
-
Mahakama ya Iran yakosoa sera za kupenda vita za Wamagharibi
Jan 06, 2022 02:50Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran amekosoa vikali sera za kupenda na kuchochea vita za nchi za Magharibi, huku akizilaani nchi hizo kwa madai yao bandia kuhusu suala la haki za binadamu.
-
Miaka sita tangu kunyongwa Sheikh Nimr, ukandamizaji unaongezeka Saudia
Jan 02, 2022 15:23imepita miaka sita sasa tangu utawala wa kifalme wa Saudi Arabia ulipomnyonga manazuoni mashuhuri wa Kiislamu Sheikh Nimr Baqir al-Nimr, ambaye alitoa wito wa kuwepo demokrasia katika nchi hiyo na kuitisha maandamano dhidi ya utawala huo