-
Jumuiya za kutetea haki za binadamu: Saudia imekamata dazeni ya wanaharakati wa kike mwaka 2021
Dec 27, 2021 02:44Shirika la kutetea haki za binadamu limetoa tahadhari kuhusu hali mbaya ya haki za binadamu nchini Saudi Arabia, likisema dazeni ya wanaharakati mashuhuri wa haki za wanawake wamekamatwa kiholela na askari wa utawala wa Riyadh katika kipindi chote cha mwaka huu.
-
Shirika la haki za binadamu la al Karama laishitaki Saudi Arabia UN
Dec 21, 2021 08:18Shirika la kutetea haki za binadamu la al Karama limetuma ripoti kwa Kamati ya Kukabiliana na Mateso ya Umoja wa Mataifa likieleza kiwango cha juu cha mateso na unyanyasaji unaofanyika katika jela za utawala wa Saudi Arabia.
-
Hamaki za Israel hata kwa “ripoti isiyo na dhamana” ya Baraza la Haki za Binadamu la Umioja wa Mataifa
Nov 03, 2021 02:28Kitendo cha mwakilishi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Gilad Erdan cha kurarua na kuchanachana kwa hasira ripoti ya Baraza la Haki za Binadamu la umoja huo kuhusu jinai za utawala huo huko Palestina kimeonyesha wazi kwamba, utawala huo hauwezi kuvumilia hata ripoti ambazo kimsingi “hazina dhama ya utekelezwaji wake”.
-
Waislamu Kenya walaani MUHURI kuajiri ‘mtetezi wa mashoga’
Sep 01, 2021 07:32Waislamu nchini Kenya wameliomba Baraza Kuu la Waislamu nchini humo (SUPKEM) liingilie kati kuhusu uamuzi wa shirika la kutetea haki za Waislamu la Muslims for Human Rights (MUHURI) wa kuajiri Mkurugenzi Mkuu anayedaiwa kuwa mtetezi wa wapenzi wa jinsia moja.
-
Wanaharakati wa Saudia kufanya maandamano ya kupinga serikali Siku ya Arafa
Jul 18, 2021 08:15Wanaharakati wa Saudi Arabia wamepanga kufanya maandamano ya kitaifa dhidi ya utawala wa Al Saud Siku ya Arafa.
-
Palestina yaikosoa UN kwa kutoiweka Israel katika orodha nyeusi ya wakiukaji wa haki za watoto
Jun 21, 2021 11:59Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Palestina imeukosoa Umoja wa Mataifa kwa kutoiweka Israeli kwenye orodha nyeusi ya kila mwaka ya makundi na nchi zinazohusika na ukiukaji mkubwa wa haki za watoto, ikisema kupuuza jinai za utawala huo kunawapa kinga ya kuhukumiwa Wazayuni wanaoua watoto.
-
Amnesty yataka uchunguzi wa kifo cha mfungwa wa kisiasa Bahrain
Jun 17, 2021 02:25Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa mwito wa kufanyika uchunguzi huru wa kifo tatanishi cha mfungwa wa kisiasa huko nchini Bahrain.
-
Magaidi wanawateka nyara watoto nchini Msumbiji
Jun 10, 2021 02:32Mwakilishi wa Taasisi ya Kulinda Watoto nchini Msumbiji imeripoti kuwa, magaidi nchini humo wanawateka nyara watoto.
-
Vikwazo vya Marekani kipindi cha corona ni ukiukaji wa haki za binadamu
Jun 06, 2021 02:37Wimbi la maambukizi ya virusi vya corona linaendelea kuchukua roho za watu katika nchi mbalimbali duniani huku jumuiya za kimataifa zikisisitiza udharura wa kutolewa chanjo ya kukabiliana na virusi hivyo na kusambazwa chanjo hiyo na vifaa vingine vya tiba ili kufanikisha jitihada za kuvuka kipindi cha sasa cha janga hilo la kimataifa.
-
Bobi Wine: Jamii ya kimataifa inathamini zaidi biashara kuliko maadili, haki za binadamu
Jun 05, 2021 02:31Kiongozi wa upinzani wa Uganda Robert Kyagulanyi Sentamu maarufu kwa jina la Bobi Wine amesema hali ya haki za binadamu nchini Uganda imekuwa mbaya zaidi tangu baada ya uchaguzi wa Januari 14 mwaka huu.