-
Baraza la Haki za Binadamu la UN leo linajadili mpango wa kuundwa tume ya kuchunguza jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
May 27, 2021 02:19Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limepokea muswada unaotaka kuundwa tume ya kimataifa itakayochunguza jinai na uhalifu uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Makundi ya kutetea haki za binadamu yapinga uamuzi wa Ufarasa wa kupiga marufuku maandamano dhidi ya Israel
May 14, 2021 12:37Wanaharakati na makundi ya kutetea haki za binadamu yamepinga uamuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa wa kupiga marufuku maandamano ya kupinga ukatili na mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya watu wa Palestina ambayo yamepangwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii.
-
China yapinga unafiki wa Marekani, yasema Washington imeua Waislamu wengi dunia
May 11, 2021 17:12China imepinga unafiki wa Merekani katika madai yake ya kutetea haki za Waislamu waliowachache katika eneo la Magharibi mwa China la Xinjiang, na kusisitiza kuwa, Marekani imeua Waislamu wengi katika vita na operesheni zake za kijeshi kuliko nchi nyingine yoyote duniani.
-
CAIR: Manyanyaso dhidi ya Waislamu yaliongezeka kwa asilimia 9 nchini Marekani mwaka uliopita
Apr 27, 2021 07:44Kundi linaloongoza kwa kutetezi haki za Waislamu nchini Marekani lilitangaza Jumatatu ya jana kwamba kumekuwepo ongezeko la asilimia 9 ya idadi ya malalamiko ya unyanyasaji dhidi ya Waislamu ambayo yalipokewa mwaka uliopita wa 2020 ikilinganishwa na mwaka wa kabla yake.
-
Haki za binadamu; chombo cha kisiasa cha nchi za Magharibi katika kukabiliana na Iran
Mar 25, 2021 09:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa azimio lililopitishwa hivi karibuni na baadhi ya nchi za Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kikao cha 46 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, halina itibari yoyote ya kisheria na wala halikubaliki kimataifa.
-
Korea ya Kaskazini yakosoa hali ya haki za binadamu katika nchi za Magharibi
Mar 23, 2021 07:40Korea ya Kaskazini imezikosoa nchi za Magharibi kwa kukiuka haki za binadamu na kuitolea mwito jamii ya kimataifa kuchukua hatua ya kulipatia ufumbuzi tatizo hilo.
-
Michelle Bachelet: Saudia ikomeshe ukatili na ukiukaji wa haki za binadamu
Feb 27, 2021 02:50Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza masikitiko yake kutokana na ukandamizaji unaofanywa na serikali ya Saudi Arabia dhidi ya raia wa nchi hiyo.
-
Marekani yaiuzia silaha Misri licha ya serikali ya el Sisi kuendelea kukiuka haki za binadamu
Feb 18, 2021 02:38Serikali ya Marekani imeidhinisha mauzo ya silaha zenye thamani ya dola milioni 200 kwa Misri licha ya serikali ya nchi hiyo kuendelea kuandamwa na shutuma za ukiukaji wa haki za binadamu.
-
HRW: Nchi 83 zimetumia corona kubana uhuru wa kujieleza
Feb 11, 2021 12:25Ripoti mpya ya shirika la kutetea haki za binadamu la Humam Rights Watch imefichua kuwa, kwa akali serikali 83 katika pembe mbalimbali za dunia zimelitumia janga la corona kama kisingizio cha kuzididisha mbinyo na kubana uhuru wa kujieleza na kukusanyika kwa amani.
-
Trump; maafa na msiba kwa haki za binadamu
Jan 16, 2021 03:41Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake wenye utata mwingi nchini Marekani, Rais Donald Trump ameacha nyuma historia nyeusi kuhusu suala zima la haki za binadamu, huku akilaumiwa na kukosolewa vikali katika siku za mwisho za utawala wake.