-
Iran yakosoa kimya cha jamii ya kimataifa mkabala wa ubabe wa Marekani
Oct 15, 2020 07:51Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema uchukuaji hatua za upande mmoja wa Marekani ndilo tishio kuu kwa haki za binadamu duniani, huku akikosoa kimya cha jamii ya kimataifa mkabala wa ubabe huo wa Washington.
-
Madai ya Ulaya kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Iran; hayana uhalali wowote wa kisheria
Sep 29, 2020 12:19Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran imeyataja madai yasiyo na msingi ya nchi za Ulaya kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Iran kuwa hayana uhalali wowote wa kisheria.
-
Ethiopia kuwarejesha nyumbani maelfu ya wahajiri kutoka Saudia kwa kuhofia maisha yao
Sep 18, 2020 10:40Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa itawarejesha nyumbani wahajiri karibu 2,000 kutoka Saudi Arabia katika wiki zijazo, kutokana na wasiwasi mkubwa wa jamii ya kimataifa juu ya hali mbaya inayoshuhudiwa katika kambi za wahamiaji nchini humo.
-
Mataifa 29 yaikosoa Saudia kwa mauaji ya Khashoggi, ukandamizaji
Sep 17, 2020 08:09Mataifa 29 yakiwa mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, yamewakosoa vikali watawala wa Saudi Arabia kwa ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, sambamba na kutaka kuwajibishwa utawala wa Aal-Saud kwa mauaji ya kikatili aliyofanyiwa mwandishi wa habari na mkosoaji mkubwa wa Riyadh, Jamal Khashoggi katika ubalozi wa nchi hiyo ya Kiarabu nchini Uturuki.
-
Jumuiya 30 za kimataifa zataka Saudia ishinikizwe kuwaachia huru watetezi wa haki za binadamu
Sep 03, 2020 04:08Jumuiya 30 za kimataifa za kutetea haki za binadamu zikiongozwa na Human Rights Watch zimeitaka jamii ya kimataifa iishinikize Saudi Arabia ili iwaachie huru watetezi wa haki za binadamu na kusitisha ukiukaji wote wa haki za raia.
-
Amnesty: Misri inawanyima wafungwa haki zao kwa miaka kadhaa sasa
Aug 21, 2020 00:07Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Misri kuziruhusu familia za wafungwa kutembea jamaa zao wanaoshikiliwa katika jela za nchi hiyo wakiwemo watetezi wa haki za binadamu na wanaharakati wa masuala ya kisiasa.
-
Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya China, siasa za kundumakuwili za Brussels
Jul 30, 2020 02:33Ikiwa ni katika kudumishwa siasa za mashinikizo za nchi za Magharibi dhidi ya China, Umoja wa Ulaya kama ilivyofanya Marekani, umeiwekea vikwazo Beijing kwa kisingizio cha kutoheshimu haki za binadamu.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa ukandamizaji unaofanywa dhidi ya waandamanaji nchini Marekani
Jul 26, 2020 02:40Maandamano makubwa na yasiyo na mfano wake ambayo yamekuwa yakifanyika nchini Marekani tokea kuuawa kinyama kwa Mmarekani mweusi George Floyd katika mji wa Minnesota katika jimbo la Minneapolis tarehe 25 Mei, yangali yanaendelea licha ya ukandamizaji mkubwa unaofanywa na serikali ya Trump dhidi ya waandamanaji.
-
Utawala unaotenda jinai wa Israel watumia mabavu dhidi ya waandamanaji
Jul 25, 2020 02:41Waisraeli ambao wamekuwa wakiandamana kupinga baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu wamekabiliwa na utumiaji mabavu wa wanajeshi wa Israel.
-
Zarif: Marekani haiheshimu haki yoyote ya binadamu
Jun 28, 2020 07:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imeshindwa kuheshimu haki zozote za msingi za binadamu, na imefanya hivyo kuanzia kuupa utawala wa Iraq silaha za kemikali dhidi ya Iran hadi kuliwekea vikwazo na kulifanyia ugaidi wa kiuchumi taifa la Iran.