-
Tutu: Biden aache kuficha na kufadhili silaha za nyuklia za Israel
Jan 01, 2021 13:23Katibu Mkuu wa zamani wa Baraza la Makanisa ya Afrika Kusini Askofu Desmond Tutu amemtaka rais mteule wa Marekani Joe Biden kuacha kukingia kifua silaha za nyuklia za Israel na kusitisha ufadhili mkubwa wa Washington kwa miradi ya silaha za nyuklia ya utawala huo.
-
Umoja wa Mataifa umetaka kuachiwa huru mwanaharakati kike wa Saudia
Dec 29, 2020 03:01Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetaka kuachiwa huru haraka iwezekanavyo mwanaharakati wa kike wa nchi hiyo anayejulikana kwa jina la Loujain Alhathloul.
-
Haki za binadamu; chombo cha kisiasa cha Magharibi kwa ajili ya kuishinikiza Iran
Dec 19, 2020 10:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kupitishwa azimio lililo dhidi ya Iran katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hakuna itibari yoyote ya kisheria na kwamba waliobuni azimio hilo wanazitumia vibaya taasisi za kimataifa.
-
Utawala wa kiimla wa Saudia waendelea kukiuka haki za binadamu
Dec 17, 2020 02:45Vikosi vya usalama vya Saudia vinaendeleza kampeni ya wazi wazi ya kukiuka haki za binadamu katika ufalme huo.
-
Rais wa Misri atupiwa lawama nyingine
Dec 08, 2020 07:28Mashirika mengi ya haki za binadamu yamemtupia lawama chungu nzima Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri wakati huu wa ziara yake mjini Paris, Ufaransa.
-
Raisi: Haki za binadamu zinatumiwa kama wenzo wa kuzishinikiza nchi huru duniani
Nov 23, 2020 13:16Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema kuwa Canada inakiuka haki za binadamu na ni kimbilio la mafisadi na wahalifu. Ameongeza kuwa nchi mbaimbali duniani zimetambua kwamba haki za binadamu zimetiwa siasa kali na kugeuzwa wenzo wa kuziweka chini ya mashinikizo nchi huru duniani.
-
Marekani yakerwa na kuchunguzwa rekodi yake mbovu ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa
Nov 13, 2020 09:08Marekani ambayo ni mmoja wa wakiukaji wakubwa zaidi wa haki za binadamu duniani, ina historia nyesu kuhusu jambo hilo na daima imekuwa ikiingilia masuala ya ndani na kuzikosoa nchi nyingine ili kujaribu kukwepa kuwajibika mbele ya Wamarekani na walimwengu kwa ujumla kuhusu suala hilo.
-
Malalamiko dhidi ya ukiukaji wa haki za binadamu Saudia yaongezeka, Loujain atajwa kuwa nembo ya mapambano ya wanake Saudia
Nov 08, 2020 07:24Kamati ya Wanawake wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa imewatahadharisha atawala wa Saudi Arabia kuhusu hali mbaya ya kiafya ya Loujain al-Hathloul, mwanaharakati wa kike wa Saudia anayeshikiliwa korokoroni na imetoa wito wa kuachiwa huru mara moja.
-
Skyline International Foundation: Saudi Arabia iwaachia huru wafungwa wa kisiasa
Nov 07, 2020 02:30Shirika la kimataifa la Skyline International Foundation lenye makao yake makuu Stockholm nchini Sweden limeitaka jamii ya kimataifa kuishinikiza serikali ya Saudi Arabia ili iwaachie huru makumi ya wafungwa wa kisiasa.
-
Russia yasema Marekani ndio mkiukaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu duniani
Oct 16, 2020 06:41Marekani ambayo ni mkiukaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu duniani na ambayo ina rekodi nyeusi kuhusu suala hilo, daima imekuwa ikikwepa kujibu maswali ya raia wake kuhusu jambo hilo na badala yake kuzituhumu nchi nyingine ikiwemo Russia kwamba haziheshimu haki za binadamu.